SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI LAENDELEA VYEMA SIKU YA LEO
Baadhi ya washiriki wakielekezwa cha kufanya mara baada ya kupita kwa majaji. Â Majaji wa mashindano ya kusaka vipaji vya kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakiwa makini kutazama kipaji kilichokuwa kikionyeshwa na mmoja wa washiriki (hayupo pichani) wakati alipofika kuonyesha kipaji chake, Kushoto ni Jaji Mkuu Roy Sarungi, akifuatiwa na Ivon Chery (Monalisa) na Single Mtambalike (Rich Rich). ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziSHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI LIJULIKANALO KAMA TANZANIA MOVIE TALENTS LAENDELEA VYEMA SIKU YA LEO
11 years ago
Dewji Blog09 Apr
Washindi 3 Bora wa Shindano la kusaka vipaji vya uigizaji Tanzania kwa kanda ya ziwa kupatikana leo
Majaji wa Shindano la Kusaka Vipaji vya Uigizaji Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents, Single Mtambalike (kulia), Yvonne Chery (Katikati) na Roy Sarungi (Kushoto) wakipitia alama za washiriki kwaajili ya kuweza kuwatangaza washindi waliofanikiwa kuingia hatua ya tatu ambapo wanachukuliwa washiriki 30 kwaajili ya kupata mchujo wa washindi watatu bora ambao wataibuka na Kitita Cha Shilingi laki 5 kila Mmoja kwa Kanda ya Ziwa na baadae kujiunga na washindi wengine watatu...
11 years ago
MichuziTIMU NZIMA YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA YAELEKEA MKOANI MWANZA KWAAJILI YA KUANZA ZOEZI LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA
11 years ago
MichuziVIJANA WA NYEGEZI MWANZA WAHAMASISHWA KUJITOKEZA KWA WINGI KATIKA SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI LIJULIKANALO KAMA TANZANIA MOVIE TALENTS LITAKALOFANYIKA KESHO JUMAMOSI ISAMILO LODGE KUANZIA SAA MOJA ASUBUHI
11 years ago
MichuziHATIMAYE WASHINDI WATATU WA MASHINDANO YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI (TANZANIA MOVIE TALENTS) KWA KANDA YA ZIWA WAPATIKANA LEO JIJINI MWANZA
11 years ago
MichuziPROIN PROMOTIONS LIMITED KUANZA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI NCHINI TAREHE 1 APRIL 2014
11 years ago
MichuziTIMU YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA YAWASILI SALAMA MKOANI MWANZA, ZOEZI KUANZA JUMAMOSI