Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASOGANGE ATANGAZIWA NDOA SAUZI

Stori: Musa Mateja Modo Agnes Masogange ameonekana kumdatisha mwanaume aliyefahamika kwa jina la Louis Donald wa nchini Afrika Kusini baada ya jamaa huyo kuposti mtandaoni picha tofauti akiwa amepozi kimahaba na Agnes na kueleza kuwa, huyo ndiye mke wake wa kufa na kuzikana. Modo Agnes Masogange. Jamaa huyo amekuwa akieneza habari kuwa, Masogange ni ‘mtu’ wake kitendo kilicholifanya Ijumaa ambalo awali lilikuwa na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MASOGANGE AHAMIA SAUZI

VIDEO Queen matata Bongo, Agness Jelard ‘Masogange’ amehamia nchini Afrika Kusini ‘sauzi’ kwa ajili ya kutafuta maisha. Akipiga stori na paparazi wetu, Masogange alisema ameamua kuhamia nchini humo ambapo ndipo atakapokuwa akiishi maisha yake yote na Tanzania atakuwa anakuja kutembea tu. Video Queen matata Bongo, Agness Jelard ‘Masogange’. “Nimeamua hivyo kwani nahisi huku ndiy  o...

 

10 years ago

GPL

MNIGERIA AMPATIA MASOGANGE PASIPOTI YA SAUZI

Stori: Sifael Paul na Imelda Mtema Habari ya mjini kwenye ulimwengu wa mastaa Bongo ni taarifa kuwa video queen maarufu, Agness Gerald ‘Masogange’ amepatiwa passport (pasipoti) ya kuishi nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’ na mwanaume anayedaiwa kuwa ni mfanyabiashara raia wa Nigeria. Video queen maarufu, Agness Gerald ‘Masogange’. MWANAUME KAMWINGIZA MKENGE?
Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika,...

 

11 years ago

GPL

Shomari Kapombe atangaziwa kifungo

Na Hans Mloli
KLABU ya AS Cannes ya Ufaransa imetangaza kuwa kama itaona suala la utovu wa nidhamu linaendelea kwa beki wake, Shomari Kapombe, basi itamfungia mara moja. AS Cannes inayoshiriki Ligi Daraja la Nne nchini Ufaransa, imeonyesha kuchoshwa na danadana kuhusiana na Kapombe. Lakini wakati ikitangaza hali hiyo, taarifa zinaeleza Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), limeingilia suala hilo.
Mmoja wa maofisa wa AS...

 

10 years ago

GPL

WABONGO SAUZI SI SALAMA

INATISHA! Huku Wabongo wengi wakiendelea kukimbilia Afrika Kusini (Sauzi) kwa kigezo cha kutafuta maisha mazuri, imethibitika kwamba hali ya amani nchini humo si salama. Wahamiaji wakionekana kujiokoa pamoja na watoto wao. Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali kutoka nchini humo, Wabongo wengi na wageni wengine kutoka nchi tofautitofauti Afrika kama Zimbabwe, Botswana, Namibia na nchi nyingine wamekuwa wakifanyiwa vitendo vya kikatili...

 

11 years ago

GPL

SHIJA AUGUA ALAZWA SAUZI

Stori: Joseph Shaluwa STAA wa filamu za Kibongo, Deogratius Shija ameugua ghafla na kulazwa katika hospitali moja jijini Johannesburg, Afrika Kusini alipokwenda kwa mapumziko mafupi. Staa wa filamu za Kibongo, Deogratius Shija akiwa Hospitalini jijini Johannesburg, Afrika Kusini. Akiwasiliana na mwandishi wetu kupitia mtandao mmoja wa kijamii, rafiki wa karibu wa Shija aliyeomba hifadhi ya jina lake alithibitisha kuhusu kuugua...

 

11 years ago

GPL

ALIYEPIGWA NA CHID ATIMKIA SAUZI

Stori: Haruni Sanchawa MSICHANA aliyewahi kupigwa na msanii wa Hip Hop Bongo, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’, Mwanaisha Sued ‘Aisha’ ametimkia nchini Afrika Kusini kuishi kwa muda. Mkali wa Hip Hop Bongo, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’, Paparazi wetu alitia timu nyumbani kwa binti huyo Ilala-Bungoni, jijini Dar ili kujua maendeleo yake ambapo mdogo wa Asha ambaye hakutaka jina lake lichorwe...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Sherman kwenda Sauzi kesho

MSHAMBULIAJI wa Yanga Kpar Sherman raia wa Liberia  anatarajia kuondoka nchini kwenda Afrika Kusini katika timu ya Mpululanga black Acse kwa ajili ya kufanyiwa vipimo kabla ya kusajiliwa rasmi.

Katibu Mkuu wa Yanga Jonas Tiboroha alithibitisha kuondoka kwa mchezaji huyo raia wa Liberia na kuwa  uongozi umempa baraka zote.

Alisema leo atakuwa anamalizia masuala ya mwisho ili aweze kupata visa na kesho atakuwa safarini kwenda Afrika kusini kwa ajili ya vipimo.

“Sherman anaenda...

 

10 years ago

Michuzi

STARS YAENDELEA KUJIFUA SAUZI....

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imeendelea na mazoezi katika uwanja wa Olympia Park kujiandaa na mchezo wa fungua dimba dhidi ya timu ya Taifa ya Swaziland.
Kocha mkuu wa timu ya Taifa Stars Mart Nooij amesema vijana wake wanaendelea vizuri na mazoezi, ikiwa leo ni siku ya pili kufanya mazoezi baada ya kufanya mazoezi ya kwanza jana jioni.
Nooii amesema japokuwa kuna hali ya hewa ya baridi katika mji wa Rustenburg, wachezaji wake wameanza kuizoea na kusema kwa kuwa bado kuna zaidi ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Usajili wa Ngasa gumzo Sauzi

Dar es Salaam. Usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania,  Mrisho Ngassa kujiunga na klabu ya Free State Stars kwa mkataba wa miaka minne umezua gumzo nchini Afrika Kusini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani