Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MISS TANGA 2014 WATEMBELEA MWAMBAO FM

Washiriki wa Nice & Lovely Miss Tanga 2014 jana walitembelea kituo cha matangazo cha redio Mwambao Fm cha jijini Tanga kujionea jinsi kituo hicho kinavyorusha matangazo yake.
Wakiwa katika kituo hicho, warembeo hao walipata fursa ya kuzungumzia shindano hilo huku kila mmoja akitamba kuibuka mshindi siku ya jumamosi ya tarehe 21/06/2014 ndani ya Mkonge Hotel kuanzia saa moja usiku.
Baadaye leo washiriki hao watatembelea kituo cha redio cha Breeze Fm pia cha jijini Tanga na kesho...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MKUU WA MKOA TANGA MGENI RASMI MISS TANGA 2014

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Luteni Mstaafu Mheshimiwa Chiku Gallawa
Washiriki wa Nice & Lovely Miss Tanga 2014
Kumekucha Tanga…

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA TANGA MGENI RASMI NICE & LOVELY MISS TANGA 2014

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Luteni Mstaafu Mheshimiwa Chiku Gallawa atakuwa mgeni rasmi katika shindano la kumsaka mrembo wa mkoa huo, Nice & Lovely Miss Tanga 2014 siku ya jumamosi tarehe 21/06/2014, shindano ambalo litafanyika Mkonge Hotel.   Mkurugenzi wa kampuni ya Mac D Promotions ambao ndio waandaaji wa shindano hilo, Irene Rweyunga amesema kuwa, Mkuu wa Mkoa wa Tanga amekubali kuwa mgeni rasmi, napia amepongeza maandalizi makubwa yaliyofanyika katika kuliandaa shindano hilo ambalo...

 

11 years ago

Michuzi

NICE & LOVELY MISS TANGA 2014 WAFANYA USAFI OFISI YA MKUU WA MKOA TANGA

Warembo wanaowania taji la mkoa wa Tanga, Nice & Lovely Miss Tanga 2014 wakijiaandaa kufanya usafi katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga, ikiwa ni moja ya kampeni ya kuendelea kulifanya jiji hilo liwe safi muda wote. Washiriki wa Nice & Lovely Miss Tanga 2014 wakitupa takataka katika gari maalum la kubeba taka. Mshindi wa kwanza katika shindano hilo atapata zawadi ya gari dogo aina ya Toyota Vitz. Zoezi la usafi limepamba moto na kuliacha eneo hilo safi kabisa. Mgeni rasmi katika...

 

11 years ago

GPL

MISS USTAWI 2014 WATEMBELEA GLOBAL PUBLISHERS

Warembo wanaowania taji la Miss Ustawi wa Jamii wakipozi ndani ya ofisi za Global. Mmoja wa mamiss hao akipata maelezo kutoka kwa Mhariri Msaidizi wa Gazeti la Amani na Risasi Jumamosi, Eric Evarist (katikati). Kushoto ni Mwandishi Gladness…

 

10 years ago

GPL

WASHIRIKI MISS TANZANIA 2014 WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI

Warembo wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2014 wakipozi jirani na bwawa la viboko na mamba lililopo katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi wakati warembo hao walipotembelea hifadhi hiyo jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani nchini. Mwongoza watalii katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miss Tanga 2014 wafundwa

KATIKA kuelekea kinyang’anyiro cha kumsaka Nice&Lovely Miss Tanga 2014, washiriki wametakiwa kujiamini na kuongeza juhudi ili waweze kufanya vizuri katika fainali za shindano hilo kwenye ukumbi wa Hoteli ya Mkonge,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miss Tanga 2014 kuchomoka na Vitz

MSHINDI wa Shindano la kuwania taji la ‘Nice and Lovely Miss Tanga 2014’ linalotarajiwa kufanyika Juni 21 kwenye ukumbi wa Mkonge Hotel jijini humo, atajinyakulia gari aina ya Toyota Vitz...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Diana ndiye Miss Tanga 2014

MREMBO Diana Theojackson amenyakua taji ya Nice &Lovely Miss Tanga 2014 na kuzawadiwa gari aina ya Toyota Vitz lenye thamani ya sh milioni kumi. Shindano hilo lilifanyika juzi usiku na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Washiriki wa Miss Tanzania 2014 watembelea hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimajaro — KINAPA

FKB_9581

Warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014 wametembelea hifadhi ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) na kujifunza mambo mengi kuhusiana na hifadhi hiyo ya mlima kilamanjaro. Pichani ni warembo hao wakipiga picha na mdau mkubwa wa masuala ya urembo mkoani Kilimajaro, Athena Mawalla wa mgahawa wa Meku’s Bistro wakati warembo hao walipomtembelea wakiwa njiani kwenda KINAPA.

Warembo wakiwa katika gari njiani kuelekea KINAPA.

Afisa Habari wa Kamati ya Miss Tanzania, Hidan...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani