Vyama vitano vyagawana madiwani viti maalumu
Wakati kata 56 zinasubiri kufanya uchaguzi mdogo wa madiwani, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza mgawanyo wa madiwani wa viti maalumu miongoni mwa vyama vitano vilivyofuzu vigezo vilivyowekwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog17 Nov
NEC yatangaza idadi ya madiwani wa viti maalumu!
Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhani Kailima
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza idadi ya madiwani wa viti maalumu pamoja na vyama wanavyotokea.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhani Kailima ametaja idadi ya madiwani hao kuwa 1402 na kuwataja madiwani 1392 huku 15 wakisubiri chaguzi zimalizike katika kata zilizosalia.
Amesema katika madiwani hao CCM ni 1122, Chadema 220, CUF 49, NCCR 6 na ACT 6.
Kailima ameongeza kuwa kata...
9 years ago
Mwananchi04 Nov
Mpambano viti maalumu kuvikutanisha vyama vitatu
9 years ago
Mwananchi21 Sep
Vyama vitano taabani
9 years ago
Habarileo28 Sep
Vyama vitano vyaahidi viwanda
VYAMA vitano vya siasa nchini vinavyoshiriki katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu vimeelekeza nguvu katika uchumi wa viwanda na udhibiti wa matumizi ya Dola ya Marekani katika kukuza pato la Taifa ikiwa watapewa ridhaa ya kuongoza nchi.
9 years ago
MichuziVYAMA VITANO VIMEKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI KUZUNGUMZIA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU Part 1
1. Tunawapongeza wagombea wote wa nafasi ya Urais kwa kuendelea kufanya kampeni kwa njia ya amani na Utulivu.
2. Tunawataka watanzania wote waliojiandikisha kupiga kura wajitokeze kwa wingi siku ya tarehe...
10 years ago
MichuziVYAMA VITANO VYA SIASA VISIVYO NA WABUNGE VYAOMBA SAKATA LA IPTL LIMALIZWE
MAKATIBU wakuu wa vyama vitano vya kisiasa visivyo na wabunge bungeni wameomba suala la utata wa ufisadi zaidi ya sh.bilioni 300 zilizowekwa katika akaunti ya Tegeta Escrow zilizokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) limalizwe ili kuendelea kwa mambo mengine ya kitaifa.
Katika hatua nyingine makatibu hao wamepinga hatua ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (Takukuru) kukabidhi ripoti ya uchunguzi kwa Waziri Mkuu na kudai ipelekwe kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini...
9 years ago
Dewji Blog04 Oct
Vyama vitano vimekutana na waandishi wa habari kuzungumzia kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015
Viongozi wa vyama vya siasa vitano AFP, UMD, CHAHUSTA, JAHAZI ASILIA NA DEMOKRASIA MAKINI kwa pamoja tumeungana kutoa wito kwa wanasiasa wenzetu, viongozi wa dini na wananchi wote kwa jumla kuhusiana na uchaguzi huu unaotarajiwa kufanyika ifikapo tarehe 25/10/2015
Tamko hili ni pamoja na:-
1.Tunawapongeza wagombea wote wa nafasi ya Urais kwa kuendelea kufanya kampeni kwa njia ya amani na Utulivu.
2.Tunawataka watanzania wote waliojiandikisha kupiga kura wajitokeze kwa wingi siku ya...
9 years ago
GPL11 years ago
Mwananchi01 Apr
‘Ubunge wa Viti Maalumu ufutwe’