Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USAILI TMT 2015 MKOANI MWANZA KUFANYIKA LEO HADI J'PILI

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Shindano la TMT 2015 lazinduliwa rasmi leo, Mwanza kufungua pazia tarehe 24 April 2015.

Afisa Masoko na Mahusiano wa Proin Promotions Ltd, Josephat Lukaza akizungumzia Uzinduzi wa msimu wa pili wa Shindano la TMT 2015 lililopo chini ya Kampuni ya Proin Promotions Ltd ambao pia ni wasambazaji, wauzaji na watengenezaji wa filamu za Kitanzania. Anayeshuhudia pembeni ni Mratibu wa Masoko wa ITV/Radio One ambao ni mmoja wa wadhamini wa Shindano la TMT 2015.   Mratibu wa masoko kutoka ITV/Radio One (wa pili kulia) akizungumzia juu ya umuhimu wa wao ITV/Radio one kuwa washirika wa...

 

10 years ago

GPL

WENGI WAJITOKEZA KWENYE USAILI WA SHINDANO LA TMT JIJINI MWANZA

Baadhi ya washiriki kutoka Kanda ya Ziwa wakipewa maelekezo kutoka kwa mfanyakazi wa TMT kwa ajili ya kuanza usaili. Washiriki wa shindano la TMT 2015 jijini Mwanza wakipewa semina elekezi. Washiriki wakiwa tayari kuingia chumba cha majaji kwa ajili ya kuanza usaili. Na Andrew…

 

10 years ago

Michuzi

Shindano la TMT 2015 lazinduliwa rasmi leo, Mwanza kufungua pazia kesho


Afisa Masoko na Mahusiano wa Proin Promotions Ltd, Josephat Lukaza akizungumzia Uzinduzi wa msimu wa pili wa Shindano la TMT 2015 lililopo chini ya Kampuni ya Proin Promotions Ltd ambao pia ni wasambazaji, wauzaji na watengenezaji wa filamu za Kitanzania. Anayeshuhudia pembeni ni Mratibu wa Masoko wa ITV/Radio One ambao ni mmoja wa wadhamini wa Shindano la TMT 2015. Mratibu wa masoko kutoka ITV/Radio One (wa pili kulia) akizungumzia juu ya umuhimu wa wao ITV/Radio one kuwa washirika wa TMT...

 

9 years ago

Vijimambo

Fainali TMT 2015 #mpakakieleweke kufanyika tarehe 22 August Makumbusho ya Taifa Posta.

 Jaji Mkuu wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Roy Sarungi akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo Katika ofisi za Proin Promotions Ltd juu ya mchakato mzima wa fainali ya TMT itakayofanyika tarehe 22 August 2015 Katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Posta kwa kiingilio cha Shilingi Elfu Hamsini (50000) kwa viti maalumu na shilingi elfu thelathini (30000) kwa viti vya Kawaida.Mshindi katika fainali hiyo itaondoka na kitita cha Shilingi milioni hamsini (50,000,000)...

 

11 years ago

Michuzi

tamasha la filamu Tanzania kufanyika mkoani Mtwara Idd Pili

KAMPUNI ya Bia Nchini (TBL) kupitia kinywaji chake cha Grand Malt kimetangaza kudhamini tamasha la wazi la filamu ‘Tanzania Open Festival’ litakalofanyika mapema mwezi Agosti mwaka huu mkoani Mtwara.
Tamasha hilo linatarajiwa kufanyika kwa muda wa wiki moja kuanzia sikukuu ya idd Pili hadi Agosti 5 mwaka huu. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana , Meneja Masoko wa TBL, Fimbo Butallah, alisema kuwa tamasha la mwaka huu litafanyika mkoani Mtwara kwenye viwanja vya Mashujaa na hii...

 

10 years ago

GPL

NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI‏

John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi. It's Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band, Karibuni sana...

 

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA NCHI ZA JAHAZI 2015 KUFANYIKA NGOME KONGWE ZANZIBAR KUANZIA JULAI 18 HADI 26

 Mjumbe wa bodi wa Tamasha la Jahazi, Fatma Allo (kulia), akizungumza katika mkutano na wadau wa filamu na wanahabari Dar es Salaam leo jioni kuhusu tamasha la nchi za jahazi litakalofanyika kuanzia Julai 18 hadi 26 mwaka huu Ngome Kongwe mjini Zanzibar.Kutoka kushoto ni Meneja wa Tamasha, Daniel Nyalusy na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Tamasha la Jahazi, Martin Mhando. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Tamasha la Jahazi, Martin Mhando (kushoto), akizungumza kuhusu tamasha hilo kubwa la jahazi. Kulia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani