Mbunge wa Viti maalumu CUF, Mama Clara Diana Mwatuka afariki Dunia kwa ajali!
Aliyekuwa Mbunge wa Viti maalumu CUF mama Mwatuka amefariki dunia baada ya gari lake kupinduka lilipokuwa linashuka Makonde Plateu kuja Ndanda.Gari ilikuwa inaendeshwa na dereva wake,ambaye inasemekana ni mwanae.Maiti ipo chumba cha maiti Hospitali ya Rufaa, Ndanda Regional Referral hospital.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-xYlyc6tsACA/Vce8Q6vjfMI/AAAAAAAHvjg/koTL6LXCn9I/s72-c/c29d6388c9b9c3df8108dfb097a0b176.jpg)
BREAKING NYUZZZZZ......: Mbunge wa Viti maalumu CUF, MH. Clara Mwatuka Afariki Dunia ajalini jioni ya leo
![](http://4.bp.blogspot.com/-xYlyc6tsACA/Vce8Q6vjfMI/AAAAAAAHvjg/koTL6LXCn9I/s640/c29d6388c9b9c3df8108dfb097a0b176.jpg)
Gari ilikuwa inaendeshwa na dereva wake,ambaye inasemekana ni mwanae.Maiti ipo Hospitali ya Rufaa ya Ndanda, Mkoani Mtwara.
Globu ya Jamii inaungana na Familia ya Marehemu katika kipindi hiki kigumu, na tunamuombea kwa...
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/mwatuka.jpg)
MBUNGE WA VITI MAALUM CUF, CLARA MWATUKA AFARIKI KWA AJALI
Clara Mwatuka enzi za uhai wake. Aliyekuwa Mbunge wa Viti maalumu kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Clara Mwatuka, amefariki dunia leo Jumapili jioni baada ya gari lake alilokuwa akisafiria kupinduka lilipokuwa linashuka eneo la Makonde Plateu kuelekea Ndanda, Masasi mkoani Mtwara. Gari alilopata nalo ajali marehemu Mwatuka. Gari ilikuwa inaendeshwa na dereva wake, ambaye inasemekana ni mwanaye. Maiti ya marehemu Mwatuka...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Obajdy2LniA/VciSXHmcKGI/AAAAAAAHvtE/PV8CZwnnNzs/s72-c/ww.png)
Taarifa rasmi ya kifo cha aliyekuwa mbunge viti maalum (CUF) Mhe. Clara Diana Mwatuka
![](http://3.bp.blogspot.com/-Obajdy2LniA/VciSXHmcKGI/AAAAAAAHvtE/PV8CZwnnNzs/s640/ww.png)
Mipango ya Mazishi inaendelea kufanywa na Ofisi ya Bunge kwa kushirikiana na familia ya Marehemu, ambapo mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho siku ya Jumanne tarehe 11 Agosti, 2014 saa 9:00 Alasiri,...
10 years ago
Mwananchi11 Aug
Mbunge Clara Mwatuka kuzikwa leo Masasi
Mbunge wa Viti Maalumu (CUF), Clara Mwatuka amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea usiku wa kuamkia juzi mjini hapa na atazikwa leo.
10 years ago
VijimamboMBUNGE WA VITI MAALUMU MKOA WA TANGA (CUF) AMINA MWIDAU ALIPOTEMBELEA HOSPITALI YA WILAYA YA PANGANI
10 years ago
MichuziMBUNGE WA VITI MAALUMU MKOA WA TANGA (CUF) AMINA MWIDAU ATEMBELEA HOSPITALI YA WILAYA YA PANGANI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eGJdezr2p4V2egEL8fQeAJC0mQiHTIc2Nk0Q6qEhrcTJVcVe91x1DiGnzRTEoKlH6ilH6nS1apiE7nBQPNqpLBL9cZ5DKRZ0/mariammfaki.jpg?width=450)
TANZIA: MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA DODOMA, MARIAM MFAKI AFARIKI DUNIA
MBUNGE wa Viti Maalum, Mariam Mfaki (CCM), amefariki dunia leo mchana katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma alipokuwa amelazwa. Marehemu amekuwa mbunge kwa vipindi vitatu, 2010 - 2015, 2005 - 2010 na 2000 - 2005. Kwa mujibu wa mtoto wa marehemu, Mohammed Mfaki amesema mama yake alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa saratani tangu mwaka 2012. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu mahala pema peponi. Amen. ...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/--I-WgyfTC4M/Va5jYKYvsvI/AAAAAAAHq44/gDdQFM9pZ6E/s72-c/AjIAv7YkabUHMTga0gOJVX6s1z2Uv7PusctR1jFGWcSa.jpg)
BREAKING NYUZZZZZZ......: Mbunge wa Viti Maalum (CCM) mkoani Dodoma afariki dunia
![](http://1.bp.blogspot.com/--I-WgyfTC4M/Va5jYKYvsvI/AAAAAAAHq44/gDdQFM9pZ6E/s640/AjIAv7YkabUHMTga0gOJVX6s1z2Uv7PusctR1jFGWcSa.jpg)
Mungu aiweke Roho yake mahala pema Peponi
-Amin.
9 years ago
Bongo516 Oct
Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe afariki dunia kwa ajali ya helikopta, abiria wote wamepoteza maisha
Mbunge wa jimbo la Ludewa, Deo Filikunjombe amefariki dunia baada ya helikopta aliyokuwa akiitumia kwaajili ya kampeni kupata ajali. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na meya wa manispaa ya Ilala, Jerry Silaa ambaye pia amempoteza baba yake kwenye ajali hiyo. “Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa rasmi kutoka kwa timu ya uokoaji imefanikiwa kufika eneo la […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania