MAMIA WA WAKAZI WA JIJI LA MWANZA WAJITOKEZA KATIKA USAILI WA SHINDANO LA KUONYESHA VIPAJI VYA KUIGIZA LIJULIKANALO KAMA TANZANIA MOVIE TALENTS MUDA HUU
Jukwaa la Majaji likiwa tayari Kwai shindano la Kusaka Vipaji vya Kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents ambalo linaanza leo Mkoani Mwanza Katika Kanda ya Ziwa.
Mafundi Mitambo wakiwa Tayari kwa Kazi
Kundi la Kwanza la Vijana waliojitokeza katika Usaili wa Shindano la Kusaka Vipaji Vya kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakiwa kwenye foleni tayari kwa zoezi la kuonyesha vipaji kuanza.
Kundi la Kwanza la Vijana Waliojitokeza katika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog06 Apr
Mamia ya wakazi wa jiji la Mwanza wajitokeza katika usaili wa shindano la kuonyesha vipaji vya kuigiza
Jukwaa la Majaji likiwa tayari Kwai shindano la Kusaka Vipaji vya Kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents ambalo linaanza leo Mkoani Mwanza Katika Kanda ya Ziwa.
![Untitled 1](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/Untitled-11.jpg)
Kundi la Kwanza la Vijana waliojitokeza katika Usaili wa Shindano la Kusaka Vipaji Vya kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakiwa kwenye foleni tayari kwa zoezi la kuonyesha vipaji kuanza.
Kundi la Kwanza la Vijana Waliojitokeza...
11 years ago
MichuziTIMU YA SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA KUIGIZA LIJULIKANALO KAMA TANZANIA MOVIE TALENTS YAWASILI SALAMA MKOANI DODOMA TAYARI KWA ZOEZI LA USAILI LITAKALOANZA NA PROMOTION PARTY NDANI YA CLUB 84 LEO
Shindano hili linaendelea ambapo awali lilianzia Kanda ya Ziwa Mkoani Mwanza na hatimaye kupatikana kwa washindi watatu wa kanda ya Ziwa huku wakisubiri washindi wa Kanda nyingine kupatikana Kwaajili ya fainali kubwa itakayofanyika Mkoani Dar Es Salaam na mshindi mmoja kuibuka na Kitita Cha Shilingi Milioni...
11 years ago
MichuziVIJANA WA NYEGEZI MWANZA WAHAMASISHWA KUJITOKEZA KWA WINGI KATIKA SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI LIJULIKANALO KAMA TANZANIA MOVIE TALENTS LITAKALOFANYIKA KESHO JUMAMOSI ISAMILO LODGE KUANZIA SAA MOJA ASUBUHI
11 years ago
MichuziSHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI LIJULIKANALO KAMA TANZANIA MOVIE TALENTS LAENDELEA VYEMA SIKU YA LEO
11 years ago
GPLWAKAZI WA MWANZA WAJITOKEZA KATIKA SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA KUIGIZA
11 years ago
MichuziSHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS LAKONGA NYOYO ZA WAKAZI WA KANDA YA KUSINI, MAMIA WAJITOKEZA KUSHIRIKI
11 years ago
GPLSHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS LAKONGA NYOYO ZA WAKAZI WA KANDA YA KUSINI, MAMIA WAJITOKEZA KUSHIRIKI
11 years ago
MichuziHATIMAYE WASHINDI WATATU WA MASHINDANO YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI (TANZANIA MOVIE TALENTS) KWA KANDA YA ZIWA WAPATIKANA LEO JIJINI MWANZA