JK AMPATIA BAJAJI MWANAFUNZI MLEMAVU HAROUB SOUD MZEE
Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi Bw. Haroub Soud Mzee ambaye ni mlemavu wa miguu bajaji itakayomsaidia katika shughuli zake mbalimbali za kimasomo. Bw. Mzee ni mwanafunzi wa Uhasibu mwaka wa tatu katika Chuo Kikuu cha Kampala University jijini Dar es salaamRais Jakaya Kikwete akisoma maelezo ya kadi ya bajaji aliyemkabidhi. Haroub Soud Mzee ambaye ni mlemavu wa miguu bajaji itakayomsaidia katika shughuli zake mbalimbali za kimasomo. Picha na Magreth Kinabo -...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog28 May
Mwanafunzi mlemavu mikono yote miwili aomba msaada wa JK
Mwanafunzi wa darasa la sita shule ya msingi Ikungi mchanganyiko wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida, Julius Charles (12) ambaye anatumia mguu wa kulia kuandika kutokana na kutokuwa na mikono.Pia anatumia mguu huo kutandika kitanda chake.
Na Nathaniel Limu, Ikungi
MWANAFUNZI wa darasa la sita shule ya msingi Ikungi mchanganyiko wilaya ya Ikungi mkoani Singida,Julius Charles (12) ambaye hana mikono ameiomba serikali imsaidie kupata mtu atakaye mhudumia ili aweze kusoma kwa uhuru zaidi aweze...
11 years ago
Michuzi29 May
MWANAFUNZI MLEMAVU MIKONO YOTE MIWILI AOMBA MSAADA
Na Nathaniel Limu, Ikungi
MWANAFUNZI wa darasa la sita shule ya msingi Ikungi mchanganyiko wilaya ya Ikungi mkoani Singida,Julius Charles (12) ambaye hana mikono ameiomba serikali imsaidie kupata mtu atakaye mhudumia ili aweze kusoma kwa uhuru zaidi aweze...
11 years ago
GPLMWANAFUNZI MLEMAVU MIKONO YOTE MIWILI AOMBA MSAADA WA JK
10 years ago
Vijimambo24 Jan
HUYU NDIO MWANAFUNZI MZEE ZAIDI DUNIANI ANAYESOMA SHULE YA MSINGI, ANA MIAKA 90
Akiwa na umri wa miaka 90 mwanamke wa Kenya ambaye anahudhuria masomo akiwa na wajukuu zake wapatao sita inaaminika ndiye mwanafunzi mzee zaidi anayesoma shule ya msingi duniani.
Akiwa ameketi dawati la mbele kabisa darasani ,yuko darasa la tano na amevalia nguo za shule , Priscilla Gogo Sitienei anamsikiliza mwalimu anayefundisha kwa makini hukua akiandika majina ya wanyama kwa kiingereza kwenye daftari lake.Prissilla alijiunga na shule hii ya...
11 years ago
Michuzi04 Mar
10 years ago
GPLMNIGERIA AMPATIA MASOGANGE PASIPOTI YA SAUZI
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMPATIA MSAADA WA SHILINGI MILIONI TANO MIRIAM WA MOMBO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Miriam Shemndolwa ambaye ni mlemavu wakati alipomtembelea nyumbani kwao Mombo wilayani Korogwe,...
10 years ago
VijimamboMwenyekiti wa Chama cha Wakulima AFP, Said Soud Said, Atangaza Nia kugombea Urais 2015
11 years ago
CloudsFM04 Jul
POLISI AMRUBUNI MWANAFUNZI KUFANYA NAYE MPENZI,AMWACHA CHUMBANI KWAKE,NYUMBA YAKE YAUNGUA MOTO,MWANAFUNZI AFARIKI DUNIA
Wananchi wa Mlangali, Ludewa wakiwa wamekizingira kituo cha polisi Mlangali mara baada ya kuipeleka maiti ya mtoto aliyeteketea kwa moto katika kituo hicho.KIONGOZI wa mbio za mwenge Kitaifa awatuliza wananchi wa Mlangali wilaya ya Ludewa ambao baadhi yao waliandamana kituo cha polisi kushinikiza kutolewa kwa askari polisi aliyedaiwa kusababisha kifo cha mtoto ili auwawe.Kiongozi huyo aliwaomba wananchi wa Mlangali kutokubali kujihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani ikiwa ni pamoja na...