MUUZA DAGAA ASHINDA UBUNGE WA VITI MAALUMU MKOA WA MARA
MCHUUZI wa dagaa kwenye mwalo wa Mwigobero uliopo Manispaa ya Musoma,Agnes Methew,ameibuka mshindi wa kwanza kwenye kura za maoni za kutafuta Mbunge wa viti maalumu(CCM) mkoa wa Mara.
Akitoa shukrani kwa wajumbe wa mkutano wa uchaguzi mara baada ya kutangazwa mshindi na msimamizi wa uchaguzi huo,Samwer Kiboye ambaye ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Rorya,alisema wajumbe wameonyesha namna ambavyo hata mtu wa chini anaweza kushinda tofauti na inavyozungumzwa.
Alisema wao watu ambao wamekuwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi01 Apr
‘Ubunge wa Viti Maalumu ufutwe’
9 years ago
StarTV16 Nov
BAWACHA Kigoma wapinga majina yaliyoteuliwa Ubunge viti maalumu
Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo BAWACHA Kigoma mjini wamelalamikia hatua ya kuondolewa kwa Merry Martin katika majina yaliyoteuliwa na Baraza hilo kuwa mbunge wa viti maalumu mkoa wa kigoma wakidai kuwepo maslahi ya watu wachache.
Wajumbe hao wamewatuhumu baadhi ya watendaji wa chama hicho ngazi ya Taifa kupindisha maamuzi ya BAWACHA kwa kuwasilisha mbele ya Tume ya Taifa ya uchaguzi jina la aliyekuwa mbunge wa viti maalumu mkoa wa Kigoma...
10 years ago
Michuzi17 Jul
MGOMBEA UBUNGE VITI MAALUMU ARUSHA,NEEMA AAHIDI KUINUA VIJANA KIUCHUMI
![SAM_3817](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/W2QmuE8khseuPmjLF3vBAROjkvtlA-H97ypAdXS9GBroqKdBH4hEiu5SLSCmctf_5CgXq3_YCpteu861kpljdlJJRM0U_ZC6cMU2kLH-EB1ayTM=s0-d-e1-ft#https://pamelamollel.files.wordpress.com/2015/07/sam_3817.jpg)
Katibu wa vijana umoja wa vijana UVCCM wilaya ya Arusha mjini Jamali Khimji akimkabidhi fomu ya ubunge viti maalum Bi.Neema Kiusa(27)katika ofisi za umoja huo jijini Arusha, ahaidi kuinua vijana kiuchumi endapo atapata nafasi ya kuwa Mbunge wa vijana Mkoa wa Arusha(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog).
Mgombea ubunge kupita kundi la vijana (UVCCM) Neema Kiusa leo amechukua fomu ya kuwania nafasi ya ubunge viti maalumu Mkoa wa Arusha,ambapo amesema kuwa shauku yake kubwa ni...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-t4Rf0wh2cuE/VaZ8iORxTOI/AAAAAAAAFuc/bM7lxun7IVE/s72-c/zahara_michuzi_viti_maalum_ccm_tabora%2B%25281%2529.jpg)
BINTI YETU AJITOSA KUGOMBEA UBUNGE VITI MAALUMU (VIJANA) MKOANI TABORA
![](http://1.bp.blogspot.com/-t4Rf0wh2cuE/VaZ8iORxTOI/AAAAAAAAFuc/bM7lxun7IVE/s640/zahara_michuzi_viti_maalum_ccm_tabora%2B%25281%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Hffb8feDpjs/VaZ8bknsfYI/AAAAAAAAFuU/5lLd7AqIDpw/s640/zahara_michuzi_viti_maalum_ccm_tabora%2B%25282%2529.jpg)
10 years ago
MichuziMBUNGE WA VITI MAALUMU MKOA WA TANGA (CUF) AMINA MWIDAU ATEMBELEA HOSPITALI YA WILAYA YA PANGANI
10 years ago
VijimamboMBUNGE WA VITI MAALUMU MKOA WA TANGA (CUF) AMINA MWIDAU ALIPOTEMBELEA HOSPITALI YA WILAYA YA PANGANI
10 years ago
Dewji Blog17 Jul
Safari ya Wema Sepetu imeiva, ubunge viti maalum mkoa wa Singida
Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, (kushoto) akipokea fomu za kuwania ubunge viti maalum mkoa wa Singida kutoka kwa Katibu wa UWT wilaya ya Ikungi, Yagi Kiaratu.
Miss Tanzania 2006,Wema Sepetu alipokuwa akijiandaa kulipa ada ya uchukuzi wa fomu za kuwania ubunge viti maalum mkoa wa Singida leo (17/7/2015).Kulia ni katibu UWT wilaya ya Ikungi mkoani Singida.
Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, akitoka ndani ya ofisi ya CCM wilaya ya Ikungi baada ya kukabidhiwa fomu za kuwania ubunge viti...
10 years ago
Dewji Blog22 May
Mbunge wa viti maalumu (CCM) mkoa wa Singida, Bi Martha Mlata achangia ujenzi wa vyoo vya shule ya Kilimani
Mbunge wa viti maalumu (CCM) Mkoa wa Singida,Bi Marther Mosses Mlata (aliyesimama kwenye jukwaa) akiwaongea na wananchi wa Kijiji cha Ibaga,tarafa ya Kirumi ,Mkoani Singida wakati wa ziara yake ya siku moja wilayani hapa yenye lengo la kukiimarisha chama.
Mbunge wa viti maalumu (CCM) Mkoa wa Singida,Bi Marther Mosses Mlata(wa pili kutoka kushoto) akikabidhi vifaa vya michezo kwa timu za soka za kata ya Ibaga.
Katibu wa CCM wilaya ya Mkalama,Bwana Amosi Shimba (wa pili kutoka kushoto)...
10 years ago
Dewji Blog20 Jul
Catherine Magige sasa kuwania ubunge viti maalum UWT mkoa wa Arusha
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) kupitia vijana Mkoa wa Arusha, Mh. Catherine Magige akichukua fomu ya kuwania ubunge viti maalumu kupitia jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Arusha, anayemkabidhi ni katibu wa (UWT)mkoa wa Arusha Fatuma Hassan Tsea jana katika ofisi za umoja huo jijini Arusha(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog).
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) kupitia vijana Mkoa wa Arusha, Mh. Catherine Magige akimkabidhi katibu wa (UWT) mkoa wa Arusha Fatuma Hassan Tsea...