Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI LA TMT JIJINI DAR LAZIDI KUNOGA

Baadhi ya washiriki wa shindano la (TMT)wakijadili Script waliyopewa .
Baadhi ya wahudumu wa shindano wakiwa katika meza wakati wa usaili unaoendelea.
Jaji wa shindano hilo la TMT, Haji Salum 'Mboto' akifanya mahojiano na mshiriki wa shindano baada ya kutoka katika chumba maalum cha usaili hatua ya pili.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SHINDANO LA VIPAJI LA TMT KUHAMIA ARUSHA KESHO

Majaji wakitoa neno kwa washiriki (hawapo pichani). Tano bora ya washiriki kabla ya kuchujwa na kubakiwa watatu walioondoka na laki tano kila mmoja. Mmoja wa washiriki kutoka Mwanza akisubiri majibu kama atakuwa mshindi. LILE shindano la kusaka vipaji vya kuigiza lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents (TMT), leo lilifika…

 

10 years ago

Bongo Movies

Shindano la TMT 2015 Lazinduliwa Rasmi Leo, Jijini Dar

Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2015 limezinduliwa rasmi leo huku baadhi ya vigezo vikiwa vimeboreshwa, akizungumzia hayo Meneja wa Mradi wa TMT 2015, Saul Mpock amesema kuwa "mwaka huu Kigezo kimojawapo ni mshiriki kuwa na umri kuanzia miaka 16 na kuendelea huku fomu za kushiriki shindano hilo zikipatika siku ya usaili katika mkoa husika na bila gharama yoyote"

Shindano la Tanzania Movie Talents 2015 linaanza rasmi kesho huku Kanda ya Ziwa ndio itakayofungua pazia la shindano hili...

 

9 years ago

Michuzi

FAINALI ZA SHINANDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA UCHEKESHAJI KUFANYIKA OKTOBA 3 MWAKA HUU JIJINI DAR



 Meneja mauzo na usambazaji Tanzania Distilleries Ltd  Mwesige Michuruza akizugumza na wanahabari hawapo pichani juu ya fainali ya shindano la “Valeur Comedy Nights” ambalo ni shindano la kusaka vipaji vya sanaa ya uchekesaji. Fainali hiyo itakayofanyika 3 Oktoba mwaka huu  Hongera Baa, Sinza    jijini Dar es Salaam kulia ni Mkurugenzi wa Vuvuzela Company Ltd Evans Bukuku. Afisa Habari BASATA Aristides  Kwizela akisisitiza jambo katika kikao hicho kulia ni Meneja mauzo na usambazaji Tanzania...

 

11 years ago

GPL

SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI LAENDELEA VYEMA SIKU YA LEO

Baadhi ya washiriki wakielekezwa cha kufanya mara baada ya kupita kwa majaji.  Majaji wa mashindano ya kusaka vipaji vya kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakiwa makini kutazama kipaji kilichokuwa kikionyeshwa na mmoja wa washiriki (hayupo pichani) wakati alipofika kuonyesha kipaji chake, Kushoto ni Jaji Mkuu Roy Sarungi, akifuatiwa na Ivon Chery (Monalisa) na Single Mtambalike (Rich Rich). ...

 

11 years ago

GPL

WAKAZI WA MWANZA WAJITOKEZA KATIKA SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA KUIGIZA

Jukwaa la majaji likiwa tayari kwa shindano la kusaka vipaji vya kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents ambalo linaanza leo mkoani Mwanza katika Kanda ya Ziwa.  Mafundi mitambo wakiwa tayari kwa kazi.   Kundi la kwanza la vijana waliojitokeza katika usaili wa…

 

9 years ago

Bongo5

Kanye West ashiriki kwenye auditions za shindano la kusaka vipaji ‘American Idol’!

Katika hali ya kushangaza, mtangaza nia ya kugombea urais wa Marekani 2020, rapper Kanye West weekend iliyopita aliamua kupitia sehemu zilipokuwa zinafanyika auditions za shindano la kusaka vipaji ‘American Idol’ jijini San Francisco, na kuchukua namba ya ushiriki kisha kwenda mbele ya majaji na kuonesha kipaji chake, lol! Majaji wa shindano hilo Jennifer Lopez,Harry Connick, […]

 

11 years ago

Dewji Blog

Washindi 3 Bora wa Shindano la kusaka vipaji vya uigizaji Tanzania kwa kanda ya ziwa kupatikana leo

Majaji wa Shindano la Kusaka Vipaji vya Uigizaji Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents, Single Mtambalike (kulia), Yvonne Chery (Katikati) na Roy Sarungi (Kushoto) wakipitia alama za washiriki kwaajili ya kuweza kuwatangaza washindi waliofanikiwa kuingia hatua ya tatu ambapo wanachukuliwa washiriki 30 kwaajili ya kupata mchujo wa washindi watatu bora ambao wataibuka na Kitita Cha Shilingi laki 5 kila Mmoja kwa Kanda ya Ziwa na baadae kujiunga na washindi wengine watatu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani