Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shindano la TMT 2015 lazinduliwa rasmi leo, Mwanza kufungua pazia kesho


Afisa Masoko na Mahusiano wa Proin Promotions Ltd, Josephat Lukaza akizungumzia Uzinduzi wa msimu wa pili wa Shindano la TMT 2015 lililopo chini ya Kampuni ya Proin Promotions Ltd ambao pia ni wasambazaji, wauzaji na watengenezaji wa filamu za Kitanzania. Anayeshuhudia pembeni ni Mratibu wa Masoko wa ITV/Radio One ambao ni mmoja wa wadhamini wa Shindano la TMT 2015. Mratibu wa masoko kutoka ITV/Radio One (wa pili kulia) akizungumzia juu ya umuhimu wa wao ITV/Radio one kuwa washirika wa TMT...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Shindano la TMT 2015 lazinduliwa rasmi leo, Mwanza kufungua pazia tarehe 24 April 2015.

Afisa Masoko na Mahusiano wa Proin Promotions Ltd, Josephat Lukaza akizungumzia Uzinduzi wa msimu wa pili wa Shindano la TMT 2015 lililopo chini ya Kampuni ya Proin Promotions Ltd ambao pia ni wasambazaji, wauzaji na watengenezaji wa filamu za Kitanzania. Anayeshuhudia pembeni ni Mratibu wa Masoko wa ITV/Radio One ambao ni mmoja wa wadhamini wa Shindano la TMT 2015.   Mratibu wa masoko kutoka ITV/Radio One (wa pili kulia) akizungumzia juu ya umuhimu wa wao ITV/Radio one kuwa washirika wa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Shindano la TMT 2015 Lazinduliwa Rasmi Leo, Jijini Dar

Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2015 limezinduliwa rasmi leo huku baadhi ya vigezo vikiwa vimeboreshwa, akizungumzia hayo Meneja wa Mradi wa TMT 2015, Saul Mpock amesema kuwa "mwaka huu Kigezo kimojawapo ni mshiriki kuwa na umri kuanzia miaka 16 na kuendelea huku fomu za kushiriki shindano hilo zikipatika siku ya usaili katika mkoa husika na bila gharama yoyote"

Shindano la Tanzania Movie Talents 2015 linaanza rasmi kesho huku Kanda ya Ziwa ndio itakayofungua pazia la shindano hili...

 

11 years ago

Michuzi

SAFARI YA MCHUJO KWA WASHIRIKI WA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) YAANZA RASMI LEO

 Jukwaa likitengenezwa kwaajili ya Washiriki Wa fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) kupanda jukwaani na kuanza kuonyesha vipaji vyao, Onyesho hili ni onyesho la kwanza la kuelekea Kwenye Mchujo wa kumpata mshiriki Mmoja atakayejinyakulia kitita cha Shilingi Milioni 50 katika fainali kubwa itakayofanyika mwishoni mwa Mwezi wa Nane.
Mahost wa Show ya Tanzania Movie Talents (TMT) Joti na Lulu wakiwa kwa Steji tayari kwa Show kuanzaTimu ya Tanzania Movie Talents (TMT) ikiwa...

 

10 years ago

GPL

SHINDANO LA VIPAJI LA TMT KUHAMIA ARUSHA KESHO

Majaji wakitoa neno kwa washiriki (hawapo pichani). Tano bora ya washiriki kabla ya kuchujwa na kubakiwa watatu walioondoka na laki tano kila mmoja. Mmoja wa washiriki kutoka Mwanza akisubiri majibu kama atakuwa mshindi. LILE shindano la kusaka vipaji vya kuigiza lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents (TMT), leo lilifika…

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS,DKT. BILAL AWASILI JIJINI MWANZA JIONI YA LEO,KUFUNGUA KONGAMANO LA UWEKEZAJI KANDA YA ZIWA KESHO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal akishuka kwenye ndege wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwanza jioni ya leo,tayari kwa ufunguzi Kongamano la uwekezaji kwa Kanda ya Ziwa,linaotarajiwa kuanza kesho kwenye Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,Mh. Everist Ndikilo wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwanza jioni ya...

 

10 years ago

Vijimambo

SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA LAZINDULIWA RASMI NA MKUU WA WILAYA YA KISARAWE MH. SUBIRA MGALU KIJIJINI KISANGA

 Mgeni Rasmi katika Sherehe za uzinduzi Rasmi wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015 Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mh. Subira Mgalu akizindua Rasmi Mashindano hayo katika kijiji cha Kisanga Mashindano yatakapofanyikia. Eluka Kibona, Meneja Utetezi na Ushawishi wa Oxfam akielezea kwa kina kuhusu Shindano la Mama Shujaa wa ChakulaDiwani wa Kata ya Masaki Mh. Pily Kondo Changuhi akiongea na Wakazi wa Kisarawe pamoja na wageni waalikwa katika Sherehe hizo za uzinduzi wa Shindano la Mama  Shujaa...

 

10 years ago

GPL

WENGI WAJITOKEZA KWENYE USAILI WA SHINDANO LA TMT JIJINI MWANZA

Baadhi ya washiriki kutoka Kanda ya Ziwa wakipewa maelekezo kutoka kwa mfanyakazi wa TMT kwa ajili ya kuanza usaili. Washiriki wa shindano la TMT 2015 jijini Mwanza wakipewa semina elekezi. Washiriki wakiwa tayari kuingia chumba cha majaji kwa ajili ya kuanza usaili. Na Andrew…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani