Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FILAMU KUTOKA PROIN PROMOTIONS LIMITED ZAFANIKIWA KUPITA MCHUJO WA KUONYESHWA KATIKA TAMASHA LA ARUSHA FILM FESTIVAL 2014

Kava la Filamu ya KITENDAWILI iliyochezwa na Single Mtambalike au Rich Rich, Irene Veda na Haji Adam ambayo inasambazwa na Kampuni ya Proin Promotions LimitedKava la Filamu ya NETWORK iliyochezwa na MONALISA NA BRIAN ambayo inasambazwa na Kampuni ya Proin Promotions Limited.

Tamasha la Arusha Film Festival ni tamasha la kimataifa ambalo linatarajiwa kufanyika kwa Mara ya Tatu mfululizo, ambapo litaanza tarehe 20 mpaka 27 Mwezi wa tisa (september) Jijini Arusha.

Arusha Film Festival 2014...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA PROIN PROMOTIONS LIMITED YASAINI MKATABA NA MZEE YUSUPH KWAAJILI YA KUSAMBAZA FILAMU YAKE IITWAYO "NITADUMU NAE"

Mzee Yusuph (Kulia) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa utambulisho wa filamu yake ya Kwanza iitwayo NITADUMU NAE ambapo filamu hiyo imeingia sokoni leo Jumatatu na inasambazwa na Kampuni ya Proin Promotions Limited, Kushoto ni Meneja Masoko wa Kampun ya Proin Promotions Limited, Evans Stephen.Mzee Yusuph akibadilishana Mkataba na Mwanasheria wa Kampuni ya Proin Promotions Limited Halima Mara baada ya Kumaliza kutiliana saini katika Mikataba. Na Josephat Lukaza -...

 

11 years ago

Michuzi

PROIN PROMOTIONS LIMITED KUANZA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI NCHINI TAREHE 1 APRIL 2014

Meneja wa Mradi wa Kusaka Vipaji Vya Uigizaji Tanzania (Tanzania Movie Talents) Bw Joshua Moshi akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wakutambulisha kampeni mpya ya kusaka Vipaji vya uigizaji kutoka kampuni ya Proin Promotions Limited mapema leo katika Ofisi za Proin Promotions Limited, Mikocheni, Mtaa wa Ursino, Pembeni ni Meneja Masoko wa Proin Promotions Limited Bw Evance Stephen.
Muigizaji wa Filamu za Kitanzania Single Mtambalike almaarufu Richie Richie ambae pia...

 

9 years ago

Vijimambo

Mchango wa Proin Promotions ltd katika Kukuza tasnia ya filamu Nchini

Unapozungumzia tasnia ya filamu nchini basi huwezi kuacha kuzungumzia makampuni ya kusambaza kazi za filamu Tanzania na Nje ya Tanzania. Kuna Makampuni mengi sana ambayo yanasambaza kazi za filamu ndani na Nje ya Tanzania lakini Katika Makampuni hayo huwezi kuacha Kuitaja Kampuni ijulikanayo kama PROIN PROMOTIONS LTD yenye makao yake Mikocheni na Mabibo.Proin Promotions Ltd ni kampuni ya kutengeneza na kusambaza filamu za Kitanzania ndani na nje ya Tanzania ambapo Mwaka huu mwezi Agasti 30...

 

9 years ago

Dewji Blog

Filamu 4 kutoka Proin Promotions zatinga kinyanganyiro cha Africa Magic Viewer’s Choice Awards 2016, wadau tuzipigie kura zilete ushindi nyumbani

Proin Promotions Ltd imefanikiwa kuingiza filamu zake nne katika Shindano la Africa Magic Viewers Choice Awards 2016 (AMVCA 2016) katika vipengele viwili huku Filamu zote nne zikiingia katika Kipengele Kimoja cha BEST MOVIE – EAST AFRICA filamu zilizoingia katika kipengele hiko ni  MAPENZI YA MUNGU, KITENDAWALI, MPANGO MBAYA, DADDY’S WEDDING huku filamu ya KITENDAWILI ikiingia katika Kipengele kingine cha BEST INDIGENOUS LANGUAGE MOVIE/TV SERIES – SWAHILI.

Filamu zote nne zimeingia...

 

9 years ago

Michuzi

Filamu Nne Kutoka Proin Promotions zaingia kwenye kinyanganyiro cha Africa Magic Viewers Choice Awards 2016, wadau tunaomba tuzipigie kura zilete ushindi nyumbani

Proin Promotions Ltd imefanikiwa kuingiza filamu zake nne katika Shindano la Africa Magic Viewers Choice Awards 2016 (AMVCA 2016) katika vipengele viwili huku Filamu zote nne zikiingia katika Kipengele Kimoja cha BEST MOVIE - EAST AFRICA filamu zilizoingia katika kipengele hiko ni  MAPENZI YA MUNGU, KITENDAWALI, MPANGO MBAYA, DADDY’S WEDDING huku filamu ya KITENDAWILI ikiingia katika Kipengele kingine cha BEST INDIGENOUS LANGUAGE MOVIE/TV SERIES – SWAHILI.Filamu zote nne zimeingia katika...

 

10 years ago

Vijimambo

Wajumbe wa bodi ya filamu Watembelea Ofisi za Proin Promotions na kujionea miundombinu iliyowekezwa

 Mjumbe wa Bodi ya Filamu kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Bi.Vicensia Shule(wa kwanza kutoka kushoto) akimwuliza  jambo Mwenyekiti wa makampuni ya Proin Bw,Johnson Lukaza(hayupo pichani) leo jijini Dar es salaam walipotembelea kujionea  miundombinu ya kampuni hiyo.Kutoka kulia ni Makamu mwenyekiti wa  wa Bodi iyo Bw.Sylvester Sengerema na katikati ni  Bw.Bishop Hiluka. Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania Bi,Joyce Fissoo akichangia jambo wakati walipotembelea miundombinu ya Filamu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani