CAROLINA CHILELE AIBUKA MSHINDI WA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015
Mshindi wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015 msimu wa nne akitoa neno la Shukurani kwa ushindi alioupata , Ameshukuru shirika la Oxfam kwa kuendesha shindano hilo na kuahidi kuwa atakwenda kuwa Balozi mzuri na kusema kuwa washiriki wote ni washindi na yeye amepata zawadi hiyo kuwawakilisha wote. Mshindi wa Mama Shujaa wa Chakula Msimu wa Nne 2015 Bi. Carolina Chilele(Kulia) akikabidhiwa Ngao yake ya Ushindi na Mkurugenzi Mkazi wa Oxfam Tanzania Jane Foster katika Kijiji cha Makumbusho...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMSHINDI WA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 CAROLINE CHELELE, AKABIDHIWA RASMI ZAWADI ZA VIFAA VYA KILIMO
Akizungumza katika hafla ya makabidhiano hayo ya zawadi Mkoani Morogoro wilayani Kilombero kata ya Ifakara,Meneja Ushawishi na Utetezi kutoka Shirika la Oxfam,Eluka Kibona alisema zawadi hiyo ni moja ya...
10 years ago
Michuzi18 WATAJWA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015
akizungumza na waandishi wa habari mmoja wa majaji waliohusika katika zoezi la kusahihisha fomu za washiriki, Zephania Mugittu alisema kuwa idadi ya washiriki...
10 years ago
Dewji Blog08 Jun
18 watajwa kushiriki shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015
Meneja Utetezi na Ushawishi wa Oxfam, Eluka Kibona akifungua mkutano wa kuwatangaza washindi wa waliongia katika shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015.
Majaji, Kutoka Kulia ni Zephaniah Muggitu wa Digital Consulting Ltd, Jairos Mahenge Mhifadhi Mwandamizi wa Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu, Dora Myinga Mkulima na Mjasiliamali, Mwandiwe Makame Mkulima na Mfugaji, Roselyn Kaihula kutoka Ekama Development.
Ofisa Mahusiano ya Ushawishi wa Oxfam Tanzania Suhaila Thawer akitoa maelezo...
10 years ago
VijimamboWASHIRIKI 18 WATAJWA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015
10 years ago
GPLWASHIRIKI 18 WATAJWA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015
9 years ago
Dewji Blog23 Aug
Mshindi wa Mama Shujaa wa Chakula 2015, anyakua kitita cha Sh. Mil.20
Mshindi wa Mama shujaa wa Chakula 2015 msimu wa Nne, Bi.Carolina Chilele akiwa na tuzo yake wakati wa shuguli hizo za Mama Shujaa wa Chakula ziliofanyika hivi karibuni.
Hatimaye Shindano la Mama Shujaa wa Chakula shindano linaloendeshwa na shirika la Oxfam kupitia programu yake ya Grow ambapo kauli mbiu ni Wekeza kwa wakulima wanawake wadogo wadogo inalipa lafika tamati ambapo kulikuwa na mchuano mkali kati ya washiriki 15 ambao walikuwa katika Kijiji cha Kisanga, Wilayani Kisarawe Mkoani...
10 years ago
MichuziMCHUJO WA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 WAANZA LEO JIJINI DAR
9 years ago
Dewji Blog18 Aug
Washiriki wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015 wabuni mbinu za kujipatia kipato
Ni siku ya 14 ambapo mampema kabisa washiriki wa shindano la Mama Shujaa wa Chakula Msimu wa nne 2015 linaloendeshwa na Oxfam kupitia kampeni yake ya Grow na yenye kauli yake ya Wekeza kwa wakulima wadogo wadogo wanawake inalipa , na Kipindi ambacho kinaruka katika Luninga yako kupitia Chanel ya ITV kuanzia saa 12:30 jioni na Marudio saa 11:30 za asubuhi , Katika siku hii Mama Shujaa wa Chakula wanatoka na kuelekea mabondeni kufuata udongo wa Mfinyanzi kwa ajili ya kuja kutengeneza vitu...
10 years ago
Dewji Blog02 Jun
18 kupatikana shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015, mchujo waanza rasmi jijini Dar
Muwakilishi wa mgeni rasmi Mkurugenzi Mtendaji wa TBS Joseph Masikitiko katika Hafla ya maamuzi ya fomu za shindano la mamashujaa wa Chakula Bi. Stella E. Mrosso wa kwanza kushoto, wa pili kutoka kushoto ni Tusfaye Legesse Obole President’s Delivery Bureau, Manager Agriculture Productivity na Mratibu wa Programu kutoka Care International in Tanzania Maureen Kwilasa ambaye ni Mkuu wa mahabara ya Chakula TBS akifungua rasmi hafla hiyo ya kuanza kuzihakiki fomu hizo .
Eluka Kibona,...