Mpambano viti maalumu kuvikutanisha vyama vitatu
Vyama vitatu kati ya 22 vya siasa vilivyoshiriki kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, ndivyo vyenye uhakika wa kupata wabunge wa viti maalumu ambao majina yao yatatangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kesho.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi13 Nov
Vyama vitano vyagawana madiwani viti maalumu
10 years ago
Mwananchi01 Aug
Vyama vitatu kufungua pazia la urais
9 years ago
Mwananchi08 Nov
Wabunge viti maalumu badilikeni
11 years ago
Mwananchi01 Apr
‘Ubunge wa Viti Maalumu ufutwe’
9 years ago
Mwananchi08 Nov
47 watoswa viti maalumu CCM, Ukawa
10 years ago
Habarileo11 Jul
Mbunge viti maalumu atoa msaada wa mil 6/-
MBUNGE wa Viti Maalum kupitia tiketi ya CCM mkoa wa Singida, Martha Mlata ametoa msaada wa vifaa tiba mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 5.7 kwa Kituo cha afya cha Sokoine cha mjini Singida.
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://4.bp.blogspot.com/-oZV48cuRbek/Vj5rriF3xII/AAAAAAAAXD0/g_1e-QCt9pI/s72-c/KWANZA.jpg)
9 years ago
Dewji Blog17 Nov
NEC yatangaza idadi ya madiwani wa viti maalumu!
Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhani Kailima
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza idadi ya madiwani wa viti maalumu pamoja na vyama wanavyotokea.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhani Kailima ametaja idadi ya madiwani hao kuwa 1402 na kuwataja madiwani 1392 huku 15 wakisubiri chaguzi zimalizike katika kata zilizosalia.
Amesema katika madiwani hao CCM ni 1122, Chadema 220, CUF 49, NCCR 6 na ACT 6.
Kailima ameongeza kuwa kata...
9 years ago
Habarileo18 Nov
Hatujachakachua majina ya wabunge viti maalumu -NEC
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema majina ya wabunge wa Viti Maalumu iliyoyapitisha hayajachakachuliwa bali yamepitishwa kulingana na orodha ya vyama vya siasa vilivyowasilisha majina hayo.