Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAKAZI WA MWANZA WAJITOKEZA KATIKA SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA KUIGIZA

Jukwaa la majaji likiwa tayari kwa shindano la kusaka vipaji vya kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents ambalo linaanza leo mkoani Mwanza katika Kanda ya Ziwa.  Mafundi mitambo wakiwa tayari kwa kazi.   Kundi la kwanza la vijana waliojitokeza katika usaili wa…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Mamia ya wakazi wa jiji la Mwanza wajitokeza katika usaili wa shindano la kuonyesha vipaji vya kuigiza

Jukwaa la Majaji likiwa tayari Kwai shindano la Kusaka Vipaji vya Kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents ambalo linaanza leo Mkoani Mwanza Katika Kanda ya Ziwa.

  Mafundi Mitambo wakiwa tayari kwa kazi. Untitled 1  

Kundi la Kwanza la Vijana waliojitokeza katika Usaili wa Shindano la Kusaka Vipaji Vya kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakiwa kwenye foleni tayari kwa zoezi la kuonyesha vipaji kuanza.

Kundi la Kwanza la Vijana Waliojitokeza...

 

11 years ago

Michuzi

MAMIA WA WAKAZI WA JIJI LA MWANZA WAJITOKEZA KATIKA USAILI WA SHINDANO LA KUONYESHA VIPAJI VYA KUIGIZA LIJULIKANALO KAMA TANZANIA MOVIE TALENTS MUDA HUU

Jukwaa la Majaji likiwa tayari Kwai shindano la Kusaka Vipaji vya Kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents ambalo linaanza leo Mkoani Mwanza Katika Kanda ya Ziwa.  Mafundi Mitambo wakiwa Tayari kwa Kazi   Kundi la Kwanza la Vijana waliojitokeza katika Usaili wa Shindano la Kusaka Vipaji Vya kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakiwa kwenye foleni tayari kwa zoezi la kuonyesha vipaji kuanza. Kundi la Kwanza la Vijana Waliojitokeza katika...

 

11 years ago

Michuzi

VIJANA WA NYEGEZI MWANZA WAHAMASISHWA KUJITOKEZA KWA WINGI KATIKA SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI LIJULIKANALO KAMA TANZANIA MOVIE TALENTS LITAKALOFANYIKA KESHO JUMAMOSI ISAMILO LODGE KUANZIA SAA MOJA ASUBUHI

 Msanii wa Filamu Tanzania Elizabeth Michael (Lulu) akikumbatiana na Mmoja wa Mashabiki wa Filamu zake katika Eneo la Nyegezi Mwanza Jioni ya Leo wakati wasanii wa filamu Tanzania walipotembelea eneo hilo kwa lengo la kutambulisha Shindano la Kusaka Vipaji vya Uigizaji Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents litakaloanza kesho Mkoani Mwanza, Mahali ni Isamilo Lodge Baadhi ya Wakazi wa Nyegezi Mwanza wakiwa wamekusanyika kwaajili ya kuwashuhudia wasanii wa filamu Tanzania...

 

11 years ago

Michuzi

TIMU YA SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA KUIGIZA LIJULIKANALO KAMA TANZANIA MOVIE TALENTS YAWASILI SALAMA MKOANI DODOMA TAYARI KWA ZOEZI LA USAILI LITAKALOANZA NA PROMOTION PARTY NDANI YA CLUB 84 LEO

Hatimaye kikosi kazi cha Proin Promotions Limited kimeshawasili mkoani Dodoma tayari kwa Kazi ya Kusaka vipaji vya kuigiza Katika Kanda ya Kati ambayo inawakilishwa na Mkoa wa Dodoma. 
Shindano hili linaendelea ambapo awali lilianzia Kanda ya Ziwa Mkoani Mwanza na hatimaye kupatikana kwa washindi watatu wa kanda ya Ziwa huku wakisubiri washindi wa Kanda nyingine kupatikana Kwaajili ya fainali kubwa itakayofanyika Mkoani Dar Es Salaam na mshindi mmoja kuibuka na Kitita Cha Shilingi Milioni...

 

11 years ago

Michuzi

TIMU NZIMA YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA YAELEKEA MKOANI MWANZA KWAAJILI YA KUANZA ZOEZI LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA

Timu nzima ya Tanzania Movie Talents kutoka kampuni ya Proin Promotions Limited wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza safari ya kuelekea Mwanza kwaajili ya shindano la kutafuta Vipaji vya Uigizaji Tanzania ambapo shindano hili litaanzia katika Kanda ya Ziwa katika Mkoa wa Mwanza Kuanzia tarehe 5 April 2014 mahali ni Isamilo Lodge. Mdau Karimu Muhidin Michuzi na Baadhi ya vijana wa kazi katika timu ya kusaka vipaji wakiwa tayari kwa safari ya Mwanza. Mabasi yakiwa tayari kwa...

 

11 years ago

GPL

SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI LAENDELEA VYEMA SIKU YA LEO

Baadhi ya washiriki wakielekezwa cha kufanya mara baada ya kupita kwa majaji.  Majaji wa mashindano ya kusaka vipaji vya kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakiwa makini kutazama kipaji kilichokuwa kikionyeshwa na mmoja wa washiriki (hayupo pichani) wakati alipofika kuonyesha kipaji chake, Kushoto ni Jaji Mkuu Roy Sarungi, akifuatiwa na Ivon Chery (Monalisa) na Single Mtambalike (Rich Rich). ...

 

11 years ago

Dewji Blog

Washindi 3 Bora wa Shindano la kusaka vipaji vya uigizaji Tanzania kwa kanda ya ziwa kupatikana leo

Majaji wa Shindano la Kusaka Vipaji vya Uigizaji Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents, Single Mtambalike (kulia), Yvonne Chery (Katikati) na Roy Sarungi (Kushoto) wakipitia alama za washiriki kwaajili ya kuweza kuwatangaza washindi waliofanikiwa kuingia hatua ya tatu ambapo wanachukuliwa washiriki 30 kwaajili ya kupata mchujo wa washindi watatu bora ambao wataibuka na Kitita Cha Shilingi laki 5 kila Mmoja kwa Kanda ya Ziwa na baadae kujiunga na washindi wengine watatu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani