Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FAINALI YA BSS 2015 KUFANYIKA OKTOBA 9 MWAKA HUU JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwandaaji  wa   Bongo Star Search, Rita Paulsen akizungumza na waandishi wa habari( hawapo pichani)  juu ya fainali ya (BSS) itakayofanyika Ijumaa ya Oktoba 9 mwaka huu katika ukumbi wa King Solomoni Hall uliopo karibu na Nyumbani Lounge au Eaters Point  eneo la Namanga  kuanzia saa moja jioni kikao hicho kimefanyika leo Jiji Dar es Salaam kulia ni Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko  wa Huawei  Samson Majwala. Baadhi ya Wandishi wa habari wakimsikiliza kwa makini  Mwandaaji  wa Bongo Star Search...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

FAINALI ZA SHINANDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA UCHEKESHAJI KUFANYIKA OKTOBA 3 MWAKA HUU JIJINI DAR



 Meneja mauzo na usambazaji Tanzania Distilleries Ltd  Mwesige Michuruza akizugumza na wanahabari hawapo pichani juu ya fainali ya shindano la “Valeur Comedy Nights” ambalo ni shindano la kusaka vipaji vya sanaa ya uchekesaji. Fainali hiyo itakayofanyika 3 Oktoba mwaka huu  Hongera Baa, Sinza    jijini Dar es Salaam kulia ni Mkurugenzi wa Vuvuzela Company Ltd Evans Bukuku. Afisa Habari BASATA Aristides  Kwizela akisisitiza jambo katika kikao hicho kulia ni Meneja mauzo na usambazaji Tanzania...

 

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA CP DAY KUFANYIKA OKTOBA 7 MWAKA HUU JIJINI DAR

Makamu  Mwenyekiti wa Chama cha Wazazi Watoto wenye Ulemavu wa mtindio wa Ubongo na akili na Viungo Tanzania (CHAWAUMAVITA) Hillar Said  akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya Maadhimisho ya mwaka  huu maadhimisho hayo yatakayofanyika Oktoba 7 mwaka huu katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jjijini Dar es Salaam ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadicki, kulia ni Katibu (CHAWAUMAVITA) Mwanahamisi Hussen
Mwenyekiti  huyo wa...

 

10 years ago

Vijimambo

TAMASHA LA FAHARI YA MWAFRIKA KUFANYIKA OKTOBA 3,2015 CLUB YA ESCAPE ONE MIKOCHENI JIJINI DAR ES SALAAM

 Mmiliki na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Black Sensation, Lilliane Masuka (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu Tamasha la Fahari ya Mwafrika litakalofanyika viwanja vya Club ya Escape One, Oktoba 3, 2015 Mikocheni jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Uendeshaji wa kampuni hiyo, Gabriel Manyaga na Mkurugenzi wa Ubunifu wa kampuni hiyo, Charlotte Mwaigwisya.  Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Kampuni ya Black Sensation,...

 

10 years ago

Dewji Blog

BONGO STAR SEARCH 2015: Kufanyika Oktoba 9 ndani ya King Solomoni Hall jijini Dar es Salaam

1 (3)

Mwandaaji  wa   Bongo Star Search, Rita Paulsen akizungumza na waandishi wa habari( hawapo pichani)  juu ya fainali ya (BSS) itakayofanyika Ijumaa ya Oktoba 9 mwaka huu katika ukumbi wa King Solomoni Hall uliopo karibu na Nyumbani Lounge au Eaters Point  eneo la Namanga  kuanzia saa moja jioni kikao hicho kimefanyika leo Jiji Dar es Salaam kulia ni Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko  wa Huawei  Samson Majwala. 2 (2)  Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko  wa Huawei, Samson Majwala  akisisitiza jambo katika...

 

10 years ago

Vijimambo

MAADHIMISHO YA SIKU YA WATU NA WATOTO WENYE MTINDIO WA UBONGO KUFANYIKA OKTOBA 7, 2015 VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wazazi wa Watoto wenye Ulemavu wa Mtindio wa Ubongo, Akili na Viungo Tanzania (Chawaumavita), Hillar Said (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Watu, Watoto wenye mtindio wa ubongo yatakayofanyika, Oktoba 7, 2015 viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu wa chama hicho, Mwanahamisi Hussein.Katibu wa chama hicho, Mwanahamisi Hussein (kulia), akizungumza katika...

 

10 years ago

Vijimambo

UZINDUZI WA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI TAIFA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU KUFANYIKA OKTOBA 4, 2015 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, waandaaji wa matamasha mbalimbali kama lile la Krismas na Pasaka, Alex Msama (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu uzinduzi wa Tamasha la kuliombea Taifa kuelekea ucahguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu  utakaofanyika Oktoba 4, 2015 Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mjumbe wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Benno Chilele (kushoto), akizungumza katika tamasha hilo....

 

10 years ago

Michuzi

KANDANDA DAY 2015 KUFANYIKA OKTOBA 17, 2015 TCC CLUB CHANG'OMBE, DAR ES SALAAM

Kamati ya maandalizi ya tamasha la ‘Kandanda Day 2015’, inatarajia kufanya tamasha lake la kila mwaka,litakalofanyika katika Viwanja vya TCC Oktoba 17
mwaka huu,Chang’ombe, Dar es Salaam.


Katika tamasha la mwaka huu,mbali na kuwepo kwa mechi kati ya Timu DizoMoja na Timu Ismail, lakini pia kutakuwa na matukio mbalimbali ya kimichezo na kijamii
yatakayoendelea. Mratibu wa tamasha hilo Patrick Dumulinyi,alitanabaisha kuwa siku hiyo, kutakuwepo na mchezo wa utangulizi ambao utahusisha kituo cha...

 

10 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA BAISKELI KUFANYIKA JIJINI DAR JUNI 14 MWAKA HUU.

 Mkuu wa mashindano ya Baiskeli na Barozi wa Umoja wa Ulaya Filiberto Sebregondi akizungumza na waandishi wa habari leo (hawapo pichani)katika ukumbi wa mikutano wa Ubalozi wa Ulaya jijini Dar es Salaam leo. kushoto ni Mratibu wa Msafara wa Mkuu wa Operesheni ya umoja wa Ulaya, Eric Beaume.Naibu Mhamasishaji Mkuu wa Mfuko wa Fedha za Umoja wa Ulaya, Godlove Stephen akizungumza na waandishi wa habari hawapo hewani kuhusiana na mashindano ya baiskeli yatakayofanyika Juni 14 mwaka huu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani