Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MGOMBEA WA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE, RIDHIWANI AOMBA KURA KATA YA UBENA

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo jimbo la Chalinze, Ridhiwani Jakaya Kikwete, akihutubia mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Visakazi, katika kata ya Ubena jana.
Wananchi wa kijiji cha Visakazi wakinyoosha mikono kuonyesha kumuuunga mkono Ridhiwani wakati wa mkutano…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

CCM YAMTEUA NDG. RIDHIWANI KIKWETE KUWA MGOMBEA WA UBUNGE KWENYE UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA CHALINZE

DODOMA,Tanzania
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imemteua Kada wa CCM, Ridhiwani Kikwete kuwa mgombea wake wa Ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze kuziba nafasi iliyoachwa wazi na mbunge wa zamani wa jimbo hilo, marehemu Said Mwanamdogo.
Taarifa iliyotolewa na Makao Makuu ya CCM kupitia Idara ya Itikadi na uenezi CCM, imesema wakati uzinduzi wa kampeni za CCM katika uchaguzi huo utafanywa na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, kampeni za zitaongozwa na Katibu wa...

 

11 years ago

GPL

RIDHIWANI KIKWETE AUNGURUMA KATA YA BWILINGU NDANI YA JIMBO LA CHALINZE

Meneja wa Kampeni wa CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Steven Kazidi (kushoto) akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Mbala,Kata ya Bwilingu wakati wa kumnadi Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete.  Diwani wa Kata ya Bwilingu,Nassar…

 

11 years ago

Michuzi

RIDHIWANI KIKWETE AUNGURUMA KATA YA BWILINGU NDANI YA JIMBO LA CHALINZE LEO

 Meneja wa Kampeni wa CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Steven Kazidi (kushoto) akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Mbala,Kata ya Bwilingu wakati wa kumnadi Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete.  Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Mbala,Kata ya Bwilingu wakati wa Mkutano wa Kameni za CCM.  Diwani wa Kata ya...

 

11 years ago

Michuzi

RIDHIWANI KIKWETE ASHINDA KWA KISHINDO UBUNGE WA JIMBO LA CHALINZE

Ridhiwani Kikwete akizungumza na waandishi wa habari baada ya kupiga kura mjini Chalinze jana.
Na John Bukuku   Ridhiwani Kikwete aliyekuwa mgombea ubunge uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani kupitia CCM ameibuka kidedea kwa asilimia 86.61 katika uchaguzi huo kwa kuwamwaga wagombea wengine kutoka vyama vinne vya upinzani.
Matokeo hayo rasmi yametangazwa usiku wa kuamkia leo April 7, 2014 majira ya saa nane usiku katika shule ya sekondari Chalinze na  Msimamizi...

 

11 years ago

GPL

RIDHIWANI AANZA MBIO ZA KUSAKA KURA JIMBO LA CHALINZE‏

Meneja wa Kampeni za Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Steven Kazidi (kushoto) akimuinua mkono juu kwa ishara ya kumnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo (CCM), Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati wa mkutano wa kwanza wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Matipwili, Saadani Wilayani Bagamoyo jana Machi 14,2014.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani