Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘CCM Arusha haijaandaa mgombea Ubunge’

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman KinanaCHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Arusha, kimesema hakina mgombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, aliyeandaliwa hadi sasa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

ACT - Wazalendo yapata mgombea ubunge Arusha Mjini

Hatimaye Chama cha ACT-Wazalendo mkoani Arusha kimempata mgombea atakayepeperusha bendera yake katika uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo la Arusha Mjini.

 

9 years ago

Mwananchi

Mgombea ubunge wa ACT Arusha Mjini amwombea kura Lowassa

Wakati waswahili wanasema adui yako mwombee njaa, msemo huo umekuwa tofauti kwa upande wa mgombea ubunge wa ACT - Wazalendo Jimbo la Arusha Mjini, Estomih Malla baada ya jana kupanda jukwaani na kumwombea kura za ndiyo mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa.

 

10 years ago

Michuzi

MGOMBEA UBUNGE VITI MAALUMU ARUSHA,NEEMA AAHIDI KUINUA VIJANA KIUCHUMI

SAM_3817
Katibu wa vijana umoja wa vijana  UVCCM wilaya ya Arusha mjini Jamali Khimji akimkabidhi fomu ya ubunge viti maalum Bi.Neema Kiusa(27)katika ofisi za umoja huo jijini Arusha, ahaidi kuinua vijana kiuchumi endapo atapata nafasi ya kuwa Mbunge wa vijana Mkoa wa Arusha(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog). 
Mgombea ubunge kupita kundi la vijana (UVCCM) Neema Kiusa  leo amechukua fomu ya kuwania nafasi ya ubunge viti maalumu Mkoa wa Arusha,ambapo amesema kuwa shauku yake kubwa ni...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mgombea Ubunge Arusha , Mustafa Panju apandikiza mbegu ya Upendo, Amani na Mshikamano

SAM_4682

Mkurugenzi wa Bushback Safaris, Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM akiwaonyesha kadi ya CCM inayoonyesha imani ya mwanachamana kwa wanahabari pamoja na wadau mbalimbali jijini Arusha, pia alizungumzia kuhusu mchakato wa ndani ya chama kumpata mgombea wa Ubunge wa jimbo la Arusha kupitia CCM siku moja baada ya kumalizika kwa mchakato wa kuzunguka katika kata 25 za kuomba kura kwa wananchama wa chama hicho,aliwataka wananchi kumchagua mwanachama...

 

10 years ago

Michuzi

MGOMBEA UBUNGE ARUSHA ,MUSTAFA PANJU APANDIKIZA MBEGU YA UPENDO,AMANI NA MSHIKAMANO

SAM_4682Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM akiwaonyesha kadi ya CCM inayoonyesha imani ya mwanachamana kwa wanahabari pamoja na wadau mbalimbali jijini Arusha, pia alizungumzia kuhusu mchakato wa ndani ya chama kumpata mgombea wa Ubunge wa jimbo la Arusha kupitia CCM siku moja baada ya kumalizika kwa mchakato wa kuzunguka katika kata 25 za kuomba kura kwa wanachama wa chama hicho,aliwataka wananchi kumchagua mwanachama...

 

9 years ago

Habarileo

Mgombea ubunge wa CUF ahamia CCM

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimepasuka wilayani Mafia, mkoani Pwani, baada ya aliyeidhinishwa kugombea ubunge Mafia, Mohammed Albadawi, kuhama chama hicho na kujiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

10 years ago

Mtanzania

CCM Handeni watishia kutomnadi mgombea ubunge

NA MWANDISHI WETU, TANGA

WAGOMBEA 15 waliojitokeza kuomba ridhaa ya kuwania ubunge Jimbo la Handeni Vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), wametishia kutomnadi mgombea aliyeshinda kura za maoni, John Saru, kwa madai kuwa ushindi wake ulitokana na uchakachuaji wa matokeo akisaidiwa na uongozi wa wilaya.

Walisema iwapo ataidhinishwa na vikao vya juu vya chama kupambana na wagombea wengine wa vyama vya upinzani, hawatampa ushirikiano badala yake watamuunga mkono mgombea wao wa nafasi ya...

 

9 years ago

Michuzi

Mgombea ubunge Mafia anadiwa na kunadi ilani ya CCM

 Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi Mama Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mgombea ubunge jimbo la Mafia bwana Mbaraka Kitwana Dau kabla ya kumnadi kisiwani Mafia
 Mama Samia Suluhu Hassan aki saini kitabu cha wageni, kisiwani Mafia. Kulia kwake ni bwana Mbaraka Kitwana Dau, ambaye anagombania ubunge jimbo la Mafia. Kushoto kwake ni mwenyekiti wa CCM Mafia bi Arafa. Mwisho kushoto ni Mhe Abdulkarim Shah, mbunge wa Mafia anaemaliza muda wake. Mwisho kulia  ni DC wa MafiaMama Samia Suluhu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani