Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima AFP, Said Soud Said, Atangaza Nia kugombea Urais 2015
Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima AFP Mhe Said Soud Said, akiwasili katika viwanja vya Idara ya Habari Maelezo Rahaleo kutangaza nia na kulaaani kitendo cha Mawaziri wa kutoka CUF kususia Kikao cha baraza la Wawakilishi Zanzibar, akiongozana na Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa AFP Ndg Shaibu MasoudMhe Said Soud Said akisisitiza jambo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali kuhusiana na kutangaza Nia ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama chake cgha AFP, Na kulani...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLSUMAYE ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS 2015
10 years ago
MichuziSUMAYE ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS-2015 JIJINI DAR LEO.
Baadhi ya wananchi na Wanahabari mbalimbali waliohudhuria katika Mkutano wa Waziri Mkuu Mstafu Fedrick Tluway Sumaye wakati akitangaza nia ya kugombea...
10 years ago
Michuzi10 years ago
Michuzi07 Sep
MBUNGE WA JIMBO LA NZEGA DR.KHAMIS KINGWANGALLAH ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS 2015
BOFYA HAPA KUSOMA HOTUBA YAKE
10 years ago
GPLMBUNGE WA JIMBO LA NZEGA DK KHAMIS KIGWANGALA ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS 2015
10 years ago
MichuziMWANDISHI WA HABARI MWANDAMIZI ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UDIWANI KWA TIKETI YA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA SONGEA MKOANI RUVUMA
10 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziNYALANDU ATANGAZA NIA KUGOMBEA URAIS
Umati wa watu ukimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu baada ya kutangaza nia ya kugombea nafasi ya urais kwenye Uwanja wa Namfua mkoani Singida leo. (Picha na Loveness Bernard) Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (kushoto) akiwa na mkewe Faraja kabla ya kuzungumza na...
10 years ago
MichuziBALOZI MAHIGA ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS
ALIYEKUWA Balozi wa Kudumu wa Umoja wa Mataifa,Dk. Augustine Mahiga ametangaza nia ya kugombea urais ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), jijini Dar es salaam leo.
Akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam, Mahiga amesema maadili yamemomonyoka na kufanya kuwepo kwa rushwa na ufisadi.
Mahiga amesema ubadhirifu na ufisadi katika taifa kunahitajika kuwepo kwa mwelekeo katika kuweza kupambana na vitu hivyo ili...