Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HABARI NJEMA KWA WAKAZI WA DALLAS, OMAHA NA KANSAS CITY

https://scontent-dfw1-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xpa1/t31.0-0/p480x480/12140118_511185279057235_8578651045244488418_o.jpgNapenda kuwajulisha Watanzania waishio Dallas, Omaha, na Kansas City kwamba kutatolewa seminars ambazo zitatoa fukrusa ya kujiendeleza katika elimu ya kibiashara. Kama unatarajia kuanziasha biashara yako kwa siku za karibuni au ndio kwanza umeanza biashara yako; basi kuna umuhimu wa kupata mwamko/elimu zaidi juu ya uanzishaji na uendeshaji wa biashara katika viwango vya juu. Elimu hii ni muhimu kwa watarajiwa ili kuanzisha biashara zenye ujasiri na ufanisi zaidi katika hatua za kupambana na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Habari njema kwa wastaafu

SERIKALI imeongeza kima cha chini cha malipo ya pensheni kwa wastaafu kuanzia mwaka wa fedha ujao. Kwa sasa wastaafu wanalipwa pensheni ya sh 50,000 kwa mwezi, ambazo hulipwa kila baada...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

HABARI NJEMA KWA WATUMIAJI WA VODACOM

Kufahamu zaidi ingia https://www.vodacom.co.tz/mpesa/consumers/international-money-transfers

 

10 years ago

GPL

HABARI NJEMA KWA WATUMIAJI WA SIMU ZA MKONONI

Je, upo tayari kupokea habari Exclusive sambamba na picha na video kutoka Global Publishers katika simu yako ya mkononi? Huduma hii itakuwa tayari hivi karibuni katika simu yako ya mkononi. Ili kufanikisha jambo hili, tafadhali tusaidie kutoa maoni yako kwa kujaza fomu kwenye Link hii: http://bit.ly/globalpublishers kisha itume. Asante kwa ushirikiano. Imetolewa na… ...

 

10 years ago

Michuzi

HABARI NJEMA kwa kila shabiki wa PROFESSOR JAY.

Naomba kutumia fursa hii kuitambulisha kwenu rasmi official website yangu ambayo ni http://www.profesajay.comKwa habari zangu za uhakika, kuhusu MUZIKI, VIDEOS, SHOWS, INTERVIEWS, PHOTOS na kila kinachonihusu... Kuwa wa kwanza kupata taarifa zangu, Asanteni sana kwa kunisupport siku zote!! LOVE..

 

10 years ago

Michuzi

Habari njema kwa WanaBlogu waTanzaniania juu Uandikishaji Wanachama TBN

Chama cha Wamiliki/Waendeshaji wa Mitandao ya Jamii nchini 'Tanzania Bloggers Network' - TBN kinapenda kuwajulisha wanaotaka kujiunga na chama hicho kuwa fomu za kujiunga zinatolewa. Wahusika ni wamiliki na waendeshaji wote wa mitandao ya kijamii (blogs na forums) Tanzania na Watanzania wanaofanya kazi kama hiyo nje ya nchi.
Sifa kuu kwa mwanachama ni kuwa na blog ambayo ina umri wa miezi sita tangu ianze kuendeshwa mfululizo. Kwa wa kazi wa Dar es Salaam wenye sifa ambao wanataka kujiunga...

 

9 years ago

Bongo Movies

Habari Njema Kutoka Jerusalem Films kwa Wapenzi Na Waigizaji Wachanga wa Filamu

Wapenzi na wadau wa Jerusalem Films tunapenda kuwajulisha kuwa uchukuaji picha wa tamthilia yetu utaanza mwishoni wa mwezi wa 11.

Hii nikutokana na kuingiliwa kwa ratiba kutokana na uchaguzi, waigizaji wengi tutakao wapa nafasi ni wapya, tutatoa utaratibu wa usaili.

Tayari tumepata mkataba mzuri na moja ya Television ya kulipia, vile vile tunajipanga kuwatangazia siku za kuzitoa Chungu Cha Tatu, Chale Mvuvi na Kalambati Lobo.

endelea kufurahia kazi za jerusalem films

Jacob Stephen ‘JB’...

 

10 years ago

GPL

HABARI NJEMA KWA WANABLOG, FORUMS WATANZANIANIA JUU UANDIKISHAJI WANACHAMA TBN

Chama cha Wamiliki/Waendeshaji wa Mitandao ya Jamii nchini 'Tanzania Bloggers Network' - TBN kinapenda kuwajulisha wanaotaka kujiunga na chama hicho kuwa fomu za kujiunga zinatolewa. Wahusika ni wamiliki na waendeshaji wote wa mitandao ya kijamii (blogs na forums) Tanzania na Watanzania wanaofanya kazi kama hiyo nje ya nchi. Sifa kuu kwa mwanachama ni kuwa na blog ambayo ina umri wa miezi sita tangu ianze kuendeshwa mfululizo....

 

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani