Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Prof Lipumba kufungua pazia urais keshokutwa

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa  Ibrahim Lipumba, Jumapili atachukua fomu ya kugombea urais ndani ya chama hicho na atawaeleza Watanzania sababu ya kuwania nafasi hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Vyama vitatu kufungua pazia la urais

Dar es Salaam. Pazia la kuchukua fomu Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) za kugombea kiti cha urais katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu, linafunguliwa rasmi leo kwa wagombea wa vyama vya UPDP, TLP na DP.

 

10 years ago

Mwananchi

Prof Lipumba ajitosa urais Ukawa

Tabora. Mbio za urais zimezidi kupamba moto kwa upande wa upinzani baada ya Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba kutangaza nia ya kugombea nafasi hiyo ya juu kisiasa nchini, akisema ana sifa zote lakini hatakuwa na kinyongo iwapo hatapitishwa na umoja wa vyama vya upinzani.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Prof. Lipumba na urais, ni uvumilivu wa kula mbivu au king’ang’anizi

JOTO la uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu, limezidi kupanda. Miezi minne iliyobaki inajenga uhalali wa joto hilo na mihemko ya namna mbalimbali.

Chama cha Wananchi (CUF), hivi karibuni kilimuibua tena Profesa Ibrahim Lipumba kuwania urais, ikiwa ni mara ya tano mfululizo anawania nafasi hiyo.

Kwa mara ya kwanza alitupa karata ya kuwania wadhifa huo mwaka 1995, wakati wa uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi nchini.

Katika hali ya kawaida, ingetarajiwa kuwe na mgombea tofauti...

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete kufungua mkutano Kanda ya Afrika keshokutwa

Rais Jakaya KikweteMKUTANO wa Kanda ya Afrika unaohusu Mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa Uwazi, utafanyika jijini Dar es Salaam kwa siku tatu kuanzia keshokutwa na utafunguliwa na Rais Jakaya Kikwete.

 

9 years ago

Mwananchi

CCM kufungua pazia

Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli leo anafungua rasmi pazia la kampeni za siku 61 za chama hicho kwenye Uwanja wa Jangwani katika tukio linalotarajiwa kuhudhuriwa na maelfu ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam, wakiwamo vigogo mbalimbali wa chama hicho tawala.

 

11 years ago

Mwananchi

Filamu ya Mandela kufungua pazia

Tamasha kubwa la nchi za majahazi leo linaanza kurindima ndani ya viunga vya Ngome Kongwe katika Mji Mkongwe wa Stone Town, Unguja, kwa watu wa mataifa yote watakapoungana na kushuhudia ‘Hatma ya Pamoja’ (A common Destiny) kuanzia Juni 14 hadi 22, 2014

 

10 years ago

Michuzi

Shindano la TMT 2015 lazinduliwa rasmi leo, Mwanza kufungua pazia kesho


Afisa Masoko na Mahusiano wa Proin Promotions Ltd, Josephat Lukaza akizungumzia Uzinduzi wa msimu wa pili wa Shindano la TMT 2015 lililopo chini ya Kampuni ya Proin Promotions Ltd ambao pia ni wasambazaji, wauzaji na watengenezaji wa filamu za Kitanzania. Anayeshuhudia pembeni ni Mratibu wa Masoko wa ITV/Radio One ambao ni mmoja wa wadhamini wa Shindano la TMT 2015. Mratibu wa masoko kutoka ITV/Radio One (wa pili kulia) akizungumzia juu ya umuhimu wa wao ITV/Radio one kuwa washirika wa TMT...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Mtanange wa mahasimu Real Betis dhidi ya Sevilla kufungua pazia la La Liga

Ligi hiyo ilisimamishwa toka Machi 12 kutokana na mlipuko wa virusi vya corona.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani