MASOGANGE AHAMIA SAUZI
![](http://api.ning.com:80/files/3dClu3zYZus5qlSTGDqbrFr6kwGnFonH05CQduzy*POUvQTqaZ*Y0OwKq1zz0pe4SS9TByKp5V0kSQAsrDrLK5Ot08mBR*dy/masogange.jpg?width=650)
VIDEO Queen matata Bongo, Agness Jelard ‘Masogange’ amehamia nchini Afrika Kusini ‘sauzi’ kwa ajili ya kutafuta maisha. Akipiga stori na paparazi wetu, Masogange alisema ameamua kuhamia nchini humo ambapo ndipo atakapokuwa akiishi maisha yake yote na Tanzania atakuwa anakuja kutembea tu. Video Queen matata Bongo, Agness Jelard ‘Masogange’. “Nimeamua hivyo kwani nahisi huku ndiy o...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BY6VWIVrp22obj2MMUIgXkYQVis0tPKCAop6PBevJagJAV3HL2JqOShJzZSInVrMSYryUjEK6UP6Hb4PC1ZwhxyGHfm5pc9N/masogange.jpg)
MASOGANGE ATANGAZIWA NDOA SAUZI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/w3eiFFRDzzdHgkgXK7dc4WpW5sPfrIdwgHIj*z2zHp1w9MXkuCmEtIOTCrmu4QN7kIKEGmeP87wICy6qRszf0xmreZbGd9kj/masoogange.jpg)
MNIGERIA AMPATIA MASOGANGE PASIPOTI YA SAUZI
10 years ago
Tanzania Daima27 Sep
Sitta ahamia CHADEMA
MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta, amehamishia vita vya maneno Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akidai kuwa viongozi wake wameweka namba yake ya simu kwenye tovuti ili...
9 years ago
Global Publishers24 Dec
Jide ahamia Ujerumani!
Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ au ‘Lady Jaydee’.
Stori: Na Brighton Masalu
MOYONI nina majonzi, sina tofauti na mpofu! Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ au ‘Lady Jaydee’ kwa sasa hana makazi maalum Bongo, amehamishia makazi na shughuli zake katika ardhi ya ‘Kansela’ wa Ujerumani, Angelina Merkel kwenye Jiji la Born.
Katika mazungumzo yake na mwandishi wetu kwa njia ya simu, Jumatatu ya wiki hii, Jide ambaye alidai kwa sasa yupo nchini kwa Sikukuu ya Krismasi (kesho), alisema sababu zilizomfanya...
9 years ago
Mtanzania21 Sep
Honeyb ahamia Kiri record
NA HERIETH FAUSTINE
MSANII chipukizi katika muziki wa Bongo Fleva, Bhoke Joseph (Honeyb), yupo katika maandalizi ya wimbo wake mpya alioupa jina ‘Tushirikiane’.
Wimbo huo unatarajiwa kurekodiwa katika studio za Kiri zilizopo Kinondoni jijini Dar es Salaam, baada ya kuamua kuhamisha vionjo hadi studio hiyo akitokea studio za Master zilizopo Kimara jijini hapa.
“Nyimbo ninazoimba zipo katika mfumo wa dini lakini ukisikiliza kwa makini ndiyo utagundua ni dini kwa kuwa mahadhi ninayotumia ni ya...
9 years ago
Mtanzania07 Dec
Mwenyekiti UWT ahamia Chadema
NA JANETH MUSHI, ARUSHA
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) Wilaya ya Arusha, Vicky Mollel amekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Mollel ambaye aliwahi kuwa Diwani wa Viti Maalum Kata ya Daraja Mbili kupitia CCM anatarajiwa kukabidhiwa kadi ya uanachama Jumatano wiki hii na aliyekuwa mgombea urais wa Ukawa kupitia Chadema, Edward Lowassa.
Mollel aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa ameamua kukihama CCM baada ya kuchoshwa...
11 years ago
BBCSwahili11 Jul
Luis Suarez ahamia Barcelona
10 years ago
BBCSwahili23 Jul
Benteke ahamia rasmi Liverpool
11 years ago
Tanzania Daima07 Mar
Mfadhili wa CCM ahamia CHADEMA
KADA maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mfadhili wa chama hicho, Sanito Samson na mkewe, Dativa Sanito, wamehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakielezea kuchoshwa kuchangishwa fedha au...