Msaada kwa yatima kutoka CCM shina la Essex UK
.jpg)
Mwenyekiti wa CCM shina la Essex UK Bi Maryam Seif akiwakilishwa na Mjumbe na mwanachama hai wa CCM (UK) Bw. Bilal akikabidhi msaada wa Deepfreezer kwenye kituo cha Yatima Magomeni Dar es Salaam. Msaada huo pia ulishirikisha Charity ya Sunrise Development Association Limited (UK). Azma ni kusaidia kituo hicho kupata mradi wa kuwawezesha kujikimu katika kulea Yati Mama Mlezi kushoto akiwa na mmoja wa Yatima hao na kulia ni kada wa CCM Magomeni.
Baadhi ya Yatima wakiwa na walezi wao.
Bwana...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
Mwenyekiti wa CCM shina la Essex Uingereza Bibi Maryam Seif agawa misaada kwa yatima kurasini
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Vijimambo
USIKOSE!!! Tamasha la Uimbaji kutoka kwa Watoto yatima kutoka Uganda

Kuhusu Watoto Choir!
Watoto ni mpango kamilifu wa huduma ambao ulianzishwa ili kukabiliana na idadi kubwa ya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu nchini Uganda, ambaomaisha yao yamekabiliwa na vita na magonjwa mbalimbaliTembelea tovuti ya Watoto : www.watoto.com
Kwa...
10 years ago
Mtanzania25 Mar
Dawasco yatoa msaada kwa yatima
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
SHIRIKA la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASCO) limetoa misaada ya kibinadamu kwa watoto yatima wa kituo cha Msimbazi Centre, ikiwa ni moja ya sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Maji yaliyoanza Machi 16- 22.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Uhusiano wa Dawasco, Everlasting Lyaro, alisema msaada huo ni sehemu ya jamii wanayotoa huduma hiyo kila siku.
“Sisi kama Dawasco tumeguswa na mahitaji ya watoto hawa na kama sehemu...
10 years ago
Bongo511 Dec
Diva kusherehekea Christmas kwa kutoa msaada kwa watoto yatima
10 years ago
Habarileo11 Jan
Tanesco yatoa msaada kwa watoto yatima Dar
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa misaada ya vitu mbalimbali na kupata chakula cha mchana na watoto yatima wanaolelewa kwenye kituo cha Chakuwama kilichopo Sinza, Dar es Salaam.
10 years ago
VijimamboTRA YATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA - KAHAMA
10 years ago
GPLBENDI YA DORIVA YATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA
10 years ago
Dewji Blog19 Jan
Nuru Group chatoa msaada kwa watoto yatima Sengerema
Mwenyekiti wa kikundi cha Nuru cha wilayani Sengerema mkoani Mwanza Bw. George Tumbo akitoa utangulizi wa katika katika hafla ya kutoa msaada kwa watoto yatima iliyofanyika kwenye kituo cha Sengerema Telecentre.
Na Daniel Makaka, Sengerema
Kikundi cha Nuru group kilichopo kata ya Ibisabageni wilayani Sengerema mkoa Mwanza kimetoa msaada wa Sare za shule, viatu, Kalamu na Madaftari kwa watoto yatima 30 pamoja na wanaoishi katika mazingira magumu ili waweze kuendelea masomo mwaka huu.
Hayo...