Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSAFARA WA MGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA CHALINZE ULIVYOKABILIWA CHANGAMOTO YA BARABARA

Mwenyekiti wa Kampeni za CCM Jimbo la Chalinze,Saleh Mpwimbwi akiangalia gari linaloongoza Msafara wa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze wa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete likipita kwa shinda kwenye barabara yenye tope kutoka Kijiji cha Hondogo kwenda Kilemela,wakati wa safari ya kuelekea kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea huyo,Machi 29,2014.hali hiyo imekuja kutokana na Mvua kubwa zilizonyesha kwa siku mbili mfululizo katika Maeneo mbali mbali hapa nchini.Ridhiwani Kikwete...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

CCM YAMTEUA NDG. RIDHIWANI KIKWETE KUWA MGOMBEA WA UBUNGE KWENYE UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA CHALINZE

DODOMA,Tanzania
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imemteua Kada wa CCM, Ridhiwani Kikwete kuwa mgombea wake wa Ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze kuziba nafasi iliyoachwa wazi na mbunge wa zamani wa jimbo hilo, marehemu Said Mwanamdogo.
Taarifa iliyotolewa na Makao Makuu ya CCM kupitia Idara ya Itikadi na uenezi CCM, imesema wakati uzinduzi wa kampeni za CCM katika uchaguzi huo utafanywa na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, kampeni za zitaongozwa na Katibu wa...

 

11 years ago

GPL

MSAFARA WA MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA KATIKA JIMBO LA KALENGA AZUIWA NA POLISI MKOANI IRINGA

Polisi mkoani Iringa wakiwa  wamezuia msafara  wa mgombea    ubunge jimbo la Kalenga,  Bi Grace Tendega kupitia Chadema kwa madai  hawakuwa na kibali cha kufanya  maandamano  hayo ya magari  hapa  ni eneo la lango la mji Samora ambapo msafara huo  ulikuwa ukitokea maeneo la Ndiuka kuelekea kwa msimamizi wa uchaguzi  ili kuchukua fomu. Mgombea  ubunge wa  Chadema Kalenga, Grace...

 

11 years ago

GPL

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE (CUF) AMUWEKEA PINGAMIZI WA CHADEMA

TAARIFA YA PINGAMIZI LA MGOMBEA WA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE FABIAN LEONARD SKAUKI – MGOMBEA CHAMA CHA WANANCHI –CUF
                                                            DHIDI YA
MATHAYO MANG’UNDA TORONGEY – MGOMBEA...

 

11 years ago

GPL

MGOMBEA WA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE, RIDHIWANI AOMBA KURA KATA YA UBENA

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo jimbo la Chalinze, Ridhiwani Jakaya Kikwete, akihutubia mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Visakazi, katika kata ya Ubena jana.
Wananchi wa kijiji cha Visakazi wakinyoosha mikono kuonyesha kumuuunga mkono Ridhiwani wakati wa mkutano…

 

9 years ago

Michuzi

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KIBAHA KULIVALIA NJUGA SUALA LA CHANGAMOTO YA WAKINAMAMA WAJAWAZITO

 Mgombea wa jimbo la kibaha mjini kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Sylivesta Koka akisalimiana na wananchi wa kata ya msangani kabla ya kuanza kwa mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi. Wananchi wakiwa wanashangilia jambo katika mkutano huo wa hadhara.(Picha zote na Victor Masangu) Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kibaha Maulid Bundala akiwaonyesha wananchi waliohudhulia katika mkutano huo moja ya  kadi ya chadema iliyorudishwa na mwanachama wa chadema, kulia kwake ni mgombea ubunge jimbo la...

 

9 years ago

Michuzi

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KIBAHA MJINI AHAIDI KUPAMBANA NA CHANGAMOTO YA AJIRA KWA VIJANA

Mgombea ubunge wa jimbo la kibaha mjini kupitia chama cha mapinduzi (CCM)    Silvestry Koka akiwahutubia wananchi wa kata kongowe pamoja na boko timiza katika moja ya mkikutano yake ya hadhara.Mgombea ubunge kupitia CCM jimbo la Kibaha mjini Silvestry Koka akiwa anawasali  na kupokelewa kwa shangwee  katika uwanja kabla ya kuanza kuwahutubia wawananhci walijitokeza na kufurika kwa wingi kusikiliza sera za mgombea huyo.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani