RIDHIWANI KIKWETE AANZA KAMPENI KWA KISHINDO JIMBO LA CHALINZE
![](http://3.bp.blogspot.com/-HqOXYkp5m9w/UyNzgVgH1wI/AAAAAAAFTjo/injizW5Jk1U/s72-c/52.jpg)
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubi wananchi wa Kijiji cha Saadani,Wilayani Bagamoyo.wakati wa kampeni zake zilizoanza rasmi jana Machi 14,2014.
Meneja wa Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),Ndg. Steven Kazidi (kushoto) akimuinua mkono juu kwa ishara ya kumnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo (CCM),Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati wa mkutano wa kwanza wa kampeni uliofanyika katika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi07 Apr
RIDHIWANI KIKWETE ASHINDA KWA KISHINDO UBUNGE WA JIMBO LA CHALINZE
![](https://2.bp.blogspot.com/-K7hEfHq8qac/U0GqM21QUPI/AAAAAAABeag/fu28H1wc3cE/s1600/IMG_7134.jpg)
Na John Bukuku Ridhiwani Kikwete aliyekuwa mgombea ubunge uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani kupitia CCM ameibuka kidedea kwa asilimia 86.61 katika uchaguzi huo kwa kuwamwaga wagombea wengine kutoka vyama vinne vya upinzani.
Matokeo hayo rasmi yametangazwa usiku wa kuamkia leo April 7, 2014 majira ya saa nane usiku katika shule ya sekondari Chalinze na Msimamizi...
11 years ago
Habarileo16 Mar
Ridhiwani Kikwete aanza kampeni kuwania Chalinze
WAKATI leo ni siku ya uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo la Kalenga mkoani Iringa, mgombea wa ubunge katika uchaguzi mwingine mdogo jimboni Chalinze, Pwani kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Kikwete jana alianza kwa kishindo kampeni zake.
11 years ago
Michuzi07 Jul
MH. RIDHIWANI KIKWETE AANZA KUTEKELEZA ILANI YA CHAMA KWENYE JIMBO LAKE LA CHALINZE
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/07/19.jpg)
11 years ago
Dewji Blog07 Apr
Ridhiwani Kikwete apita kwa kishindo uchaguzi mdogo Chalinze
![ridhiwani](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/ridhiwani1.jpg)
Ridhiwani Kikwete akizungumza na waandishi wa habari baada ya kupiga kura mjini Chalinze jana.
NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-CHALINZE
Ridhiwani Kikwete aliyekuwa mgombea ubunge uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze Bagamoyo mkoani Pwani kupitia Chama cha Mapinduzi CCM ameibuka kidedea kwa asilimia 86.61 katika uchaguzi huo na kuwamwaga wagombea wengine kutoka vyama vinne vya upinzani.
Matokeo ya uchaguzi huo yanaonyesha Ridhiwani ameongoza akifuatiwa na CHADEMA ,CUF,NRA na ASP.
Matokeo hayo...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-xSXjGaCj0fQ/Uym0qnyzmWI/AAAAAAAFU78/YnxO9t046_g/s72-c/C+4.jpg)
CCM YAZINDUA KAMPENI ZAKE KWA KISHINDO JIMBO LA CHALINZE
![](http://4.bp.blogspot.com/-xSXjGaCj0fQ/Uym0qnyzmWI/AAAAAAAFU78/YnxO9t046_g/s1600/C+4.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-VTFVrf5BBrg/Uym04KGq0yI/AAAAAAAFU9U/SWYlGyXfJQo/s1600/C+1.jpg)