Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgombea ubunge Mafia anadiwa na kunadi ilani ya CCM

 Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi Mama Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mgombea ubunge jimbo la Mafia bwana Mbaraka Kitwana Dau kabla ya kumnadi kisiwani Mafia
 Mama Samia Suluhu Hassan aki saini kitabu cha wageni, kisiwani Mafia. Kulia kwake ni bwana Mbaraka Kitwana Dau, ambaye anagombania ubunge jimbo la Mafia. Kushoto kwake ni mwenyekiti wa CCM Mafia bi Arafa. Mwisho kushoto ni Mhe Abdulkarim Shah, mbunge wa Mafia anaemaliza muda wake. Mwisho kulia  ni DC wa MafiaMama Samia Suluhu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MGOMBEA MWENZA WA CCM SAMIAH SULUHU ANADI ILANI YA CCM MWAKA 2015 KATIKA KATA YA KYENGEGE,WILAYA YA IRAMBA

Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kwa Chama cha Mapinduzi Bi.Samia Suluh akisalimiana na Mh;Mwigulu Nchemba ambaye ni mgombea Ubunge jimbo la Iramba hii leo,Bi.Samiah suluhu katika ziara yake ya kampeni ndani ya mkoa wa Singida,hii leo amefika Kata ya Kyengege Jimbo la Iramba kwaajili ya kunadi Ilani ya CCM ya uchaguzi ya Mwaka 2015 na kuomba kura za kishindo kwa nafasi zote za Udiwani,Ubunge na Urais ifikapo Tar.25.10.2015
Bi.Samiah Suluhu ambaye ni Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS MTARAJIWA ALIPOWASILI IRAMBA KATA YA KYENGEGE KUNADI ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI

Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kwa Chama cha Mapinduzi Bi.Samia Suluh akisalimiana na Mh;Mwigulu Nchemba ambaye ni mgombea Ubunge jimbo la Iramba hii leo,Bi.Samiah suluhu katika ziara yake ya kampeni ndani ya mkoa wa Singida,hii leo amefika Kata ya Kyengege Jimbo la Iramba kwaajili ya kunadi Ilani ya CCM ya uchaguzi ya Mwaka 2015 na kuomba kura za kishindo kwa nafasi zote za Udiwani,Ubunge na Urais ifikapo Tar.25.10.2015
Bi.Ummy Mwalimu ambaye pia ni Mshindi wa nafasi ya Ubunge- Viti...

 

10 years ago

Habarileo

‘CCM Arusha haijaandaa mgombea Ubunge’

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman KinanaCHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Arusha, kimesema hakina mgombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, aliyeandaliwa hadi sasa.

 

10 years ago

Habarileo

Mgombea ubunge wa CUF ahamia CCM

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimepasuka wilayani Mafia, mkoani Pwani, baada ya aliyeidhinishwa kugombea ubunge Mafia, Mohammed Albadawi, kuhama chama hicho na kujiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

10 years ago

Mtanzania

CCM Handeni watishia kutomnadi mgombea ubunge

NA MWANDISHI WETU, TANGA

WAGOMBEA 15 waliojitokeza kuomba ridhaa ya kuwania ubunge Jimbo la Handeni Vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), wametishia kutomnadi mgombea aliyeshinda kura za maoni, John Saru, kwa madai kuwa ushindi wake ulitokana na uchakachuaji wa matokeo akisaidiwa na uongozi wa wilaya.

Walisema iwapo ataidhinishwa na vikao vya juu vya chama kupambana na wagombea wengine wa vyama vya upinzani, hawatampa ushirikiano badala yake watamuunga mkono mgombea wao wa nafasi ya...

 

10 years ago

Vijimambo

WENGI WAMSINDIKIZA KUCHUKUA FOMU MGOMBEA UBUNGE WA CCM, MBARALI.

Mgombea Ubunge PirMohamed akiwasili wilayani Mbarali kwa ndege binafsi alipoondea kuchukua fomu.Maandamano ya magari na pikipiki yakimsindikiza kuchukua fomu mgombea ubunge wa CCMMwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mbarali, Matayo Mwangomo akimkabidhi barua ya kuteuliwa kugombea ubunge wa Jimbo hilo PirMohamed kabla ya kuelekea kuchukua fomu.Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, Adam Mgoyi akimkabidhi fomu ya kuwania kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM PirMohamed.Mgombea Ubunge kwa tiketi ya...

 

10 years ago

Michuzi

MGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA MAFINGA AAHIDI KUTATUA KERO YA MAJI

wananchi wa Mafinga mjini wakimpokea mwenyekiti wa chama cha CCM mkoa wa Iringa jana mjini mafinga           MATUKIO KATIKA PICHA (picha: Baraka Nyagenda)wananchi  wa jimbo la Mafinga  wakifurahia mkutano mjumbe wa  NEC Marcelina Mkini akimnadi mgombea  ubunge Bw Chumi 
 KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

11 years ago

Michuzi

MSAFARA WA MGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA CHALINZE ULIVYOKABILIWA CHANGAMOTO YA BARABARA

Mwenyekiti wa Kampeni za CCM Jimbo la Chalinze,Saleh Mpwimbwi akiangalia gari linaloongoza Msafara wa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze wa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete likipita kwa shinda kwenye barabara yenye tope kutoka Kijiji cha Hondogo kwenda Kilemela,wakati wa safari ya kuelekea kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea huyo,Machi 29,2014.hali hiyo imekuja kutokana na Mvua kubwa zilizonyesha kwa siku mbili mfululizo katika Maeneo mbali mbali hapa nchini.Ridhiwani Kikwete...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani