Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgombea ubunge wa CUF ahamia CCM

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimepasuka wilayani Mafia, mkoani Pwani, baada ya aliyeidhinishwa kugombea ubunge Mafia, Mohammed Albadawi, kuhama chama hicho na kujiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mbunge CCM Lindi ahamia CUF

Mbunge wa Viti Maalumu CCM Mkoa wa Lindi, Riziki Rurida amekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Wananchi (CUF).

 

10 years ago

Michuzi

ALIYEWAHI KUGOMBEA UBUNGE CHADEMA MKOANI TANGA AHAMIA CCM.

Aliyewahi Kugombea Ubunge Tanga Mjini kwa tiketi ya chama cha CHADEMA mnamo mwaka 2010,Kassim Omar Mbarak almaarufu Makubel,ametangaza rasmi kuhamia chama cha CCM,baada ya kuvutiwa na hotuba ya Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana alipozungumza na wakazi wa Mji wa Tanga katika mkutano wa hadhara kuwashukuru wananchi walioichagua CCM kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Desemba 2014 nchi nzima ambapo mkoa wa Tanga umekuwa wa pili kwa kushinda kwa asilimia 97. 

 

11 years ago

Tanzania Daima

CUF haitasimamisha mgombea ubunge Kalenga

INAWEZEKANA mnyukano wa kuwania ubunge katika Jimbo la Kalenga ukabaki kwa vyama hasimu ambavyo ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya Chama cha...

 

11 years ago

GPL

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE (CUF) AMUWEKEA PINGAMIZI WA CHADEMA

TAARIFA YA PINGAMIZI LA MGOMBEA WA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE FABIAN LEONARD SKAUKI – MGOMBEA CHAMA CHA WANANCHI –CUF
                                                            DHIDI YA
MATHAYO MANG’UNDA TORONGEY – MGOMBEA...

 

9 years ago

Mwananchi

Mgombea ubunge CUF akwama kufungua kesi Mahakama Kuu

Aliyekuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Mbagala kwa tiketi ya CUF, Kondo Bungo amekwama kufungua kesi ya kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu yaliyompa ushindi mpinzani wake wa CCM, Issa Mangungu.

 

9 years ago

Vijimambo

WATU WASIOJULIKANA WAVAMIA NA KUBOMOA NYUMBA YA MGOMBEA UBUNGE CUF MTWARA.

Kundi la watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo wamevamia na kuibomoa nyumba ya mgombea ubunge wa chama cha wananchi CUF jimbo jipya la nanyamba wilaya ya mtwara vijijini, twahiri saidi baada ya kushindwa kurudisha fomu ya ubunge na kutokomea kusiko julikana huku simu zake za mkononi zikiwa hazipatikani.


Wakizungumza kwa masikitiko baadhi ya viongozi wa chama hicho na wanachi wa jimbo la Nanyamba wamesema mazingira aliyotoweka mgombea huyo  yanaonyesha wazi  kuna mchezo mchafu umefanywa ili...

 

10 years ago

Habarileo

‘CCM Arusha haijaandaa mgombea Ubunge’

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman KinanaCHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Arusha, kimesema hakina mgombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, aliyeandaliwa hadi sasa.

 

9 years ago

Mwananchi

Cuf yaungana na CCM kupinga matokeo ya ubunge

Chama cha Wananchi (CUF) kinakusudia kufungua kesi kupinga matokea ya majimbo sita likiwemo la Mbagala kwa kuwa kinaamini kimepokwa ushindi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani