MSHINDI WA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 CAROLINE CHELELE, AKABIDHIWA RASMI ZAWADI ZA VIFAA VYA KILIMO
Mshindi wa shindano la Mama shujaa wa Chakula 2015, Linaloendeshwa na Shirika la Oxfam kupitia program yake ya Grow msimu wa nne Caroline Chelele amekabidhiwa zawadi ya vifaa vya kilimo vyenye thamani ya kiasi cha shilingi Millioni 20, nyumbani kwake kata ya Ifakara mkoani Morogoro.
Akizungumza katika hafla ya makabidhiano hayo ya zawadi Mkoani Morogoro wilayani Kilombero kata ya Ifakara,Meneja Ushawishi na Utetezi kutoka Shirika la Oxfam,Eluka Kibona alisema zawadi hiyo ni moja ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog15 Dec
Mama Shujaa wa Chakula 2015 Caroline Chelele, akabidhiwa rasmi zawadi za vifaa vya kilimo zenye thamani ya Tsh Mil.20 Ifakara
Mshindi wa Shindano la Mama shujaa wa Chakula Msimu wa nne Bi. Caroline Chelele aliyekaa kwenye Pawatila akifurahia zawadi zake, Muda mfupi baada ya kukabidhiwa.
Katibu Tawala wa Wilaya ya Kilombelo Bw. Yahya Naiya (wa pili kushoto) aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Kilombelo akikata utepe kuashiria tukio la kumkabidhi zawadi rasmi mama shujaa wa chakula msimu wa nne 2015 Bi. Caroline Chelele, wa kwanza kushoto ni Mercy Minja Kaimu mkurugenzi wa wa mji wa Ifakara, wa tatu kutoka kulia ni...
9 years ago
VijimamboCAROLINA CHILELE AIBUKA MSHINDI WA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015
Mshindi wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015 msimu wa nne akitoa neno la Shukurani kwa ushindi alioupata , Ameshukuru shirika la Oxfam kwa kuendesha shindano hilo na kuahidi kuwa atakwenda kuwa Balozi mzuri na kusema kuwa washiriki wote ni washindi na yeye amepata zawadi hiyo kuwawakilisha wote.
10 years ago
VijimamboSHEREHE YA KUWAKARIBISHA RASMI WASHIRIKI WA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 KIJIJI CHA MAKUMBUSHO JIJINI DAR, WAINGIA RASMI KAMBINI
10 years ago
Dewji Blog02 Jun
18 kupatikana shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015, mchujo waanza rasmi jijini Dar
Muwakilishi wa mgeni rasmi Mkurugenzi Mtendaji wa TBS Joseph Masikitiko katika Hafla ya maamuzi ya fomu za shindano la mamashujaa wa Chakula Bi. Stella E. Mrosso wa kwanza kushoto, wa pili kutoka kushoto ni Tusfaye Legesse Obole President’s Delivery Bureau, Manager Agriculture Productivity na Mratibu wa Programu kutoka Care International in Tanzania Maureen Kwilasa ambaye ni Mkuu wa mahabara ya Chakula TBS akifungua rasmi hafla hiyo ya kuanza kuzihakiki fomu hizo .
Eluka Kibona,...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Mbqam9i8slY/Uv3Vp-h9DEI/AAAAAAACap8/4nx-nIcL5po/s72-c/mama-urassa-na-mwenye-shamba.jpg)
Mama Shujaa wa chakula mtandaoni akabidhiwa zawadi ya shamba
Neema Urassa Kivugo ambaye alishinda vifaa vya kilimo vyenye thamani ya Tshs. Milioni 5 alichagua kununua shamba ili amiliki ardhi yake mwenyewe. Akiongea wakati wa makabidhiano hayo, Neema alisema, ''kupitia kilimo katika shamba langu mwenyewe, sasa nitaweza kumalizia ada ya wanangu na pia ujenzi wa nyumba yangu...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-cXwDz0Ncwoo/VcHyMgz7g8I/AAAAAAAAcEo/hxmy2rlnWow/s72-c/IMG-20150805-WA0050.jpg)
WASHIRIKI WA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 WAWASILISHA MIRADI YAO YA KILIMO NA MAZINGIRA KWA WANAKIJIJI WA KISANGA WILAYANI KISARAWE PWANI
![](http://1.bp.blogspot.com/-cXwDz0Ncwoo/VcHyMgz7g8I/AAAAAAAAcEo/hxmy2rlnWow/s640/IMG-20150805-WA0050.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-tq6XCpeDV5s/VcHyMGMQsoI/AAAAAAAAcEg/_D_2cH874kM/s640/IMG-20150805-WA0049.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/--bmmLV15n5Q/VcHyMY_D-UI/AAAAAAAAcEk/jKi7Hl0c5jw/s640/IMG-20150805-WA0051.jpg)
BOFYA HAPA KWA PICHA...
11 years ago
MichuziHATIMAYE MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2014 AKABIDHIWA ZAWADI YAKE WILAYANI UKEREWE MWANZA
11 years ago
GPLHATIMAYE MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2014 AKABIDHIWA ZAWADI ZAKE WILAYANI UKEREWE MWANZA
10 years ago
Michuzi18 WATAJWA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015
akizungumza na waandishi wa habari mmoja wa majaji waliohusika katika zoezi la kusahihisha fomu za washiriki, Zephania Mugittu alisema kuwa idadi ya washiriki...