Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanesco yatoa msaada kwa watoto yatima Dar

SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa misaada ya vitu mbalimbali na kupata chakula cha mchana na watoto yatima wanaolelewa kwenye kituo cha Chakuwama kilichopo Sinza, Dar es Salaam.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA EXCEL YATOA MSAADA KWA KITUO CHA WATOTO YATIMA DAR

Kampuni ya EMOC imetoa msaada Kwa watoto yatima katika kituo cha New Life Orphanage Home kilichopo kigogo ambacho ni makao makuu ya kituo cha watoto yatima. New Life Orphanage Home ni kituo ambacho kimejitolea kulea watoto yatima wasiojiweza tangu mwaka 1998.
New Life Orphanage Home kilianzishwa Magomeni mwaka 1998 Kwa lengo la kusaidia watoto yatima, na kilianza na watoto 18 tu. New Life Orphanage Home kimefanikiwa kufungua kituo kikubwa zaidi Kigogo iliopo wilaya ya Kinondoni na kuwa...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI ya Msama Promotions YATOA MSAADA WA VITU MBALI MBALI KWA VITUO 10 VYA WATOTO YATIMA JIJINI DAR


KAMPUNI ya Msama Promotions chini ya Mkurugenzi wake Alex Msama, jana ilikabidhi msaada wa vitu mbalimbali kwa vituo 10 vya kulea yatima ikiwa ni mwendelezo wa kusaidia makundi maalumu katika jamii.

Akikabidhi misaada hiyo katika ofisi zake zilizopo Kinondoni, jijini Dar es Salaam, Msama alisema misaada hiyo ni sehemu ya fedha za mauzo ya DVD za Tamasha la Pasaka la mwaka huu.
Msama alisema kupitia mauzo ya DVD za Tamasha hilo ambalo lilifanyika April 6 katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es...

 

10 years ago

Vijimambo

TRA YATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA - KAHAMA

 Baadhi ya vitu mbalimbali vilivyotolewa na mamlaka ya mapato TRA kahama la shirika la muvuma. Hili ndiyo jengo la ushirika la muvuma la kusaidi watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira hatarishi mjini kahama jengo hili kwa sasa ilinaitajika uzuio kwa ajili ya usalama kwa watoto hao . Meneja wa TRA kahama Peter Nkwabi akisalimia na muweka hazina wa shirika la muvuma Mjumbe wa shirika la muvuma Eliulie Matina alinyosha mkono kuonyesha baadhi ya maeneo ya jengo la watoto yatima kwa maofisa...

 

10 years ago

GPL

BENDI YA DORIVA YATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA

Mama mlezi wa kituo hicho Bi. Zaidia Nuru Hassan (aliyekaa kitini) akiwa na baadhi ya viongozi wa bendi ya Doriva. Wasanii  (kutoka kushoto) Josephine, Lucy na Sulwa wakipiga stori na baadhi ya watoto wanaolelewa kwenye kituo hicho.…

 

11 years ago

Michuzi

PSPF YATOA MSAADA WA VYAKULA VITUO VYA KULELEA WATOTO YATIMA JIJINI DAR

 Afisa Uhusioano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Abdul Njaidi, (Wapili kulia), akimsalimia Mkurugenzi wa Kituo cha Kulea Watoto Yatima, (CHAKUWAMA), kilichoko Sinza jijini Dar es Salaam jana, baada ya wafanyakazi wa Mfuko huo kukab idhi misaadsa ya vyakula kwa ajili ya sikukuu ya Idd. Mfuko huo pia umekabidhi misaada kama hiyo kwa vituo vingine sita vya yatima jijini kwa ajili ya sikukuu ya Idd. Kulia ni Afisa wa fedha wa Mfuko huo, Mohammed Madenge, na kushoto ni A\fisa Masoko,...

 

11 years ago

GPL

KIJUMOZ FUMIGATION & CLEANING YATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA

Mkurugenzi wa Kijumoz, Mohamed Jumbe (kulia), akikabidhi misaada kwa katibu wa kituo cha Watoto Yatima cha Chakwama, Hassan Hamisi.
Mkurugenzi wa Kijumoz, Mohamed Jumbe, akimpatia mtoto zawadi ya tende.…

 

5 years ago

Michuzi

TCRA Kanda ya Mashariki yatoa msaada kwa Kituo Cha Watoto Yatima


Mwakilishi wa Mkuu wa Kanda ya Mashariki wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Vaolet Eseko akimkabidhi msaada kwa niaba ya Mkuu wa Kanda hiyo Mhandisi Lawi Odiero wa Vitakasa Mikono pamoja bidhaa za vyakula Mkurugenzi wa Kituo Cha Watoto Yatima Cha New Home Orphan Kilichopo Boko Jijini Dar es Salaam.

**********************************

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki imetoa msaada wa vitu mbalimbali katika Kituo cha Watoto Yatima Cha New Home Orphan Kilichopo...

 

10 years ago

Michuzi

IDARA YA UHAMIAJI MKOA WA NJOMBE YATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA WILAYANI MAKETE

Hivi karibuni Idara ya uhamiaji mkoa wa Njombe iliunga mkono jitihada za mkuu wa wilaya ya makete Josephine Matiro kusaidia vituo vya watoto yatima wilayani humo kwa kutoa msaada wa zaidi ya shilingi milioni 1
Akizungumza wakati akikabidhi msaada wao afisa uhamiaji mkoa wa Njombe Rose Mhagama alisema wameguswa na suala hilo na kuamua kuvisaidia vituo vya watoto yatima Makete vitu mbalimbali, na kuwaomba wadau wengine kujitokeza kuwasaidia watoto hao
Kwa upande wake Mkuu wa wilaya Hiyo Bi...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Mkubwa na Wanawe yatoa msaada kwa kituo cha watoto yatima Temeke

Katika kusherehekea kutimiza mwaka mmoja wa Yamoto Band, kituo cha Mkubwa na Wanawe leo kimekabidhi msaada kwenye kituo cha watoto yatima kilichopoa Temeke, Dar es Salaam. Akikabidhi msaada huo, mkuu wa kituo hicho, Said Fella alisema: Kabla ya kuzungumza chochote Napenda kutoa shukrani zangu kwa Mwenyezi Mungu kwa kila jambo ambalo limefanikiwa ni kwa kupitia […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani