Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sitta ahamia CHADEMA

MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta, amehamishia vita vya maneno Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akidai kuwa viongozi wake wameweka namba yake ya simu kwenye tovuti ili...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Mwenyekiti UWT ahamia Chadema

NA JANETH MUSHI, ARUSHA

MWENYEKITI wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) Wilaya ya Arusha, Vicky Mollel amekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

Mollel ambaye aliwahi kuwa Diwani wa Viti Maalum Kata ya Daraja Mbili kupitia CCM anatarajiwa kukabidhiwa kadi ya uanachama Jumatano   wiki  hii  na aliyekuwa mgombea urais wa Ukawa kupitia Chadema, Edward Lowassa.

Mollel aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa ameamua kukihama CCM baada ya kuchoshwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfadhili wa CCM ahamia CHADEMA

KADA maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mfadhili wa chama hicho, Sanito Samson na mkewe, Dativa Sanito, wamehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakielezea kuchoshwa kuchangishwa fedha au...

 

9 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti UWT Arusha ahamia Chadema

Zikiwa zimebaki siku sita kufanyika kwa uchaguzi wa Jimbo la Arusha Mjini, Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) Wilaya ya Arusha, Vicky Mollel ametangaza kujiuzulu na kujiunga na Chadema.

 

10 years ago

GPL

LEMBELI AITOSA RASMI CCM, AHAMIA CHADEMA

Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Kahama mkoani Shinyanga, Mhe. James Daudi Lembeli. v Mbunge wa jimbo la Kahama mkoani Shinyanga, Mhe. James Daudi Lembeli ametangaza rasmi hii leo kuachana na Chama cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendelo…

 

10 years ago

GPL

LETICIA NYERERE AIKACHA CHADEMA, AHAMIA CCM

Mh. Leticia Nyerere (katikati) akiwa na watoto wake Julia Nyerere (kulia) na Helena Nyerere (kushoto) wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari. Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia kwa karibu tukio hilo. Mh. Leticia akikazia jambo. Aliyekuwa Mbunge wa viti maalum kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Leticia Nyerere ametangaza kuCihama rasmi chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi...

 

9 years ago

Habarileo

Katibu Chadema jimbo la Masasi ahamia CCM

KATIBU wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jimbo la Masasi, Faraji Mangochi amekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) huku akihusika kwa nguvu katika kampeni za uchaguzi mdogo jimboni humo.

 

10 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA CCM SHINYANGA KHAMIS MGEJA AHAMIA CHADEMA

CCM sio baba yangu si mama yangu, Watanzania wanahitaji mabadiliko wasipo yapata ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM ndiyo maneno aliyoyatumia Khamis Mgeja alipokua kizungumuza na waandishi wa habari jijini Dar hivi punde alipotangaza uamuzi wake wa kukihama chama cha CCM na kujiunga na CHADEMA.
Khamis Mgeja alikua mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga leo ametangaza rasmi kujiunga na CHADEMA jijini Dar.

 

10 years ago

Michuzi

ALIYEWAHI KUGOMBEA UBUNGE CHADEMA MKOANI TANGA AHAMIA CCM.

Aliyewahi Kugombea Ubunge Tanga Mjini kwa tiketi ya chama cha CHADEMA mnamo mwaka 2010,Kassim Omar Mbarak almaarufu Makubel,ametangaza rasmi kuhamia chama cha CCM,baada ya kuvutiwa na hotuba ya Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana alipozungumza na wakazi wa Mji wa Tanga katika mkutano wa hadhara kuwashukuru wananchi walioichagua CCM kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Desemba 2014 nchi nzima ambapo mkoa wa Tanga umekuwa wa pili kwa kushinda kwa asilimia 97. 

 

11 years ago

Michuzi

Katibu wa CHADEMA Jimbo la Mufindi Kusini, Emannuel Ngwalanje , Ahamia CCM

MZIMU wa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Kabwe umeelezwa kumkimbiza hadi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Katibu wa Chadema jimbo la Mufindi Kusini, Emannuel Ngwalanje.
Hatua ya Ngwalanje kujitoa Chadema na kujiunga na CCM imeelezwa na baadhi ya wafuasi wa Chadema kuwa ni pigo kubwa kwa chama hicho.
Akizungumzia kujitoa kwa Ngwalanje, mwanachama wa Chadema Michael Ngimbusi alisema; “Ngwalanje alikuwa nguzo kuu ya Chadema wilayani Mufindi, aliogopwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani