Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RIDHIWANI AANZA MBIO ZA KUSAKA KURA JIMBO LA CHALINZE‏

Meneja wa Kampeni za Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Steven Kazidi (kushoto) akimuinua mkono juu kwa ishara ya kumnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo (CCM), Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati wa mkutano wa kwanza wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Matipwili, Saadani Wilayani Bagamoyo jana Machi 14,2014.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

RIDHIWANI KIKWETE AANZA KAMPENI KWA KISHINDO JIMBO LA CHALINZE

Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubi wananchi wa Kijiji cha Saadani,Wilayani Bagamoyo.wakati wa kampeni zake zilizoanza rasmi jana Machi 14,2014.
Meneja wa Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),Ndg. Steven Kazidi (kushoto) akimuinua mkono juu kwa ishara ya kumnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo (CCM),Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati wa mkutano wa kwanza wa kampeni uliofanyika katika...

 

11 years ago

Michuzi

RIDHIWANI KIKWETE AZIDI KUIPASUA CHALINZE KATIKA KUSAKA KURA ZA UBUNGE

 Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Kifuleta,Kata ya Mbwewe jana Machi 23,2013   Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akimsikiliza kwa Makini,Mzee Rajab Seif Kabeilwa ambaye alikuwa rafiki mkubwa wa Mzee Mrisho Kikwete ambaye ni Babu yake,wakati alipokwenda kumsalimia kijijini kwake,Pongwe Kiona jana Machi 23,2013. Mgombea Ubunge katika Uchaguzi...

 

11 years ago

Michuzi

MH. RIDHIWANI KIKWETE AANZA KUTEKELEZA ILANI YA CHAMA KWENYE JIMBO LAKE LA CHALINZE

1Mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete na Diwania wa Kata ya Bwilingu Bw. Ahmed Nasser wakiwa wamelala kwenye moja ya vitanda Vitanda 267 vilivyotolewa na mbunge huyo katika shule mbalimbali za sekondari kwa jimbo zima la Chalinze wakati wa makabidhiano yaliyofanyika kwenye shule ya sekondari ya Lugoba jana, Shule ambazo zimepewa vitanda hivyo ni shule ya sekondari Chalinze 50, Moleto Lugoba 50, Mandera 25, Talawanda 24, Kiwangwa 50, Lugoba 38 na Kikaro 30.katika hatua hiyo Mh. Ridhiwania...

 

11 years ago

GPL

MH. RIDHIWANI KIKWETE AFANYA MAMBO MAKUBWA JIMBO LA CHALINZE‏

Mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete na Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Mamba ment ambayo ndiyo iliyotoa vitanda hivyo wakivikabidhi kwa Diwani wa kata ya Bwilingu Bw. Ahmde Nasser na Mwalimu Mkuu wa Shule ya sekondari Chalinze Bw. Emmanuel Kahabi katika makabidhiano yaliyofanyika kwenye shule ya sekondari ya Lugoba. Mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akimkabidhi vitanda Mkuu wa shule ya… ...

 

11 years ago

GPL

MGOMBEA WA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE, RIDHIWANI AOMBA KURA KATA YA UBENA

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo jimbo la Chalinze, Ridhiwani Jakaya Kikwete, akihutubia mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Visakazi, katika kata ya Ubena jana.
Wananchi wa kijiji cha Visakazi wakinyoosha mikono kuonyesha kumuuunga mkono Ridhiwani wakati wa mkutano…

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MATOKEO KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA CHALINZE:,RIDHIWANI KIKWETE ASHINDA

Ndugu Ridhiwani Kikwete ameshinda kwa kishindo katika kinyang'anyiro cha kuwania kuteuliwa kuwa mgombea wa ubunge jimbo la Chalinze kupitia CCM. Katika uchaguzi huo uliofanyika leo kijijini Msata.  Ridhiwani   Kikwete amepata kura kura 758 kati ya kura 1321 zilizopigwa huku mpinzani wake wa karibu mdau wa soka Shaaban Iman Madega akiwa na kura 335. Wapiga kura za maoni kumchagua mgombea wa kiti cha Ubunge cha Chalinze wakiwa tayari kupiga kura zao leo Msata, Chalinze




 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani