FAINALI ZA SHINANDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA UCHEKESHAJI KUFANYIKA OKTOBA 3 MWAKA HUU JIJINI DAR
Meneja mauzo na usambazaji Tanzania Distilleries Ltd Mwesige Michuruza akizugumza na wanahabari hawapo pichani juu ya fainali ya shindano la “Valeur Comedy Nights” ambalo ni shindano la kusaka vipaji vya sanaa ya uchekesaji. Fainali hiyo itakayofanyika 3 Oktoba mwaka huu Hongera Baa, Sinza jijini Dar es Salaam kulia ni Mkurugenzi wa Vuvuzela Company Ltd Evans Bukuku. Afisa Habari BASATA Aristides Kwizela akisisitiza jambo katika kikao hicho kulia ni Meneja mauzo na usambazaji Tanzania...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziFAINALI YA BSS 2015 KUFANYIKA OKTOBA 9 MWAKA HUU JIJINI DAR ES SALAAM
9 years ago
MichuziMAADHIMISHO YA CP DAY KUFANYIKA OKTOBA 7 MWAKA HUU JIJINI DAR
Mwenyekiti huyo wa...
10 years ago
MichuziMASHINDANO YA BAISKELI KUFANYIKA JIJINI DAR JUNI 14 MWAKA HUU.
11 years ago
MichuziTIMU NZIMA YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA YAELEKEA MKOANI MWANZA KWAAJILI YA KUANZA ZOEZI LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA
10 years ago
Dewji Blog16 Oct
Kamati ya Bunge ya Bajeti kuanza vikao vyake Oktoba 13 hadi Novemba 2 mwaka huu jijini Dar
Kamati Oct 2014.doc by moblog
9 years ago
MichuziFAINALI ZA SHINDANO LA TMT KUFANYIKA AGOSTI 22 MWAKA HUU
9 years ago
Dewji Blog09 Oct
Maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania kufanyika Oktoba viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar
Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Bw. Alvaro Rodriguez akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya sherehe za miaka 70 ya Umoja wa Mataifa pamoja na kutolea ufafanuzi malengo 17 ya maendeleo endelevu (SDGs) yenye lengo la kufuta kabisa umaskini.(Picha zote ne Geofrey Adroph wa Pamoja Blog).
Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Hassan Simba Yahya akizungumza na waandishi wa...
9 years ago
MichuziTAMASHA LA KUOMBEA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU KUFANYIKA OKTOBA 4 MWAKA HUU.
9 years ago
Dewji Blog21 Sep
Maadhimisho ya siku ya watu na watoto wenye mtindio wa Ubongo kufanyika Oktoba 7, 2015 viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wazazi wa Watoto wenye Ulemavu wa Mtindio wa Ubongo, Akili na Viungo Tanzania (Chawaumavita), Hillar Said (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Watu, Watoto wenye mtindio wa ubongo yatakayofanyika, Oktoba 7, 2015 viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu wa chama hicho, Mwanahamisi Hussein.
Katibu wa chama hicho, Mwanahamisi Hussein (kulia), akizungumza...