Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Ubunge wa Viti Maalumu ufutwe’

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Felister Bura amependekeza Katiba inayotungwa ifute Ubunge wa Viti Maalumu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

BAWACHA Kigoma wapinga majina yaliyoteuliwa Ubunge viti maalumu

 

Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo BAWACHA Kigoma mjini wamelalamikia hatua ya kuondolewa kwa Merry Martin katika majina yaliyoteuliwa na Baraza hilo kuwa mbunge wa viti maalumu mkoa wa kigoma wakidai kuwepo maslahi ya watu wachache.

Wajumbe hao wamewatuhumu baadhi ya watendaji wa chama hicho ngazi ya Taifa kupindisha maamuzi ya BAWACHA kwa kuwasilisha mbele ya Tume ya Taifa ya uchaguzi jina la aliyekuwa mbunge wa viti maalumu mkoa wa Kigoma...

 

10 years ago

Vijimambo

MUUZA DAGAA ASHINDA UBUNGE WA VITI MAALUMU MKOA WA MARA

MCHUUZI wa dagaa kwenye mwalo wa Mwigobero uliopo Manispaa ya Musoma,Agnes Methew,ameibuka mshindi wa kwanza kwenye kura za maoni za kutafuta Mbunge wa viti maalumu(CCM) mkoa wa Mara.Akitoa shukrani kwa wajumbe wa mkutano wa uchaguzi mara baada ya kutangazwa mshindi na msimamizi wa uchaguzi huo,Samwer Kiboye ambaye ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Rorya,alisema wajumbe wameonyesha namna ambavyo hata mtu wa chini anaweza kushinda tofauti na inavyozungumzwa.

Alisema wao watu ambao wamekuwa...

 

10 years ago

Michuzi

BINTI YETU AJITOSA KUGOMBEA UBUNGE VITI MAALUMU (VIJANA) MKOANI TABORA

 Zahara Muhidin Michuzi akiweka sahihi katika kitabu cha wageni alipowasili katika ofisi za CCM mkoa wa Tabora ili kuchukua form ya kugombea viti maalum kwa vijana.Binti huyo wa Michuzi mara baada ya kuhitimu elimu yake ya shahada yake ya uchumi UDOM ameona ni vyema akawatumikia wananchi wa nyumbani kwake mkoani Tabora kwa kutangaza nia ya kugombea ubunge wa viti maalum kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi. Zahara Michuzi (kushoto) na Mwasham Hashim (kulia) karani wa UVCCM Tabora akitoa...

 

10 years ago

Michuzi

MGOMBEA UBUNGE VITI MAALUMU ARUSHA,NEEMA AAHIDI KUINUA VIJANA KIUCHUMI

SAM_3817
Katibu wa vijana umoja wa vijana  UVCCM wilaya ya Arusha mjini Jamali Khimji akimkabidhi fomu ya ubunge viti maalum Bi.Neema Kiusa(27)katika ofisi za umoja huo jijini Arusha, ahaidi kuinua vijana kiuchumi endapo atapata nafasi ya kuwa Mbunge wa vijana Mkoa wa Arusha(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog). 
Mgombea ubunge kupita kundi la vijana (UVCCM) Neema Kiusa  leo amechukua fomu ya kuwania nafasi ya ubunge viti maalumu Mkoa wa Arusha,ambapo amesema kuwa shauku yake kubwa ni...

 

9 years ago

Mwananchi

Wabunge viti maalumu badilikeni

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa mgawanyo wa idadi ya wabunge wa viti maalumu kwa vyama vya CCM ambacho kimepata viti 64, kikifuatiwa na Chadema chenye viti 36 na CUF viti 10.

 

9 years ago

Mwananchi

47 watoswa viti maalumu CCM, Ukawa

Mchakato wa uteuzi wa wabunge wake wa viti maalumu wa Bunge la kumi na moja, umeacha simanzi kubwa baada ya orodha iliyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuonyesha kuwa wabunge 47 wametoswa katika vyama vya CCM, Chadema na CUF huku 33 wakipitishwa tena kuingia ‘mjengoni’.

 

9 years ago

Mwananchi

Vyama vitano vyagawana madiwani viti maalumu

Wakati kata 56 zinasubiri kufanya uchaguzi mdogo wa madiwani, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza mgawanyo wa madiwani wa viti maalumu miongoni mwa vyama vitano vilivyofuzu vigezo vilivyowekwa.

 

10 years ago

Habarileo

Nafasi ya viti maalumu kaa la moto Shinyanga

Mwenyekiti wa UWT, Sophia Simba.JOTO la uchaguzi mkuu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Shinyanga, linazidi kushika kasi baada ya Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga, Lucy Mayenga juzi kumtoa nje ya ukumbi mmoja wa waliotangaza nia wa nafasi anayotarajia kuitetea.

 

9 years ago

Dewji Blog

NEC yatangaza idadi ya madiwani wa viti maalumu!

AAMkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhani Kailima

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Tume ya  Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza idadi ya madiwani wa viti maalumu pamoja na vyama wanavyotokea.

Akizungumza na waandishi wa habari, Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhani Kailima ametaja idadi ya madiwani hao kuwa 1402 na kuwataja madiwani 1392 huku 15 wakisubiri chaguzi zimalizike katika kata zilizosalia.

Amesema katika madiwani hao CCM ni 1122, Chadema 220, CUF 49, NCCR 6 na ACT 6.

Kailima ameongeza kuwa kata...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani