Mwenyekiti UWT ahamia Chadema
NA JANETH MUSHI, ARUSHA
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) Wilaya ya Arusha, Vicky Mollel amekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Mollel ambaye aliwahi kuwa Diwani wa Viti Maalum Kata ya Daraja Mbili kupitia CCM anatarajiwa kukabidhiwa kadi ya uanachama Jumatano wiki hii na aliyekuwa mgombea urais wa Ukawa kupitia Chadema, Edward Lowassa.
Mollel aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa ameamua kukihama CCM baada ya kuchoshwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi07 Dec
Mwenyekiti UWT Arusha ahamia Chadema
10 years ago
Vijimambo13 Aug
MWENYEKITI WA CCM SHINYANGA KHAMIS MGEJA AHAMIA CHADEMA
![](http://api.ning.com/files/ykZ*wTWqMzb4ytuRIXAmmOxZurcIiApYyCM-PaNTa4-GX0wYFYQgz6G8pqN1XS1Jg4NFiY7tbBS8siGOdRZlapkXMVJ*c*j2/MGEJA.jpg)
Khamis Mgeja alikua mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga leo ametangaza rasmi kujiunga na CHADEMA jijini Dar.
10 years ago
Dewji Blog06 Aug
Mwenyekiti UWT Ikungi atimuliwa CCM, aenda Chadema aangukia pua
Katibu wa CCM wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Aluu Segamba,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo kwenye picha),juu ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wilayani humo, Christina Hamisi kujivua unachama na kufukuzwa kazi kwa madai ya kuvunja sheria, kanuni na taratibu za chama tawala.(Picha na Nathaniel Limu).
Kaimu Katibu wa CCM Mkoa wa Singida, Mary Maziku akizungumza na wanahabari juu ya kufukuzwa uongozi aliyekuwa Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Ikungi Christina Samwel...
10 years ago
Michuzi15 Sep
MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA TAIFA 2014:FREEMAN MBOWE ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI CHADEMA TAIFA, PROFESA ABDALLAH SAFARI MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA BARA
![](https://1.bp.blogspot.com/-VwjPajbyPYM/VBYGNHuHZnI/AAAAAAADDa8/w_3TshBHAoo/s1600/WP_20140914_21_58_12_Pro__highres.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-HG5Aa9bQe-c/VBYGNwW5hgI/AAAAAAADDbI/0LaVyaK69RA/s1600/WP_20140914_22_03_19_Pro.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-zkazILlqtYY/VBYGORb9FrI/AAAAAAADDbQ/kDW2ga7xEMw/s1600/WP_20140914_22_03_52_Pro__highres.jpg)
10 years ago
Habarileo09 Feb
Mwenyekiti UWT ataka kura za ndio kwa katiba
WANAWAKE wilayani hapa wameaswa kujitokeza kwa wingi kupigia kura za Ndiyo Katiba Inayopendekezwa, ikielezwa imebeba mambo mengi ya msingi kwa maendeleo ya mwanamke.
10 years ago
Tanzania Daima27 Sep
Sitta ahamia CHADEMA
MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta, amehamishia vita vya maneno Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akidai kuwa viongozi wake wameweka namba yake ya simu kwenye tovuti ili...
11 years ago
Tanzania Daima07 Mar
Mfadhili wa CCM ahamia CHADEMA
KADA maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mfadhili wa chama hicho, Sanito Samson na mkewe, Dativa Sanito, wamehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakielezea kuchoshwa kuchangishwa fedha au...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eGJdezr2p4UL3OdrPwJkRWytOEqhHeM7hDaK3Qp1pGjokmauqTykftw12g3iL1TVoEnqrNyZgrNo68MVCG2xpmWBbJ816AYf/13.gif)
LEMBELI AITOSA RASMI CCM, AHAMIA CHADEMA
9 years ago
Habarileo20 Nov
Katibu Chadema jimbo la Masasi ahamia CCM
KATIBU wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jimbo la Masasi, Faraji Mangochi amekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) huku akihusika kwa nguvu katika kampeni za uchaguzi mdogo jimboni humo.