MBUNGE WA JIMBO LA NZEGA DR.KHAMIS KINGWANGALLAH ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS 2015
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya serikali za Mitaa na Mbunge wa jimbo la Nzega Dr. Khamis Kigwangallah akitangaza nia yake ya kugombea urais waJamhuri ya Muungano ya Tanzania wakati alipokutana na waandishi wa habari kwenye ambapo amesema hajasukumwa na mtu yeyote ila ni yeye mwenyewe ameamua kwa moyo wake.
BOFYA HAPA KUSOMA HOTUBA YAKE
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/09/115.jpg)
MBUNGE WA JIMBO LA NZEGA DK KHAMIS KIGWANGALA ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS 2015
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Serikali za Mitaa na Mbunge wa Jimbo la Nzega, Dk. Khamis Kigwangala, akitangaza nia yake ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania wakati alipokutana na waandishi wa habari ambapo amesema hajasukumwa na mtu yeyote ila ni yeye mwenyewe ameamua kwa moyo wake. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Serikali za… ...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-q-tycRCDJkE/VDRxGaOBvEI/AAAAAAAGomc/aFwX7Ej_zYE/s72-c/download%2B(5).jpg)
Hotuba ya Dkt. Hamisi Kigwangalla, Mbunge wa Jimbo la Nzega na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya TAMISEMI Alipopokelewa Jimboni Nzega Baada ya Kutangaza Nia Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
![](http://2.bp.blogspot.com/-q-tycRCDJkE/VDRxGaOBvEI/AAAAAAAGomc/aFwX7Ej_zYE/s1600/download%2B(5).jpg)
Nitumie fursa hii kwa namna ya kipekee kuwashukuru nyote kwa kuacha shughuli zenu kuja kunipokea na kushiriki mkutano huu. Mmenipa heshima kubwa sana na mimi nawajibika tu kusema ‘ahsanteni sana’.
Mimi hapa ni aidha mtoto wenu, mjukuu wenu ama mdogo wenu, mnapoacha shughuli zenu...
10 years ago
GPLSUMAYE ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS 2015
Sehemu iliyokuwa imeandaliwa kwa ajili ya kutangaza nia ya kugombea urais katika Ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regency. Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Frederick Sumaye akitangaza nia ya kugombea urais mbele ya wananchi waliohudhuria mkutano huo leo.…
10 years ago
Mwananchi21 Apr
Dk Khamis Kigwangala: Mbunge wa Jimbo la Nzega
Dk Hamisi Andrea Kigwangalla alizaliwa Agosti 7, 1975 mkoani Kigoma, hivyo Agosti mwaka huu atafikisha umri wa miaka 40. Baba yake mzazi Nasser Kigwangalla alikuwa mfanyakazi wa benki na baadaye mwandishi wa habari, huku mama yake mzazi, Bagaile Lumola akiwa mwalimu na baadaye akaingia katika siasa ndani ya CCM.
10 years ago
MichuziSUMAYE ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS-2015 JIJINI DAR LEO.
Baadhi ya wananchi na Wanahabari mbalimbali waliohudhuria katika Mkutano wa Waziri Mkuu Mstafu Fedrick Tluway Sumaye wakati akitangaza nia ya kugombea...
10 years ago
VijimamboMwenyekiti wa Chama cha Wakulima AFP, Said Soud Said, Atangaza Nia kugombea Urais 2015
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/MrqSxm3ZLYg/default.jpg)
10 years ago
MichuziNYALANDU ATANGAZA NIA KUGOMBEA URAIS
10 years ago
MichuziBALOZI MAHIGA ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
ALIYEKUWA Balozi wa Kudumu wa Umoja wa Mataifa,Dk. Augustine Mahiga ametangaza nia ya kugombea urais ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), jijini Dar es salaam leo.
Akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam, Mahiga amesema maadili yamemomonyoka na kufanya kuwepo kwa rushwa na ufisadi.
Mahiga amesema ubadhirifu na ufisadi katika taifa kunahitajika kuwepo kwa mwelekeo katika kuweza kupambana na vitu hivyo ili...
ALIYEKUWA Balozi wa Kudumu wa Umoja wa Mataifa,Dk. Augustine Mahiga ametangaza nia ya kugombea urais ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), jijini Dar es salaam leo.
Akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam, Mahiga amesema maadili yamemomonyoka na kufanya kuwepo kwa rushwa na ufisadi.
Mahiga amesema ubadhirifu na ufisadi katika taifa kunahitajika kuwepo kwa mwelekeo katika kuweza kupambana na vitu hivyo ili...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania