Vyama vitatu kufungua pazia la urais
Dar es Salaam. Pazia la kuchukua fomu Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) za kugombea kiti cha urais katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu, linafunguliwa rasmi leo kwa wagombea wa vyama vya UPDP, TLP na DP.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi12 Jun
Prof Lipumba kufungua pazia urais keshokutwa
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, Jumapili atachukua fomu ya kugombea urais ndani ya chama hicho na atawaeleza Watanzania sababu ya kuwania nafasi hiyo.
9 years ago
Mwananchi23 Aug
CCM kufungua pazia
Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli leo anafungua rasmi pazia la kampeni za siku 61 za chama hicho kwenye Uwanja wa Jangwani katika tukio linalotarajiwa kuhudhuriwa na maelfu ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam, wakiwamo vigogo mbalimbali wa chama hicho tawala.
11 years ago
Mwananchi14 Jun
Filamu ya Mandela kufungua pazia
Tamasha kubwa la nchi za majahazi leo linaanza kurindima ndani ya viunga vya Ngome Kongwe katika Mji Mkongwe wa Stone Town, Unguja, kwa watu wa mataifa yote watakapoungana na kushuhudia ‘Hatma ya Pamoja’ (A common Destiny) kuanzia Juni 14 hadi 22, 2014
10 years ago
MichuziShindano la TMT 2015 lazinduliwa rasmi leo, Mwanza kufungua pazia kesho
Afisa Masoko na Mahusiano wa Proin Promotions Ltd, Josephat Lukaza akizungumzia Uzinduzi wa msimu wa pili wa Shindano la TMT 2015 lililopo chini ya Kampuni ya Proin Promotions Ltd ambao pia ni wasambazaji, wauzaji na watengenezaji wa filamu za Kitanzania. Anayeshuhudia pembeni ni Mratibu wa Masoko wa ITV/Radio One ambao ni mmoja wa wadhamini wa Shindano la TMT 2015. Mratibu wa masoko kutoka ITV/Radio One (wa pili kulia) akizungumzia juu ya umuhimu wa wao ITV/Radio one kuwa washirika wa TMT...
9 years ago
Mwananchi04 Nov
Mpambano viti maalumu kuvikutanisha vyama vitatu
Vyama vitatu kati ya 22 vya siasa vilivyoshiriki kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, ndivyo vyenye uhakika wa kupata wabunge wa viti maalumu ambao majina yao yatatangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kesho.
5 years ago
BBCSwahili25 May
Virusi vya Corona: Mtanange wa mahasimu Real Betis dhidi ya Sevilla kufungua pazia la La Liga
Ligi hiyo ilisimamishwa toka Machi 12 kutokana na mlipuko wa virusi vya corona.
10 years ago
Dewji Blog23 Apr
Shindano la TMT 2015 lazinduliwa rasmi leo, Mwanza kufungua pazia tarehe 24 April 2015.
Afisa Masoko na Mahusiano wa Proin Promotions Ltd, Josephat Lukaza akizungumzia Uzinduzi wa msimu wa pili wa Shindano la TMT 2015 lililopo chini ya Kampuni ya Proin Promotions Ltd ambao pia ni wasambazaji, wauzaji na watengenezaji wa filamu za Kitanzania. Anayeshuhudia pembeni ni Mratibu wa Masoko wa ITV/Radio One ambao ni mmoja wa wadhamini wa Shindano la TMT 2015.
Mratibu wa masoko kutoka ITV/Radio One (wa pili kulia) akizungumzia juu ya umuhimu wa wao ITV/Radio one kuwa washirika wa...
10 years ago
Mwananchi04 Jun
Wanne wafungua pazia la fomu za urais CCM
Pazia la Chama cha Mapinduzi (CCM) kupata mgombea wake wa urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba limefunguliwa rasmi jana mjini Dodoma.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania