MBUNGE WA VITI MAALUMU MKOA WA TANGA (CUF) AMINA MWIDAU ALIPOTEMBELEA HOSPITALI YA WILAYA YA PANGANI
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya wilaya ya Pangani,Mugiri Emili kushoto akimuelekeza jambo Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga kupitia (CUF) Amina Mwidau ambaye alitembelea hospitali hiyo jana kuwafariji wagonjwa waliolazwa kwenye hospitali hiyo na kugawana zawadi ambazo ni sabuni,Poda,sukari ikiwemo mahitaji muhimu pamoja na kukabidhi jengo la kupumzikia wagonjwa alilolijenga mbunge huyo kwa gharama za milioni 5
kushoto ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya wilaya ya Pangani,Mugiri Emili...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMBUNGE WA VITI MAALUMU MKOA WA TANGA (CUF) AMINA MWIDAU ATEMBELEA HOSPITALI YA WILAYA YA PANGANI
10 years ago
Dewji Blog24 May
Mh. Amina Mwidau (CUF) afaraji wagonjwa na kukabidhi jengo la kupumzikia wagonjwa Hospitali ya wilaya ya Pangani
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya wilaya ya Pangani, Mugiri Emili (kushoto) akisisitiza jambo kwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga kupitia (CUF), Amina Mwidau wakati akipotembelea hospitali hiyo kuwafariji wagonjwa na kugawa zawadi mbalimbali ikiwemo sabuni, sukari ikiwemo mahitaji muhimu na kukabidhi jengo la kupumzikia wagonjwa alilolijenga kwa gharama za sh.milioni tano na mbunge huyo.(Picha na Mpiga Picha wetu,Pangani).
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga kupitia (CUF) Amina Mwidau...
10 years ago
GPLAMINA MWIDAU (VITI MAALUMU CUF) NDIYE MWENYEKITI MPYA WA KAMATI YA PAC
10 years ago
Vijimambo10 Aug
Mbunge wa Viti maalumu CUF, Mama Clara Diana Mwatuka afariki Dunia kwa ajali!
![](http://www.bungemaalum.go.tz/files/members/c29d6388c9b9c3df8108dfb097a0b176.jpg)
Aliyekuwa Mbunge wa Viti maalumu CUF mama Mwatuka amefariki dunia baada ya gari lake kupinduka lilipokuwa linashuka Makonde Plateu kuja Ndanda.Gari ilikuwa inaendeshwa na dereva wake,ambaye inasemekana ni mwanae.Maiti ipo chumba cha maiti Hospitali ya Rufaa, Ndanda Regional Referral hospital.
![](https://fbcdn-sphotos-c-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xft1/v/t1.0-9/p160x160/11811391_497680753741077_5479242452651876403_n.jpg?oh=0fdaff60cadd649648564a2e6898cf6f&oe=5684018D&__gda__=1448296863_1785c8e337c16723925f4198373e4a9a)
![](https://scontent-ams2-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xtp1/v/t34.0-12/s851x315/11855310_497675887074897_780490772_n.jpg?oh=f840d175f4aa0d77657654d482ac32cd&oe=55C96074)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-xYlyc6tsACA/Vce8Q6vjfMI/AAAAAAAHvjg/koTL6LXCn9I/s72-c/c29d6388c9b9c3df8108dfb097a0b176.jpg)
BREAKING NYUZZZZZ......: Mbunge wa Viti maalumu CUF, MH. Clara Mwatuka Afariki Dunia ajalini jioni ya leo
![](http://4.bp.blogspot.com/-xYlyc6tsACA/Vce8Q6vjfMI/AAAAAAAHvjg/koTL6LXCn9I/s640/c29d6388c9b9c3df8108dfb097a0b176.jpg)
Gari ilikuwa inaendeshwa na dereva wake,ambaye inasemekana ni mwanae.Maiti ipo Hospitali ya Rufaa ya Ndanda, Mkoani Mtwara.
Globu ya Jamii inaungana na Familia ya Marehemu katika kipindi hiki kigumu, na tunamuombea kwa...
10 years ago
Dewji Blog22 May
Mbunge wa viti maalumu (CCM) mkoa wa Singida, Bi Martha Mlata achangia ujenzi wa vyoo vya shule ya Kilimani
Mbunge wa viti maalumu (CCM) Mkoa wa Singida,Bi Marther Mosses Mlata (aliyesimama kwenye jukwaa) akiwaongea na wananchi wa Kijiji cha Ibaga,tarafa ya Kirumi ,Mkoani Singida wakati wa ziara yake ya siku moja wilayani hapa yenye lengo la kukiimarisha chama.
Mbunge wa viti maalumu (CCM) Mkoa wa Singida,Bi Marther Mosses Mlata(wa pili kutoka kushoto) akikabidhi vifaa vya michezo kwa timu za soka za kata ya Ibaga.
Katibu wa CCM wilaya ya Mkalama,Bwana Amosi Shimba (wa pili kutoka kushoto)...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-kfG2pfmK9Tw/XtTc399KAeI/AAAAAAACL14/lVUC0bdc0vsJb68L_on_vnGktM47IcKbACLcBGAsYHQ/s72-c/KABATI.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-q8np0e0J8pM/U8BC-bAkxFI/AAAAAAAF1QM/XdvlJ3_VELM/s72-c/unnamed+(18).jpg)
JK Ziarani Pangani mkoa wa Tanga
![](http://2.bp.blogspot.com/-q8np0e0J8pM/U8BC-bAkxFI/AAAAAAAF1QM/XdvlJ3_VELM/s1600/unnamed+(18).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-i69rOVDOdRE/U8BC-q1PjbI/AAAAAAAF1QU/XakD8NyidZ0/s1600/unnamed+(19).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-zT0f5GZsvk4/U8BC-hU3zXI/AAAAAAAF1QQ/ZKr38fRSI-s/s1600/unnamed+(20).jpg)
5 years ago
MichuziNHIF TANGA YAKABIDHI MASHUKA 50 KWA WILAYA YA PANGANI
MENEJA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally
Mwakababu kulia akimkabidhi Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Pangani Seif Ally mashuka yaliyotolewa na mfuko huo kwa ajili ya matumizi ya hospitali ya wilaya katikati anayeshuhudia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella halfa hiyo ilifanyika mjini Pangani
MENEJA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally
Mwakababu kulia akimkabidhi Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Pangani Seif Ally mashuka...