Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jide ahamia Ujerumani!

jaydeeJudith Wambura Mbibo ‘Jide’ au ‘Lady Jaydee’.

Stori: Na Brighton Masalu

MOYONI nina majonzi, sina tofauti na mpofu! Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ au ‘Lady Jaydee’ kwa sasa hana makazi maalum Bongo, amehamishia makazi na shughuli zake katika ardhi ya ‘Kansela’ wa Ujerumani, Angelina Merkel kwenye Jiji la Born.

Katika mazungumzo yake na mwandishi wetu kwa njia ya simu, Jumatatu ya wiki hii, Jide ambaye alidai kwa sasa yupo nchini kwa Sikukuu ya Krismasi (kesho), alisema sababu zilizomfanya...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

mtangazaji mahiri wa ITV na Radio One Isaack Muyenzwa Gamba ahamia DW Ujerumani

Aliyekuwa mtangazaji wa ITV na Radio One Isaack Muyenzwa Gamba (wa pili kulia) akiwa na watangazaji wakongwe wa DW jijini Bonn, Ujerumani alikohamia hivi karibuni. Wengine kutoka kulia ni Mohamed Dahman, Sudi Mnete, Sekioni Kitojo, Abdul Mtulya na mdau.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sitta ahamia CHADEMA

MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta, amehamishia vita vya maneno Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akidai kuwa viongozi wake wameweka namba yake ya simu kwenye tovuti ili...

 

11 years ago

GPL

MASOGANGE AHAMIA SAUZI

VIDEO Queen matata Bongo, Agness Jelard ‘Masogange’ amehamia nchini Afrika Kusini ‘sauzi’ kwa ajili ya kutafuta maisha. Akipiga stori na paparazi wetu, Masogange alisema ameamua kuhamia nchini humo ambapo ndipo atakapokuwa akiishi maisha yake yote na Tanzania atakuwa anakuja kutembea tu. Video Queen matata Bongo, Agness Jelard ‘Masogange’. “Nimeamua hivyo kwani nahisi huku ndiy  o...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfadhili wa CCM ahamia CHADEMA

KADA maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mfadhili wa chama hicho, Sanito Samson na mkewe, Dativa Sanito, wamehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakielezea kuchoshwa kuchangishwa fedha au...

 

10 years ago

BBCSwahili

Benteke ahamia rasmi Liverpool

Timu ya livepool imekamilisha kumsajili rasmi mshambuliaji mwenye asili ya Jamuhuri ya Kidemokrasia wa kongo Christian Benteke kutoka Aston Villa kwa kitita paundi milion 32.5.

 

9 years ago

Mtanzania

Mwenyekiti UWT ahamia Chadema

NA JANETH MUSHI, ARUSHA

MWENYEKITI wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) Wilaya ya Arusha, Vicky Mollel amekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

Mollel ambaye aliwahi kuwa Diwani wa Viti Maalum Kata ya Daraja Mbili kupitia CCM anatarajiwa kukabidhiwa kadi ya uanachama Jumatano   wiki  hii  na aliyekuwa mgombea urais wa Ukawa kupitia Chadema, Edward Lowassa.

Mollel aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa ameamua kukihama CCM baada ya kuchoshwa...

 

9 years ago

Mtanzania

Honeyb ahamia Kiri record

HoneybNA HERIETH FAUSTINE

MSANII chipukizi katika muziki wa Bongo Fleva, Bhoke Joseph (Honeyb), yupo katika maandalizi ya wimbo wake mpya alioupa jina ‘Tushirikiane’.

Wimbo huo unatarajiwa kurekodiwa katika studio za Kiri zilizopo Kinondoni jijini Dar es Salaam, baada ya kuamua kuhamisha vionjo hadi studio hiyo akitokea studio za Master zilizopo Kimara jijini hapa.

“Nyimbo ninazoimba zipo katika mfumo wa dini lakini ukisikiliza kwa makini ndiyo utagundua ni dini kwa kuwa mahadhi ninayotumia ni ya...

 

9 years ago

Habarileo

Ahamia vyama 3 akisaka ubunge

WIMBI la hama hama kutoka katika vyama vya siasa, lililowakumba zaidi makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliokatwa katika kura za maoni kwenda vyama vya upinzani, limeingia katika hatua mpya, baada ya kada mmoja kujikuta akihamia vyama vitatu ndani ya wiki moja, akisaka fursa ya kugombea ubunge.

 

11 years ago

BBCSwahili

Luis Suarez ahamia Barcelona

Liverpool imekubali kumuuza Luis Suarez kwa Barcelona kwa kima cha pauni milioni 75.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani