Jaji mkuu wa Tanzania akutana na watendaji wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Jaji mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman (wa tatu kutoka kulia) katika picha ya pamoja na watendaji kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi walipomtembelea ofisini kwake hivi karibuni, Kulia kwake ni Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Alphayo Kidata akifuatiwa na Subira Sinda Msajili wa Hati. Nyuma ya Katibu Mkuu ni David Mushendwa Kamishna wa ardhi Msaidizi Sheria, Blasia Kibano (Wa kwanza kulia) aliyekuwa Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Sheria pamoja na Juma Lughela.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo.jpg)
BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA ATEMBELEA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI JIJINI DAR
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Michuzi.jpg)
BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA ATEMBELEA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI LEO JIJINI DAR
.jpg)
.jpg)
10 years ago
GPL
BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA ATEMBELEA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI LEO JIJINI DAR ES SALAAM
9 years ago
Michuzi
Naibu Waziri, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Angelline Mabula astukizia baraza la ardhi kinondoni


11 years ago
MichuziWAZIRI WA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI PROFESA ANNA TIBAIJUKA AKUTANA NA WADAU WA MJI MPYA WA KIGAMBONI DAR ES SALAAM
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA WIZARA YA ARDHI,NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI ANGELA KAIRUKI MGENI RASMI SIKU YA WAJANE DUNIANI ITAKAYOFANYIKAJUNI 23 MWAKA HUU.
11 years ago
Michuzi
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii akutana na Watendaji wa Mkoa wa Katavi


10 years ago
MichuziWAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI WILLIAM LUKUVI AAGA RASMI SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA
10 years ago
Michuzi01 Jun
WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI AWEKA JIWE LA MSINGI NYUMBA 50 ZA GHARAMA NAFUU ZA NHC MJINI KAHAMA


