SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA LAZINDULIWA RASMI NA MKUU WA WILAYA YA KISARAWE MH. SUBIRA MGALU KIJIJINI KISANGA
Mgeni Rasmi katika Sherehe za uzinduzi Rasmi wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015 Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mh. Subira Mgalu akizindua Rasmi Mashindano hayo katika kijiji cha Kisanga Mashindano yatakapofanyikia.
Eluka Kibona, Meneja Utetezi na Ushawishi wa Oxfam akielezea kwa kina kuhusu Shindano la Mama Shujaa wa Chakula
Diwani wa Kata ya Masaki Mh. Pily Kondo Changuhi akiongea na Wakazi wa Kisarawe pamoja na wageni waalikwa katika Sherehe hizo za uzinduzi wa Shindano la Mama Shujaa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-cXwDz0Ncwoo/VcHyMgz7g8I/AAAAAAAAcEo/hxmy2rlnWow/s72-c/IMG-20150805-WA0050.jpg)
WASHIRIKI WA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 WAWASILISHA MIRADI YAO YA KILIMO NA MAZINGIRA KWA WANAKIJIJI WA KISANGA WILAYANI KISARAWE PWANI
![](http://1.bp.blogspot.com/-cXwDz0Ncwoo/VcHyMgz7g8I/AAAAAAAAcEo/hxmy2rlnWow/s640/IMG-20150805-WA0050.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-tq6XCpeDV5s/VcHyMGMQsoI/AAAAAAAAcEg/_D_2cH874kM/s640/IMG-20150805-WA0049.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/--bmmLV15n5Q/VcHyMY_D-UI/AAAAAAAAcEk/jKi7Hl0c5jw/s640/IMG-20150805-WA0051.jpg)
BOFYA HAPA KWA PICHA...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-g9DLF0XcgC4/VUDmpsAzOGI/AAAAAAAHUBw/mB4v1W6HIyQ/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
SHINDANO LA MAMA SHUJAA LAZINDULIWA WILAYANI KISARAWE
Na Mwandishi WetuMkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mh.Subira Mgalu amezindua Shindano la Mama Shujaa wa Chakula linaloendeshwa na Shirika lisilo la kiserikali la Oxfam kupitia kampeni ya Grow lenye lengo la Kumuwezesha Mwanamke katika kilimo na kumkwamua kiuchumi.
Subira ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kumwezesha mwanamke katika kilimo na kumkwa mwanamke kiuchumi iliyofanyika katika kijiji cha Kisanga wilayani Kisarawe mkoani Pwani.
Subira amesema kufanyika kwa mashindano wilayani...
9 years ago
Dewji Blog20 Aug
VIDEO: Wakazi wa kijiji cha Kisanga watoa maoni yao kuhusu washiriki wa shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015
Ni Siku ya 16 huku Shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015 Msimu wa nne shindano linalo endeshwa na Shirika la Oxfam kupitia Kampeni yake ya Grow, Likiwa linaelekea Ukingoni ambapo katika siku hii tunaona Maisha ya Mama Shujaa wa Chakula walivyo ishi kwa Siku 15, lakini kubwa zaidi ni wakazi wa Kijiji cha Kisanga hususani wale ambao ndio waliokuwa wanaishi na Akina mama hao katika Kaya zao kutoa maoni yao jinsi walivyo ishi na akina Mama hao. Pia hapa tutaona wasifu wa Washiriki wote wa...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-s2rgBFGM61w/VdRfGIHo5_I/AAAAAAAAclE/zt0M40NLpKI/s72-c/11873728_989084061113913_8620019709940397891_n.jpg)
WAKAZI WA KIJIJI CHA KISANGA WATOA MAONI YAO KUHUSU WASHIRIKI WA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 (VIDEO)
9 years ago
MichuziWASHIRIKI WA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 WAJIPATIA KIPATO KWA KUUZA BIDHAA WALIZOTENGENEZA WENYEWE KATIKA KIJIJI CHA KISANGA.
10 years ago
VijimamboSHEREHE YA KUWAKARIBISHA RASMI WASHIRIKI WA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 KIJIJI CHA MAKUMBUSHO JIJINI DAR, WAINGIA RASMI KAMBINI
10 years ago
Dewji Blog02 Jun
18 kupatikana shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015, mchujo waanza rasmi jijini Dar
Muwakilishi wa mgeni rasmi Mkurugenzi Mtendaji wa TBS Joseph Masikitiko katika Hafla ya maamuzi ya fomu za shindano la mamashujaa wa Chakula Bi. Stella E. Mrosso wa kwanza kushoto, wa pili kutoka kushoto ni Tusfaye Legesse Obole President’s Delivery Bureau, Manager Agriculture Productivity na Mratibu wa Programu kutoka Care International in Tanzania Maureen Kwilasa ambaye ni Mkuu wa mahabara ya Chakula TBS akifungua rasmi hafla hiyo ya kuanza kuzihakiki fomu hizo .
Eluka Kibona,...
10 years ago
MichuziSHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA MSIMU WA 4 LAANZA RASMI, WAFANYIWA SHEREHE YA UKARIBISHO KIJIJI CHA MAKUMBUSHO DAR
9 years ago
MichuziMSHINDI WA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 CAROLINE CHELELE, AKABIDHIWA RASMI ZAWADI ZA VIFAA VYA KILIMO
Akizungumza katika hafla ya makabidhiano hayo ya zawadi Mkoani Morogoro wilayani Kilombero kata ya Ifakara,Meneja Ushawishi na Utetezi kutoka Shirika la Oxfam,Eluka Kibona alisema zawadi hiyo ni moja ya...