Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shindano la TMT 2015 Lazinduliwa Rasmi Leo, Jijini Dar

Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2015 limezinduliwa rasmi leo huku baadhi ya vigezo vikiwa vimeboreshwa, akizungumzia hayo Meneja wa Mradi wa TMT 2015, Saul Mpock amesema kuwa "mwaka huu Kigezo kimojawapo ni mshiriki kuwa na umri kuanzia miaka 16 na kuendelea huku fomu za kushiriki shindano hilo zikipatika siku ya usaili katika mkoa husika na bila gharama yoyote"

Shindano la Tanzania Movie Talents 2015 linaanza rasmi kesho huku Kanda ya Ziwa ndio itakayofungua pazia la shindano hili...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Shindano la TMT 2015 lazinduliwa rasmi leo, Mwanza kufungua pazia tarehe 24 April 2015.

Afisa Masoko na Mahusiano wa Proin Promotions Ltd, Josephat Lukaza akizungumzia Uzinduzi wa msimu wa pili wa Shindano la TMT 2015 lililopo chini ya Kampuni ya Proin Promotions Ltd ambao pia ni wasambazaji, wauzaji na watengenezaji wa filamu za Kitanzania. Anayeshuhudia pembeni ni Mratibu wa Masoko wa ITV/Radio One ambao ni mmoja wa wadhamini wa Shindano la TMT 2015.   Mratibu wa masoko kutoka ITV/Radio One (wa pili kulia) akizungumzia juu ya umuhimu wa wao ITV/Radio one kuwa washirika wa...

 

10 years ago

Michuzi

Shindano la TMT 2015 lazinduliwa rasmi leo, Mwanza kufungua pazia kesho


Afisa Masoko na Mahusiano wa Proin Promotions Ltd, Josephat Lukaza akizungumzia Uzinduzi wa msimu wa pili wa Shindano la TMT 2015 lililopo chini ya Kampuni ya Proin Promotions Ltd ambao pia ni wasambazaji, wauzaji na watengenezaji wa filamu za Kitanzania. Anayeshuhudia pembeni ni Mratibu wa Masoko wa ITV/Radio One ambao ni mmoja wa wadhamini wa Shindano la TMT 2015. Mratibu wa masoko kutoka ITV/Radio One (wa pili kulia) akizungumzia juu ya umuhimu wa wao ITV/Radio one kuwa washirika wa TMT...

 

10 years ago

Vijimambo

SHEREHE YA KUWAKARIBISHA RASMI WASHIRIKI WA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 KIJIJI CHA MAKUMBUSHO JIJINI DAR, WAINGIA RASMI KAMBINI

 Bi. Sophia Mkazi na Mwenyeji wa Kijiji cha Kasanga Wilayani Kisalawe Mkoani Pwani akiwakaribisha wageni ambao ni Washiriki wa Shindano la mama shujaa wa Chakula kijijini huko katika sherehe ya  iliyofanyika Kijiji cha Makumbusho Jijini Dar es salaam Jana. ambapo Programu mzima itaoneshwa katika Runinga ya ITV kila Siku kuanzia Tarehe 2.08.2015-21.08.2015 kuanzia saa 12 Jioni. Bw. Godia Kaimu Mwenyekiti wa Kijiji cha Kasanga akiwakaribisha Washiriki wa Shindano la Mama shujaa wa Chakula...

 

10 years ago

Dewji Blog

18 kupatikana shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015, mchujo waanza rasmi jijini Dar

11

Muwakilishi wa mgeni rasmi Mkurugenzi Mtendaji wa TBS Joseph Masikitiko katika Hafla ya maamuzi ya fomu za shindano la mamashujaa wa Chakula Bi. Stella E. Mrosso wa kwanza kushoto, wa pili kutoka kushoto ni Tusfaye Legesse Obole President’s Delivery Bureau, Manager Agriculture Productivity na  Mratibu wa Programu kutoka Care International in Tanzania Maureen Kwilasa ambaye ni Mkuu wa mahabara ya Chakula TBS akifungua rasmi hafla hiyo ya kuanza kuzihakiki fomu hizo .

Eluka Kibona,...

 

11 years ago

Michuzi

SAFARI YA MCHUJO KWA WASHIRIKI WA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) YAANZA RASMI LEO

 Jukwaa likitengenezwa kwaajili ya Washiriki Wa fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) kupanda jukwaani na kuanza kuonyesha vipaji vyao, Onyesho hili ni onyesho la kwanza la kuelekea Kwenye Mchujo wa kumpata mshiriki Mmoja atakayejinyakulia kitita cha Shilingi Milioni 50 katika fainali kubwa itakayofanyika mwishoni mwa Mwezi wa Nane.
Mahost wa Show ya Tanzania Movie Talents (TMT) Joti na Lulu wakiwa kwa Steji tayari kwa Show kuanzaTimu ya Tanzania Movie Talents (TMT) ikiwa...

 

10 years ago

GPL

SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI LA TMT JIJINI DAR LAZIDI KUNOGA

Baadhi ya washiriki wa shindano la (TMT)wakijadili Script waliyopewa .
Baadhi ya wahudumu wa shindano wakiwa katika meza wakati wa usaili unaoendelea.
Jaji wa shindano hilo la TMT, Haji Salum 'Mboto' akifanya mahojiano na mshiriki wa shindano baada ya kutoka katika chumba maalum cha usaili hatua ya pili.…

 

11 years ago

GPL

SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS LAANZA RASMI LEO JIJINI DAR, WASHINDI WATANO KUTAFUTWA‏

 Msimamizi wa Mashindano ya Tanzania Movie Talents, Bw Tony Akwesa akitoa maelekezo kwa washiriki waliojitokeza kwaajili ya shindano la Tanzania Movie Talents kwa kanda ya Pwani unaoendelea kufanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Jijini Dar Es Salaam.
 Baadhi ya washiriki wakiwa kwenye mstari tayari kwa kuchukua fomu za ushiriki wa shindano la Tanzania Movie Talents lililoanza rasmi leo Kwa Kanda ya Pwani.
...

 

10 years ago

Michuzi

MCHUJO WA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 WAANZA LEO JIJINI DAR

 Eluka Kibona, Meneja Utetezi na Ushawishi wa Oxfam akielezea juu ya shindano la Mama shujaa wa Chakula na kumkaribisha Mgeni Rasmi kufungua rasmi hafla ya Maamuzi ya fomu za shindano la Mama shujaa wa Chakula 2015 leo. Muwakilishi wa Mgeni Rasmi Mkurugenzi Mtendaji wa TBS Joseph Masikitiko  katika Hafla ya maamuzi ya fomu za shindano la mamashujaa wa Chakula Bi. Stella E. Mrosso ambaye ni Mkuu wa mahabara ya Chakula TBS akifungua rasmi hafla hiyo ya kuanza kuzihakiki fomu hizo . Mkurugenzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani