Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK Ziarani Pangani mkoa wa Tanga

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua bomba la maji wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji Bweni wilayani Pangani mkoa wa Tanga leo. ais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtwika ndoo ya maji mmoja wa wakazi wa Bweni Wilayani Pangani wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji huko Bweni Wilayani Pangani Mkoa wa Tanga leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mbunge wa Pangani Mhe.Saleh Pamba wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa maabara katika shule ya sekondari Kipumbwi huko...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE WA VITI MAALUMU MKOA WA TANGA (CUF) AMINA MWIDAU ALIPOTEMBELEA HOSPITALI YA WILAYA YA PANGANI

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya wilaya ya Pangani,Mugiri Emili kushoto akimuelekeza jambo Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga kupitia (CUF) Amina Mwidau ambaye alitembelea hospitali hiyo jana kuwafariji wagonjwa waliolazwa kwenye hospitali hiyo na kugawana zawadi ambazo ni sabuni,Poda,sukari ikiwemo mahitaji muhimu pamoja na kukabidhi jengo la kupumzikia wagonjwa alilolijenga mbunge huyo kwa gharama za milioni 5kushoto ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya wilaya ya Pangani,Mugiri Emili...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE WA VITI MAALUMU MKOA WA TANGA (CUF) AMINA MWIDAU ATEMBELEA HOSPITALI YA WILAYA YA PANGANI

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya wilaya ya Pangani,Mugiri Emili akisisitiza jambo kwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga kupitia (CUF) Amina Mwidau wakati akipotembelea hospitali hiyo kuwafariji wagonjwa na kugawa zawadi mbalimbali ikiwemo sabuni,sukari ikiwemo mahitaji muhimu na kukabidhi jengo la kupumzikia wagonjwa alilolijenga kwa gharama za sh.milioni tano na mbunge huyo.Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga kupitia (CUF) Amina Mwidau (mkoba wa bluu) akisalimiana na wakina mama wakati...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete Ziarani Mkoa wa Tanga, azindua Mradi wa Maji Mkata, agawa madume bora ya ng'ombe handeni

Chipukizi wa Mkoa wa Tanga wakimkaribisha kwa maua Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika tarafa ya Mkata, wilayani Handeni mkoa wa Tanga, Rais Kikwete yupo Mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi   -Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wananchi wa kijiji cha Msomela wakatia  a lipokwenda kukabidhi madume bora ya ng’ombe kwa wafugaji leo.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua baadhi ya madume bora ya ng’ombe na kasha kuwakabidhi baadhi ya wafugaji...

 

5 years ago

Michuzi

NHIF TANGA YAKABIDHI MASHUKA 50 KWA WILAYA YA PANGANI


MENEJA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally
Mwakababu kulia akimkabidhi Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Pangani Seif Ally mashuka yaliyotolewa na mfuko huo kwa ajili ya matumizi ya hospitali ya wilaya katikati anayeshuhudia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella halfa hiyo ilifanyika mjini Pangani
MENEJA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally
Mwakababu kulia akimkabidhi Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Pangani Seif Ally mashuka...

 

5 years ago

CCM Blog

ZIARA YA WAZIRI MKUU MAJALIWA WILAYANI PANGANI MKOANI TANGA, LEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akihutubia mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Bomani Pangani akiwa katika ziara ya lkikazi mkoa wa Tanga, lleo, Machi 6, 2020. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu. PICHA ZAIDI >>>BOFYA HAPA

 

11 years ago

GPL

MKUU WA MKOA TANGA MGENI RASMI MISS TANGA 2014

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Luteni Mstaafu Mheshimiwa Chiku Gallawa
Washiriki wa Nice & Lovely Miss Tanga 2014
Kumekucha Tanga…

 

11 years ago

Michuzi

MAGEREZA MKOA WA TANGA YAANZA MAANDALIZI YA UKARABATI WA OFISI MPYA ZA UTAWALA, JIJINI TANGA

Mkuu wa Magereza Mkoa wa Tanga, Naibu Kamishna wa Magereza Edither Malya(wa pili kulia) akielezea hatua mbalimbali za Maandalizi ya ukarabati wa Jengo la Ofisi za Utawala za Magereza Mkoa wa Tanga(wa kwanza kulia) ni Afisa Habari wa Jeshi la Magereza, Mkaguzi wa Magereza Deodatus Kazinja alipotembelea kujionea hatua mbalimbali za ukarabati unaoendelea leo Februari 7, 2014 Jijini Tanga. Muonekano wa mbele wa Jengo la Kikoloni ambalo linalotarajiwa kukarabatiwa kwa ajili ya Ofisi za...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA TANGA MGENI RASMI NICE & LOVELY MISS TANGA 2014

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Luteni Mstaafu Mheshimiwa Chiku Gallawa atakuwa mgeni rasmi katika shindano la kumsaka mrembo wa mkoa huo, Nice & Lovely Miss Tanga 2014 siku ya jumamosi tarehe 21/06/2014, shindano ambalo litafanyika Mkonge Hotel.   Mkurugenzi wa kampuni ya Mac D Promotions ambao ndio waandaaji wa shindano hilo, Irene Rweyunga amesema kuwa, Mkuu wa Mkoa wa Tanga amekubali kuwa mgeni rasmi, napia amepongeza maandalizi makubwa yaliyofanyika katika kuliandaa shindano hilo ambalo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani