Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUU WA MKOA TANGA MGENI RASMI NICE & LOVELY MISS TANGA 2014

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Luteni Mstaafu Mheshimiwa Chiku Gallawa atakuwa mgeni rasmi katika shindano la kumsaka mrembo wa mkoa huo, Nice & Lovely Miss Tanga 2014 siku ya jumamosi tarehe 21/06/2014, shindano ambalo litafanyika Mkonge Hotel.   Mkurugenzi wa kampuni ya Mac D Promotions ambao ndio waandaaji wa shindano hilo, Irene Rweyunga amesema kuwa, Mkuu wa Mkoa wa Tanga amekubali kuwa mgeni rasmi, napia amepongeza maandalizi makubwa yaliyofanyika katika kuliandaa shindano hilo ambalo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

NICE & LOVELY MISS TANGA 2014 WAFANYA USAFI OFISI YA MKUU WA MKOA TANGA

Warembo wanaowania taji la mkoa wa Tanga, Nice & Lovely Miss Tanga 2014 wakijiaandaa kufanya usafi katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga, ikiwa ni moja ya kampeni ya kuendelea kulifanya jiji hilo liwe safi muda wote. Washiriki wa Nice & Lovely Miss Tanga 2014 wakitupa takataka katika gari maalum la kubeba taka. Mshindi wa kwanza katika shindano hilo atapata zawadi ya gari dogo aina ya Toyota Vitz. Zoezi la usafi limepamba moto na kuliacha eneo hilo safi kabisa. Mgeni rasmi katika...

 

11 years ago

GPL

MKUU WA MKOA TANGA MGENI RASMI MISS TANGA 2014

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Luteni Mstaafu Mheshimiwa Chiku Gallawa
Washiriki wa Nice & Lovely Miss Tanga 2014
Kumekucha Tanga…

 

11 years ago

Michuzi

19 WARUDISHA FOMU ZA KUSHIRIKI NICE & LOVELY MISS TANGA 2014

Mratibu wa Mac D Promotions, waandaaji wa mashindano ya Nice & Lovely Miss Tanga 2014, Benson Jackson akiongea na waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari katika hoteli ya Mkonge jijini Tanga, ambapo amesema mpaka sasa jumla ya washiriki 19 wamechukua na kurudisha fomu za kushiriki shindano hilo linalosubiriwa kwa hamu kubwa na wakazi wa jiji la Tanga, shindano ambalo litafanyika jumamosi ya tarehe 21/ 06/ 2014 Mkonge Hotel. Gari aina ya Toyota Vitz atakalokabidhiwa mshindi wa shindano...

 

11 years ago

Michuzi

MAGEREZA MKOA WA TANGA YAANZA MAANDALIZI YA UKARABATI WA OFISI MPYA ZA UTAWALA, JIJINI TANGA

Mkuu wa Magereza Mkoa wa Tanga, Naibu Kamishna wa Magereza Edither Malya(wa pili kulia) akielezea hatua mbalimbali za Maandalizi ya ukarabati wa Jengo la Ofisi za Utawala za Magereza Mkoa wa Tanga(wa kwanza kulia) ni Afisa Habari wa Jeshi la Magereza, Mkaguzi wa Magereza Deodatus Kazinja alipotembelea kujionea hatua mbalimbali za ukarabati unaoendelea leo Februari 7, 2014 Jijini Tanga. Muonekano wa mbele wa Jengo la Kikoloni ambalo linalotarajiwa kukarabatiwa kwa ajili ya Ofisi za...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miss Tanga 2014 wafundwa

KATIKA kuelekea kinyang’anyiro cha kumsaka Nice&Lovely Miss Tanga 2014, washiriki wametakiwa kujiamini na kuongeza juhudi ili waweze kufanya vizuri katika fainali za shindano hilo kwenye ukumbi wa Hoteli ya Mkonge,...

 

11 years ago

Michuzi

MISS TANGA 2014 WATEMBELEA MWAMBAO FM

Washiriki wa Nice & Lovely Miss Tanga 2014 jana walitembelea kituo cha matangazo cha redio Mwambao Fm cha jijini Tanga kujionea jinsi kituo hicho kinavyorusha matangazo yake.
Wakiwa katika kituo hicho, warembeo hao walipata fursa ya kuzungumzia shindano hilo huku kila mmoja akitamba kuibuka mshindi siku ya jumamosi ya tarehe 21/06/2014 ndani ya Mkonge Hotel kuanzia saa moja usiku.
Baadaye leo washiriki hao watatembelea kituo cha redio cha Breeze Fm pia cha jijini Tanga na kesho...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Diana ndiye Miss Tanga 2014

MREMBO Diana Theojackson amenyakua taji ya Nice &Lovely Miss Tanga 2014 na kuzawadiwa gari aina ya Toyota Vitz lenye thamani ya sh milioni kumi. Shindano hilo lilifanyika juzi usiku na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miss Tanga 2014 kuchomoka na Vitz

MSHINDI wa Shindano la kuwania taji la ‘Nice and Lovely Miss Tanga 2014’ linalotarajiwa kufanyika Juni 21 kwenye ukumbi wa Mkonge Hotel jijini humo, atajinyakulia gari aina ya Toyota Vitz...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani