Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ahamia vyama 3 akisaka ubunge

WIMBI la hama hama kutoka katika vyama vya siasa, lililowakumba zaidi makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliokatwa katika kura za maoni kwenda vyama vya upinzani, limeingia katika hatua mpya, baada ya kada mmoja kujikuta akihamia vyama vitatu ndani ya wiki moja, akisaka fursa ya kugombea ubunge.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Mgombea ubunge wa CUF ahamia CCM

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimepasuka wilayani Mafia, mkoani Pwani, baada ya aliyeidhinishwa kugombea ubunge Mafia, Mohammed Albadawi, kuhama chama hicho na kujiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

10 years ago

Michuzi

ALIYEWAHI KUGOMBEA UBUNGE CHADEMA MKOANI TANGA AHAMIA CCM.

Aliyewahi Kugombea Ubunge Tanga Mjini kwa tiketi ya chama cha CHADEMA mnamo mwaka 2010,Kassim Omar Mbarak almaarufu Makubel,ametangaza rasmi kuhamia chama cha CCM,baada ya kuvutiwa na hotuba ya Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana alipozungumza na wakazi wa Mji wa Tanga katika mkutano wa hadhara kuwashukuru wananchi walioichagua CCM kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Desemba 2014 nchi nzima ambapo mkoa wa Tanga umekuwa wa pili kwa kushinda kwa asilimia 97. 

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mwanafunzi afariki akisaka maembe

MWANAFUNZI Hamimu Mussa (11), wa Shule ya Msingi Uhuru  Manispaa ya Kigoma Ujiji, amefariki dunia baada ya kuanguka kwenye mti wa mwembe na mwingine kuvunjika mguu na mkono. Akizungumza na waandishi...

 

9 years ago

BBCSwahili

Chui akwama kwenye chungu akisaka maji

Chui mmoja aliyekuwa amesakamwa na kiu alijipata kwenye shida zaidi baada ya kichwa chake kukwama kwenye chungu akijaribu kufikia maji.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mapokezi ya Mh January Makamba Jiji la Mwanza akisaka wadhamini

IMG_2744

Mh. January Makamba na Mkewe wakitembea pamoja na Wana CCM katika mitaa ya jijini Mwanza mara walipowasili katika jiji hilo kutafuta wadhamini.(Picha zote na John Sambila).

Mbunge wa Bumbuli, Mh. January Makamba ambaye anazunguuka mikoani kwa sasa kusaka wadhamini, jana alikua katika Jiji la Mwanza huku mamia ya wanachama na wakazi wa Mwanza walifurika katika ukumbi wa Nyanza kumsikiliza Mh January.

Makamba ametoa ahadi kwa wakazi wa Mwanza kuwa hataka kama hatofanikiwa katika Mchakato huu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sitta ahamia CHADEMA

MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta, amehamishia vita vya maneno Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akidai kuwa viongozi wake wameweka namba yake ya simu kwenye tovuti ili...

 

9 years ago

Global Publishers

Jide ahamia Ujerumani!

jaydeeJudith Wambura Mbibo ‘Jide’ au ‘Lady Jaydee’.

Stori: Na Brighton Masalu

MOYONI nina majonzi, sina tofauti na mpofu! Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ au ‘Lady Jaydee’ kwa sasa hana makazi maalum Bongo, amehamishia makazi na shughuli zake katika ardhi ya ‘Kansela’ wa Ujerumani, Angelina Merkel kwenye Jiji la Born.

Katika mazungumzo yake na mwandishi wetu kwa njia ya simu, Jumatatu ya wiki hii, Jide ambaye alidai kwa sasa yupo nchini kwa Sikukuu ya Krismasi (kesho), alisema sababu zilizomfanya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani