MGOMBEA UBUNGE VITI MAALUMU ARUSHA,NEEMA AAHIDI KUINUA VIJANA KIUCHUMI
Katibu wa vijana umoja wa vijana UVCCM wilaya ya Arusha mjini Jamali Khimji akimkabidhi fomu ya ubunge viti maalum Bi.Neema Kiusa(27)katika ofisi za umoja huo jijini Arusha, ahaidi kuinua vijana kiuchumi endapo atapata nafasi ya kuwa Mbunge wa vijana Mkoa wa Arusha(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog).
Mgombea ubunge kupita kundi la vijana (UVCCM) Neema Kiusa leo amechukua fomu ya kuwania nafasi ya ubunge viti maalumu Mkoa wa Arusha,ambapo amesema kuwa shauku yake kubwa ni...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
BINTI YETU AJITOSA KUGOMBEA UBUNGE VITI MAALUMU (VIJANA) MKOANI TABORA


11 years ago
Tanzania Daima29 Mar
Mgombea CUF aahidi neema Ubena
MGOMBEA ubunge wa Chalinze kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Fabian Skauki, amewaomba wananchi wa Kata ya Ubena kumchagua ili aweze kuwaletea maendeleo. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar...
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
Mgombea udiwani CHADEMA aahidi neema Magomeni
MGOMBEA udiwani wa Kata ya Magomeni, Wilaya ya Bagamoyo, Pwani ameahidi kuwaondolea kero za kijamii zinazowakabili wakazi wa eneo hilo ili kujenga jamii isiyo na manung’uniko. Akizungumza na wananchi wa...
10 years ago
Michuzi
11 years ago
Mwananchi01 Apr
‘Ubunge wa Viti Maalumu ufutwe’
9 years ago
StarTV16 Nov
BAWACHA Kigoma wapinga majina yaliyoteuliwa Ubunge viti maalumu
Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo BAWACHA Kigoma mjini wamelalamikia hatua ya kuondolewa kwa Merry Martin katika majina yaliyoteuliwa na Baraza hilo kuwa mbunge wa viti maalumu mkoa wa kigoma wakidai kuwepo maslahi ya watu wachache.
Wajumbe hao wamewatuhumu baadhi ya watendaji wa chama hicho ngazi ya Taifa kupindisha maamuzi ya BAWACHA kwa kuwasilisha mbele ya Tume ya Taifa ya uchaguzi jina la aliyekuwa mbunge wa viti maalumu mkoa wa Kigoma...
10 years ago
VijimamboMUUZA DAGAA ASHINDA UBUNGE WA VITI MAALUMU MKOA WA MARA
Alisema wao watu ambao wamekuwa...
10 years ago
Dewji Blog30 Sep
Mgombea Ubunge Temeke (CCM) Mtemvu ahaidi neema akichaguliwa tena
10 years ago
MichuziMGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA MAFINGA AAHIDI KUTATUA KERO YA MAJI
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.