Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PROIN PROMOTIONS LIMITED KUANZA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI NCHINI TAREHE 1 APRIL 2014

Meneja wa Mradi wa Kusaka Vipaji Vya Uigizaji Tanzania (Tanzania Movie Talents) Bw Joshua Moshi akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wakutambulisha kampeni mpya ya kusaka Vipaji vya uigizaji kutoka kampuni ya Proin Promotions Limited mapema leo katika Ofisi za Proin Promotions Limited, Mikocheni, Mtaa wa Ursino, Pembeni ni Meneja Masoko wa Proin Promotions Limited Bw Evance Stephen.
Muigizaji wa Filamu za Kitanzania Single Mtambalike almaarufu Richie Richie ambae pia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TIMU NZIMA YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA YAELEKEA MKOANI MWANZA KWAAJILI YA KUANZA ZOEZI LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA

Timu nzima ya Tanzania Movie Talents kutoka kampuni ya Proin Promotions Limited wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza safari ya kuelekea Mwanza kwaajili ya shindano la kutafuta Vipaji vya Uigizaji Tanzania ambapo shindano hili litaanzia katika Kanda ya Ziwa katika Mkoa wa Mwanza Kuanzia tarehe 5 April 2014 mahali ni Isamilo Lodge. Mdau Karimu Muhidin Michuzi na Baadhi ya vijana wa kazi katika timu ya kusaka vipaji wakiwa tayari kwa safari ya Mwanza. Mabasi yakiwa tayari kwa...

 

11 years ago

Michuzi

TIMU YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA YAWASILI SALAMA MKOANI MWANZA, ZOEZI KUANZA JUMAMOSI

Mabasi yaliyokuwa yamebeba timu nzima ya Proin Promotions Limited yakiwa yamewasili Mkoani Mwanza Usiku huu. Baadhi ya Timu ya Wafanyakazi Kutoka Kampuni ya Proin Promotions Limited ambao ndio waendeshaji na wasimamiaji wa Mashindano ya Kusaka Vipaji vya uigizaji Tanzania yajulikanayo kama Tanzania Movie Talents wakiwa wanashuka katika Moja ya Basi lililokuwa limebeba wafanyakazi na timu nzima ya Proin Promotions Limited mara baada ya kuwasili mkoani Mwanza Usiku huu. Timu nzima ya Proin...

 

11 years ago

Michuzi

FILAMU KUTOKA PROIN PROMOTIONS LIMITED ZAFANIKIWA KUPITA MCHUJO WA KUONYESHWA KATIKA TAMASHA LA ARUSHA FILM FESTIVAL 2014

Kava la Filamu ya KITENDAWILI iliyochezwa na Single Mtambalike au Rich Rich, Irene Veda na Haji Adam ambayo inasambazwa na Kampuni ya Proin Promotions LimitedKava la Filamu ya NETWORK iliyochezwa na MONALISA NA BRIAN ambayo inasambazwa na Kampuni ya Proin Promotions Limited.

Tamasha la Arusha Film Festival ni tamasha la kimataifa ambalo linatarajiwa kufanyika kwa Mara ya Tatu mfululizo, ambapo litaanza tarehe 20 mpaka 27 Mwezi wa tisa (september) Jijini Arusha.

Arusha Film Festival 2014...

 

11 years ago

GPL

SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI LAENDELEA VYEMA SIKU YA LEO

Baadhi ya washiriki wakielekezwa cha kufanya mara baada ya kupita kwa majaji.  Majaji wa mashindano ya kusaka vipaji vya kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakiwa makini kutazama kipaji kilichokuwa kikionyeshwa na mmoja wa washiriki (hayupo pichani) wakati alipofika kuonyesha kipaji chake, Kushoto ni Jaji Mkuu Roy Sarungi, akifuatiwa na Ivon Chery (Monalisa) na Single Mtambalike (Rich Rich). ...

 

11 years ago

Dewji Blog

Washindi 3 Bora wa Shindano la kusaka vipaji vya uigizaji Tanzania kwa kanda ya ziwa kupatikana leo

Majaji wa Shindano la Kusaka Vipaji vya Uigizaji Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents, Single Mtambalike (kulia), Yvonne Chery (Katikati) na Roy Sarungi (Kushoto) wakipitia alama za washiriki kwaajili ya kuweza kuwatangaza washindi waliofanikiwa kuingia hatua ya tatu ambapo wanachukuliwa washiriki 30 kwaajili ya kupata mchujo wa washindi watatu bora ambao wataibuka na Kitita Cha Shilingi laki 5 kila Mmoja kwa Kanda ya Ziwa na baadae kujiunga na washindi wengine watatu...

 

11 years ago

Michuzi

SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI LIJULIKANALO KAMA TANZANIA MOVIE TALENTS LAENDELEA VYEMA SIKU YA LEO

Baadhi ya washiriki wakielekezwa cha kufanya mara baada ya kupita kwa majaji  Majaji wa mashindano ya kusaka vipaji vya kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakiwa makini kutazama kipaji kilichokuwa kikionyeshwa na mmoja wa washiriki (hayupo pichani) wakati alipofika kuonyesha kipaji chake, Kushoto ni Jaji Mkuu Roy Sarungi, akifuatiwa na Ivon Chery (Monalisa) na Single Mtambalike (Rich Rich)  Mmoja wa washiriki waliofika kwaajili ya kuonyesha vipaji akiwa mbele ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani