Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UFUNGUZI WA SHINA JIPYA LA CCM MINNESOTA NI SHIDAEEER!

 Mwenyekiti wa Shina la Minnesota Ndugu Christabella Shalita    Katibu wa Shina Ndugu Celina TeshaKada Mpya wa CCM Minnesota Ndugu Moshi BaghdellahMwanachama Mpya na Mjumbe Ndugu Andrew SmasherNdugu Abdul Baghdellah na Mwakilishi Kutoka CCM Oklahoma M/Kitti wa Shina Emmanuel Kamala wakibadilishana MikakatiMwakilishi kutoka CCM Newyork Seif Akida na Katibu wa Shina Ndugu Celina Tesha














Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

UZINDUZI WA SHINA JIPYA LA CCM NDANI YA JIJI LA VIONGOZI WICHITA, KANSAS

Mratibu wa Matawi ya CCM Marekani Loveness Mamuya aliwaomba wanaCCM Wichita wawe mfano bora Kwa kujitokeza kwenye jumuiya ya TaWichita kwani Jumuiya ni kwanza na kuwaomba waweze kupendana na kushirikiana kwanza kama watanzania. Tumefungua matawi tukiwa na niya ya kukutanisha watanzania ili waweze kuchangia maendeleo ya Nchi yetu. Chama Cha Mapinduzi kinatambuwa jamii ya watanzania na ushirikano wao. Pia aliwaomba watu wajiunge na jumuiya kwanza na kushirikiana kwa karibu na vilevile kukemea...

 

10 years ago

Vijimambo

MRATIBU WA MATAWI YA CCM MAREKANI LOVENESS MAMUYA AZINDUA SHINA JIPYA JIJI LA WASOMI TULSA, OKLAHOMA


Mratibu wa Matawi ya CCM Ndugu. Loveness Mamuya akisema machache wakati wa Uzinduzi wa Shina Jipya, Tulsa OklahomaViongozi Wandamizi wa Shina la Jipya Kushoto Ndugu Emmanuel J Kamara na Katibu wake Ndugu Edgar ChiwangaMdau Akifurahia Kupata Kadi yakeMjumbe Bryceson Motto akimwaga Sera kwa WanaCCM waliyojumuikaKikao Kikiendelea








 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA:Ufunguzi wa Duka Jipya la “Viwalo” la Nargis Mohammed

Mrembo na mwigizaji wa filamu hapa Bongo, Nargis Mohammed hivi juzi  amefungua duka jipya la mavazi  ya wanawake ikwa ni muendelezo wa maduka yake yanaofahamika kwa jinala la fashoonista .

Hapo juu ni baadhi ya picha za ufunguzi wa duka hilo lililopo Nyumbani Lounge karibu na Best Bite, jijini Dar.

Hongera sana Nargis.

 

5 years ago

Michuzi

UFUNGUZI WA JENGO JIPYA LA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA, MAJI NA NISHATI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifungua pazia kuashiria ufunguzi wa jengo jipya la Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati katika hafla iliyofanyika katika jengo hilo leo Maisara Mjini ZanzibarRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe  kuashiria ufunguzi wa jengo jipya la Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati hafla iliyofanyika katika jengo hilo leo...

 

10 years ago

Michuzi

KINANA AMTEMBELEA BALOZI KOMBO WA SHINA LA CCM TANGA

 Balozi wa Shina la CCM namba 1, jijini Tanga, Kombo Mbwana akiwa haamini macho yake alipokuwa akimlaki Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana aliyemtembelea balozi huo nyumbani kwake ambapo watu waliokuwa kwenye msafara walipata mlo wa mchana juzi. Kinana amehitimisha ziara ya siku 11 mkoani Tanga, ambapo alisafiri zaidi ya Km 3000, kukagua miradi 72 na kuhutubia mikutano 76 katika majimbo yote 11 ya mkoa huo. Kinana akizungumza na wananchama wa CCM nyumbani kwa Balozi Kombo Mbwana jijini...

 

11 years ago

GPL

WAJUMBE WA SHINA WA CCM SINZA E WAFANYA SEMINA YA MAFUNZO

Wajumbe wakipitia karatasi za muongozo wa semina hiyo.
 Katibu wa Siasa na Uenezi Tawi la Sinza-E, kata ya Sinza, Herold Kambona (aliyesimama) akifafanua jambo katika semina hiyo.
 Katibu Mwenezi wa Wilaya ya Kinondoni, Mwinyimkuu Sangaraza akielezea uhai wa chama na jinsi…

 

10 years ago

Michuzi

Msaada kwa yatima kutoka CCM shina la Essex UK

Mwenyekiti wa CCM shina la Essex UK Bi Maryam Seif akiwakilishwa na Mjumbe na mwanachama hai wa CCM (UK) Bw. Bilal akikabidhi msaada wa Deepfreezer kwenye kituo cha Yatima Magomeni Dar es Salaam. Msaada huo pia ulishirikisha Charity ya Sunrise Development Association Limited (UK). Azma ni kusaidia kituo hicho kupata mradi wa kuwawezesha kujikimu katika kulea Yati  Mama Mlezi kushoto akiwa na mmoja wa Yatima hao na kulia ni kada wa CCM Magomeni. Baadhi ya Yatima wakiwa na walezi wao.Bwana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani