Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UFUNGUZI WA JENGO JIPYA LA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA, MAJI NA NISHATI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifungua pazia kuashiria ufunguzi wa jengo jipya la Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati katika hafla iliyofanyika katika jengo hilo leo Maisara Mjini ZanzibarRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe  kuashiria ufunguzi wa jengo jipya la Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati hafla iliyofanyika katika jengo hilo leo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA, MAJI NA NISHATI


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati katika Mkutano wa Utekelezaji Mpango kazi kwa Kipindi cha Julai-Disemba 2019, uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.  Waziri wa Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati Salama Aboud Talib (katikati) akifafanua jambo katika Mkutano wa Utekelezaji Mpango kazi kwa Kipindi cha Julai-Disemba 2019, kwa Wizara hiyo uliofanyika leo katika ukumbi wa ...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA MAMBO YA NJE KUJENGA JENGO JIPYA

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Hassan Simba Yahya kulia na Mwakilishi wa Kampuni itakayojenga jengo la Wizara ya Mambo ya Nje wakiweka saini Makubaliano ya mchoro wa jengo hilo.Balozi Yahya akibadilishana nyaraka za makubaliano ya michoro ya jengo la Wizara na Mwakilishi wa Kampuni itakayojenga jengo hilo.Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, imeidhinisha michoro ya Jengo jipya la wizara hiyo, litakalojengwa jirani na Ukumbi wa...

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU, WIZARA YA ARDHI AFANYA JITIHADA KUBORESHA MABARAZA YA ARDHI NA NYUMBA YA WILAYA

Katibu Mkuu wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Alphayo J.Kidata, amefanya ziara katika Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya na kufanya maboresho, pamoja na kuahidi maboresho zaidi. Mhe. Kidata amefanya ziara hiyo ya ghafla katika Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya za Kinondoni na Ilala ili kubaini uendeshaji wa kazi katika Mabaraza hayo. Akisomewa ripoti fupi na mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Kinondoni, Bw. Yose Mlyambina pamoja na mambo mengine...

 

9 years ago

Michuzi

Naibu Waziri, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Angelline Mabula astukizia baraza la ardhi kinondoni

 Naibu Waziri, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Angelline Mabula (Mb), akiangalia mafaili ya kesi mbalimbali katika Baraza la Ardhi na Nyumba la Kinondoni, jijini Dar es salaam, alipofanya ziara ya kushtukiza katika Baraza hilo, kulia kwake ni karani wa baraza hilo, Bahati Rashidi.

 Naibu Waziri, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Angelline Mabula (Mb), akitazama utunzwaji wa mafaili katika masijala alipofanya ziara ya kushtukiza katika Baraza la Ardhi na Nyumba la...

 

10 years ago

Michuzi

Mtwara yaishukuru Wizara ya Nishati na Madini kwa jitihada kudhibiti mmomonyoko wa ardhi Mnazi Bay

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendegu (aliyenyoosha mkono), akimwonyesha Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene, jinsi maji ya bahari yalivyoathiri eneola MnaziBay, karibu na kampuni ya kuzalisha umeme ya Maurel & Prom.
Athari ya mmomonyoko wa ardhi katika eneo la MnaziBay inavyoonekana pichani. Mmomonyoko huo umetishia usalama wa Kiwanda cha kufua umeme unaotumiwa na wakazi wa Lindi na Mtwara cha Maurel & Prom.
Na Veronica Simba aliyekuwa Mtwara Mkuu wa Mkoa wa Mtwara,...

 

9 years ago

Michuzi

Jaji mkuu wa Tanzania akutana na watendaji wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

 Jaji mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman (wa tatu kutoka kulia) katika picha ya pamoja na watendaji kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi walipomtembelea ofisini kwake hivi karibuni, Kulia kwake ni Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Alphayo Kidata akifuatiwa na Subira Sinda Msajili wa Hati. Nyuma ya Katibu Mkuu ni David Mushendwa Kamishna wa ardhi Msaidizi Sheria, Blasia Kibano (Wa kwanza kulia) aliyekuwa Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Sheria pamoja na Juma Lughela.

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA ATEMBELEA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI JIJINI DAR

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akimkaribisha Balozi wa China nchini Tanzania Dkt. Lu Youqing alipomtembelea ofisini kwake jana jijini Dar es salaam na kufanya mazungumzo ya kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na China katika masuala ya uendelezaji wa Ardhi na Mipango miji. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi (kulia) akimweleza Balozi wa China nchini Tanzania Dkt. Lu Youqing (kushoto) namna Wizara yake ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani