Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diva kusherehekea Christmas kwa kutoa msaada kwa watoto yatima

Mtangazaji wa Clouds FM, Loveness aka Diva, atasherehekea sikukuu ya Christmas kwa kutoa msaada kwa watoto yatima wanaolelewa kwenye kituo cha Kigamboni Orphanage. Msaada huo utatolewa chini ya taasisi yake ya Diva Giving For Charity. “Together we rise, ni new Project iliokaa chini kwa muda mrefu sana kukusanya michango ya hapa na pale ili kuwasaidia […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Diva kusaidia watoto yatima siku ya Christmas

11917989_166629733673746_101973509_n

Mtangazaji wa Clouds FM, Diva Gissele Malinzi aka The Bawse kupitia Diva Giving For Charity na Foundation yake ya Diva Foundation anatarajia kutoa msaada kwenye vituo vinavyolea watoto yatima.

11917989_166629733673746_101973509_n

Ili kufanikisha shughuli hiyo, Diva anaomba watu mbalimbali wamuunge mkono.

Kama una msaada wako wasiliana naye kwa number 0656 336919. Diva pia anapigwa tafu na Sigwa Herbal Clinic.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za...

 

9 years ago

Michuzi

GEPF WASHEREHEKEA MWAKA MPYA KWA KUTOA MSAADA WA KITUO CHA WATOTO YATIMA KIJIJI CHA FURAHA KILICHOPO MBWENI JIJINI DAR

Mkuu wa kitengo cha masoko kutoka GEPF Bw Aloyce Ntukamazina akimkabidhi mlezi wa kituo hicho Sr Restituta Kijja sehemu ya msaada huo. Meneja Mafao wa Mfuko wa GEPF Bi Salma Mtaulah nae akimkabidhi Mlezi wa kituo mafuta ya kupikia.maafisa wa GEPF pamoja na mlezi wa kituo wakifurahia jambo na watoto wa kijiji cha Furaha kilichopo Mbweni.baadhi ya watoto wa kituo hicho wakiwa katika picha ya pamoja kwa furaha baada ya kukabidhiwa msaada wa vyakula na Mfuko wa GEPF.

 

10 years ago

Habarileo

Tanesco yatoa msaada kwa watoto yatima Dar

SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa misaada ya vitu mbalimbali na kupata chakula cha mchana na watoto yatima wanaolelewa kwenye kituo cha Chakuwama kilichopo Sinza, Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

BENDI YA DORIVA YATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA

Mama mlezi wa kituo hicho Bi. Zaidia Nuru Hassan (aliyekaa kitini) akiwa na baadhi ya viongozi wa bendi ya Doriva. Wasanii  (kutoka kushoto) Josephine, Lucy na Sulwa wakipiga stori na baadhi ya watoto wanaolelewa kwenye kituo hicho.…

 

10 years ago

Vijimambo

TRA YATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA - KAHAMA

 Baadhi ya vitu mbalimbali vilivyotolewa na mamlaka ya mapato TRA kahama la shirika la muvuma. Hili ndiyo jengo la ushirika la muvuma la kusaidi watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira hatarishi mjini kahama jengo hili kwa sasa ilinaitajika uzuio kwa ajili ya usalama kwa watoto hao . Meneja wa TRA kahama Peter Nkwabi akisalimia na muweka hazina wa shirika la muvuma Mjumbe wa shirika la muvuma Eliulie Matina alinyosha mkono kuonyesha baadhi ya maeneo ya jengo la watoto yatima kwa maofisa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Nuru Group chatoa msaada kwa watoto yatima Sengerema

20150111_160810

Mwenyekiti wa kikundi cha Nuru cha wilayani Sengerema mkoani Mwanza Bw. George Tumbo akitoa utangulizi wa katika katika hafla ya kutoa msaada kwa watoto yatima iliyofanyika kwenye kituo cha Sengerema Telecentre.

Na Daniel Makaka, Sengerema

Kikundi cha Nuru group kilichopo kata ya Ibisabageni wilayani Sengerema mkoa Mwanza kimetoa msaada wa Sare za shule, viatu, Kalamu na Madaftari kwa watoto yatima 30 pamoja na wanaoishi katika mazingira magumu ili waweze kuendelea masomo mwaka huu.

Hayo...

 

11 years ago

Michuzi

HALMSHAURI YA WILAYA IRINGA YAKABIDHI MSAADA KWA WATOTO YATIMA

 Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa Pudenciana Kisaka akiwa katika picha ya pamoja na watoto yatima wa kituo Nyumbani kilichoko Ismani.  Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa Pudenciana Kisaka akipanda mti katika shule ya msingi Igula katika Tarafa ya ismani  Wafanyakazi wa shirika la Restless Tanzania, Mwadawa na Amne wakitoa maelekezo kwa Mkurugenzi bg wa  Halmashauri ya wilaya ya Iringa Pudenciana Kisaka juu ya shughuli za shirika hilo.

 

11 years ago

GPL

KIJUMOZ FUMIGATION & CLEANING YATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA

Mkurugenzi wa Kijumoz, Mohamed Jumbe (kulia), akikabidhi misaada kwa katibu wa kituo cha Watoto Yatima cha Chakwama, Hassan Hamisi.
Mkurugenzi wa Kijumoz, Mohamed Jumbe, akimpatia mtoto zawadi ya tende.…

 

10 years ago

GPL

HIGH CLASS NA MKUBWA NA WANAWE WATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA

Mkurugenzi wa Mkubwa na Wanawe Saidi Fella (kulia) akikabidhi sehemu ya misaada kwa Kituo cha Hisani. Sehemu ya misaada iliyotolewa na High Class Look na Mkubwa na Wanawe.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani