Filamu 4 kutoka Proin Promotions zatinga kinyanganyiro cha Africa Magic Viewer’s Choice Awards 2016, wadau tuzipigie kura zilete ushindi nyumbani
Proin Promotions Ltd imefanikiwa kuingiza filamu zake nne katika Shindano la Africa Magic Viewers Choice Awards 2016 (AMVCA 2016) katika vipengele viwili huku Filamu zote nne zikiingia katika Kipengele Kimoja cha BEST MOVIE – EAST AFRICA filamu zilizoingia katika kipengele hiko ni MAPENZI YA MUNGU, KITENDAWALI, MPANGO MBAYA, DADDY’S WEDDING huku filamu ya KITENDAWILI ikiingia katika Kipengele kingine cha BEST INDIGENOUS LANGUAGE MOVIE/TV SERIES – SWAHILI.
Filamu zote nne zimeingia...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi
Filamu Nne Kutoka Proin Promotions zaingia kwenye kinyanganyiro cha Africa Magic Viewers Choice Awards 2016, wadau tunaomba tuzipigie kura zilete ushindi nyumbani



10 years ago
Michuzi
FILAMU MBILI ZA PROIN PROMOTIONS ZAINGIA KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA TUZO ZA AFRICA MAGIC VIEWERS CHOICE AWARD

Jinsi ya Kupiga...
10 years ago
Bongo Movies11 Dec
Filamu ya MDUNDIKO na NETWORK, zachaguliwa kushiriki tuzo za Africa Magic Viewers’ Choice Awards 2015 (AMVCAs)
Baada ya filamu yangu ya DOGO MASAI kushinda tuzo marekani sasa ni hii ya MDUNDIKO pamoja na NETWORK ya Kalage. Mashindano haya yanajumuisha filamu mbalimbali toka bara la Afrika. Filamu hizi zote mbili zipo katika category ya Best Indigenous Language – Swahili zikishindanishwa na filamu za Veve ya Sarika Hemi Lakhani (KENYA), Mama Duka ya Njoki Muhoho na Almasi ya Fredrick Odhiambo.
11 years ago
Michuzi
10 years ago
Bongo504 Mar
Diamond kutumbuiza kwenye tuzo za ‘Africa Magic Viewers’ Choice Awards’, Lagos Jumamosi hii
10 years ago
Bongo Movies07 Mar
Timoth na Kallage Watua Lagos Kwenye Tuzo za Africa Magic Viewers Choice Awards (AMVCAs)
Tasnia ya filamu hapa Bongo inawakilishwa na Timoth Conrad ambae ni muongozaji na mtengenezaji wa filamu pamoja na John Kallage ambae pia ni muongozaji wa filamu kwenye tuzo za Africa Magic Viewers Choice Awards (AMVCAs) ambazo zinafanyika leo mjini Lagos nchni Nigeria.
Timoth na Kallage wamechaguliwa kuwania tuzo hizo katika kipengele cha Best Local Language SWAHILI ambapo filamu mbili za kibongo, Network ya John Kallage na Mdundiko ya Timoth zimeingia kwenye kipengele...
11 years ago
Michuzi
FILAMU KUTOKA PROIN PROMOTIONS LIMITED ZAFANIKIWA KUPITA MCHUJO WA KUONYESHWA KATIKA TAMASHA LA ARUSHA FILM FESTIVAL 2014


Tamasha la Arusha Film Festival ni tamasha la kimataifa ambalo linatarajiwa kufanyika kwa Mara ya Tatu mfululizo, ambapo litaanza tarehe 20 mpaka 27 Mwezi wa tisa (september) Jijini Arusha.
Arusha Film Festival 2014...